Sipendi watu wanafiki na waongo mimi

Sipendi watu wanafiki na waongo mimi

Status
Not open for further replies.
Unajua kuna vitu vinashangaza sana, kwanini mtu uwe mnafki kiasi kwamba unajinafkia hadi wewe mwenyewe,

Jana katika kuranda randa kwangu hapa JF nikakutana na uzi wa Masai Dada anamuomba msamaha mpenzi wake Smart kwa kuandika uzi wa kusema kua anahisia na wanawake zaidi kuliko wanaume, (wait, how comes Smart, i thought Smart is taken, mmh! maajabu hayaishi)

Anyways, huyu bibie ameshakua ananikandia sana hadi nikawa namshangaa unajua mimi ni msiri eeh kuna mambo yanapita afu unakausha life linasonga,
Nilikua nasema of all people why you Masai, we had a great time leo unanikandia hadharini!!! ooh yes yeye hanikumbuki ooops! nilisahau hiki kipengele,

I used to have this ID back days nikasahau password na email that was the end of it, hii Id mind you ni ya mwaka 2014 so you can imagine, those days we were happy but for you to admit it that means you cannot escape of who you are,

Mpo wengi tu humu ila angalau wengi wenu hamuongei mnakausha, i call that a maturity,

Wito wangu msiwe wanafki wanafki kuweni neutral tu.

Ndo kwanzaaaa chupa ya pili kabla sijanyang'anywa simu
Katika wanawake ninaowapenda na kuwaheshimu wewe upo.

Unaongea ukweli
Unasimamia unachoamini
Unayo THE ART OF SPEAKING

Za masiku lakini. Usisahau marafiki

Nakuombea
 
Wanaume wa humu waongo waongo na wadada wa humu urafiki wao wa kinafki..!!

Sema miongozo anazipasha, huruma namuonea udugu wangu mahonda anamkosea adabu sana..!!

Na Angel Nylon eti inasemekana 😹😹🏃‍♀️‍➡️🏃‍♀️‍➡️🏃‍♀️‍➡️🏃‍♀️‍➡️
Hivi huyu udugu wako ndio mke halali? Kama ni mahusiano ya kawaida kwa nini asimpige tu chini mambo ya kudhalilishana haya
 
Katika wanawake ninaowapenda na kuwaheshimu wewe upo.

Unaongea ukweli
Unasimamia unachoamini
Unayo THE ART OF SPEAKING

Za masiku lakini. Usisahau marafiki

Nakuombea
Awww Rafiki yangu nimefurahi sana kukuona tena, maua nayapokea kwa mikono miwili ahsante sanaaa,

Mie mzima wa afya alhamdulillah natumaini na wewe unaendelea vizuri,
Tutachekiana tupige story mbili tatu,

Nakuombea pia🙏
 
Huyo Masai dada inavyosemekana kajitongezesha huko kwa miongozo na ana jitihada kweli za kumtumia ngomosi 😹😹😹

Ninachojiuliza hivi wadada wa JF mapenzi kwao hayanogi mpaka watume mbususu? Jamani mipapa yenyewe mnashave kwa wembe yana mavipele na madoa hamuogopi? 😹😹😹

Bora wangekuwa wanafanya waxing ndo wayatume, juzi kati tu limetoka shengesha la papa jeusi tiiiiiii 😹😹😹

Em kwanza masai afike hapa..!!
Mi na wewe hatuna ugomvi kwenye umbea uniite mdogo wangu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom