win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 9,200
- 31,414
hapo kwenye kujishtukia ndo penyewe,, sema humu kila mtu anajiona mtakatifu hakuna mbaya kabisaUgomvi wa nini tena mbona amani imetawala sipendi tu watu wanaojishtukia shtukia na unafki unafki
hapo kwenye kujishtukia ndo penyewe,, sema humu kila mtu anajiona mtakatifu hakuna mbaya kabisaUgomvi wa nini tena mbona amani imetawala sipendi tu watu wanaojishtukia shtukia na unafki unafki
Mimi sio mtakatifu na siutaki hasaa huo utakatifu wakae nao wenyeweeee🙌🏻hapo kwenye kujishtukia ndo penyewe,, sema humu kila mtu anajiona mtakatifu hakuna mbaya kabisa
Nilale asubuhi hii unataka nife masikini we binti😅😅Mzee hulali?
Hama sayari ya Dunia.Unajua kuna vitu vinashangaza sana, kwanini mtu uwe mnafki kiasi kwamba unajinafkia hadi wewe mwenyewe,
Jana katika kuranda randa kwangu hapa JF nikakutana na uzi wa Masai Dada anamuomba msamaha mpenzi wake Smart kwa kuandika uzi wa kusema kua anahisia na wanawake zaidi kuliko wanaume, (wait, how comes Smart, i thought Smart is taken, mmh! maajabu hayaishi)
Anyways, huyu bibie ameshakua ananikandia sana hadi nikawa namshangaa unajua mimi ni msiri eeh kuna mambo yanapita afu unakausha life linasonga,
Nilikua nasema of all people why you Masai, we had a great time leo unanikandia hadharini!!! ooh yes yeye hanikumbuki ooops! nilisahau hiki kipengele,
I used to have this ID back days nikasahau password na email that was the end of it, hii Id mind you ni ya mwaka 2014 so you can imagine, those days we were happy but for you to admit it that means you cannot escape of who you are,
Mpo wengi tu humu ila angalau wengi wenu hamuongei mnakausha, i call that a maturity,
Wito wangu msiwe wanafki wanafki kuweni neutral tu.
Ndo kwanzaaaa chupa ya pili kabla sijanyang'anywa simu
Na nyie na crew yenu mna vita wambea tunawasubiri kwa hamu 😹😹hapo kwenye kujishtukia ndo penyewe,, sema humu kila mtu anajiona mtakatifu hakuna mbaya kabisa
Alokiveka ndo atokitoa
Hovyooooooo kapige mswaki hukoSawa..Yeye Alikiweka Na Ni Kweli Yeye Huyo Ndiye Atakayekitoa....
Lakini Mimi Nimehitaji Kukivua Na Kama Hautakuwa Na Simile Nitakuvalisha Pia....
😆😆 mbona hiyo vita mi siifahamu jamni woiii naisubiri kwa ham pia,, au unipe abc nijiandae kisaikolojiaNa nyie na crew yenu mna vita wambea tunawasubiri kwa hamu 😹😹
Hujachelewa mamaake ndio na siku 3 tu jamani🥹Seran ndo umerudi kimya kimya!
Nilipanga nikufanyie welcome party jamani😇
Ndo kusema umempa Warning🚫Na nyie na crew yenu mna vita wambea tunawasubiri kwa hamu 😹😹
mi pia😆😆 nawaambiaga kila sikuMimi sio mtakatifu na siutaki hasaa huo utakatifu wakae nao wenyeweeee🙌🏻
Upo Dar au?Hujachelewa mamaake ndio na siku 3 tu jamani🥹
Uzuri wa JF kama bahari haikai na uchafu, Nasemaje wambea tunawasubiri kwa hamu..!! 😹😹😹😆😆 mbona hiyo vita mi siifahamu jamni woiii naisubiri kwa ham pia,, au unipe abc nijiandae kisaikolojia
Ngoja nikautafute sijui ulipostiwa wapi, waaaaaaait
Kitendo cha kusema hupendi wanafiki na waongo utaambiwa unajifanya mtakatifu, humu ndani ni mwiko kusema msimamo wako, unatakiwa uwe unapita na kila kitu.Mimi sio mtakatifu na siutaki hasaa huo utakatifu wakae nao wenyeweeee🙌🏻
cant wait😆, ila kama huo ugomvi utakua na code naomba usisite kuniita😜Uzuri wa JF kama bahari haikai na uchafu, Nasemaje wambea tunawasubiri kwa hamu..!! 😹😹😹
😹😹😹 Humu kuna mambo mengi wee hujui tu..!!Ndo kusema umempa Warning🚫
Hivi kumbe kuna hadi crews lol,
Ila we dada unaonekana una ubuyu mwingi sana, wa kwangu huna kweli 😁Na nyie na crew yenu mna vita wambea tunawasubiri kwa hamu 😹😹