Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 40,106
- 96,296
Mmetoa Siri za mwenzenu 😹😹😹cant wait😆, ila kama huo ugomvi utakua na code naomba usisite kuniita😜
Mmetoa Siri za mwenzenu 😹😹😹cant wait😆, ila kama huo ugomvi utakua na code naomba usisite kuniita😜
Hana hayaaaaa,Na tena alikuwa ana jitihada kweli za kwenda selfika kumrusha roho bi mkubwa mahonda ili ajue wana share..!! 😹😹😹
Niko buzebazeba acha tu😀Upo Dar au?
Sema yule jamaa ako (daktari wa mchongo 😀) atakasirika zaidi, hapa tu kaninunia kisa kuzungumza na wewe
Ukiupata nitagIla Smart 😂
Wakuu mwenye link ya uzi
Dr. Mariposa help 🥺
How comes nyuzi za umbea zinanipita kila wakati wakati nakula na kulala JF 🙌
Hovyooooooo kapige mswaki huko
Thread 'Very sory baby love! Smart911 ....na wote kwa uzi ule' Very sory baby love! @Smart911 ....na wote kwa uzi uleAseee thanks in advance
Nausubiri nianze kunywa nao chai hapa
Kuna siri nikiziweka hapa litatokea balaa..!! 😹😹Ila we dada unaonekana una ubuyu mwingi sana, wa kwangu huna kweli 😁
KhantweThread 'Very sory baby love! Smart911 ....na wote kwa uzi ule' Very sory baby love! @Smart911 ....na wote kwa uzi ule
Kuna mdau humu aliwahi kusema unaweza kuona mtu amekuganda ukajua unapendwa kumbe wenzio wamebet 😁😹😹😹 Humu kuna mambo mengi wee hujui tu..!!
Kuna crews mpk za wanaume, wanakula mbususu ya ke kisha wanakutana kupongezana. Hiyo crew ya Siri mpaka kuijua ufanye kazi. Halafu ya wakongwe sasaaaa upo nyonyo? 😹😹😹
Mimi siwezi kufake walai tena, napenda wanawake wenzangu period, sio hadharani nakandia astaghafirullah kibao chemba nakuja kujibebisha nope sina pigo hizo, ndio maana nikasema bora mtu uwe neutral tu freshKitendo cha kusema hupendi wanafiki na waongo utaambiwa unajifanya mtakatifu, humu ndani ni mwiko kusema msimamo wako, unatakiwa uwe unapita na kila kitu.
siri gani tena yawa?, mwenzetu yupi, mimi na nani na tumezipeleka wapi? hii mpya walah😅😅 hebu usiilaze tuimalizie kwenye huu uzi wa daktarMmetoa Siri za mwenzenu 😹😹😹
🤣🤣 Mungu wanguKuna siri nikiziweka hapa litatokea balaa..!! 😹😹
Humu wanapokezana sana mboro na mmoja ikimnogea anaanza kupiga beat wengine wasimsogelee..!!
Wako sina khantwe ila km unao usisite kunipa..!! 😹
Wenzio tulishauchambua uzi kitambo na masai dada kampa miongozo ngomosi party is over 😹😹😹
Nipo titi,😹😹😹 Humu kuna mambo mengi wee hujui tu..!!
Kuna crews mpk za wanaume, wanakula mbususu ya ke kisha wanakutana kupongezana. Hiyo crew ya Siri mpaka kuijua ufanye kazi. Halafu ya wakongwe sasaaaa upo nyonyo? 😹😹😹
Sasa siku ya uzi mbona nilikuwepo humu na sijaona 😂Wenzio tulishauchambua uzi kitambo na masai dada kampa miongozo ngomosi party is over 😹😹😹
Wanaume wa humu waongo waongo na wadada wa humu urafiki wao wa kinafki..!!Kuna mdau humu aliwahi kusema unaweza kuona mtu amekuganda ukajua unapendwa kumbe wenzio wamebet 😁
Hahahahaha nimecheka sana hii, tena wanaanzaga kwa kulike kila post ako, halafu anakufollow, halafu anajifanya mzee flani hivi wa ushauri mzuri, mzee wa mipango ya kimjini mjini, ukiingia kingi watu wanakula kamari yaoKuna mdau humu aliwahi kusema unaweza kuona mtu amekuganda ukajua unapendwa kumbe wenzio wamebet 😁
Hamna wa kukuchamba labda nitoke online na nikirudi tunamzibiti..!! 😹😹😹Hana hayaaaaa,
Masai si kikongwe humu jamani, ifike muda atafute msala afanye toba jamani khe!!!
(Nikichambwa uje unisaidie🤣)
Aweeeee mtoto shika adabu yako dada ako huyo mpe heshima yake bhana,Na Angel Nylon eti inasemekana 😹😹🏃♀️➡️🏃♀️➡️🏃♀️➡️🏃♀️➡️