Maskini, umeupenda Lakini Dr. Mariposa ni flying goalNimependa huo mguu!
Japo una code za wana
Wachelewaji kwenye ubuyu.Hata mie nilishangaa uzi nimeuona jana ulipostiwa April this year
I get you babes, next time uupige mwingi basi kamamaa 🥰Sura yangu ni roho yangu 🤣🤣
Ila ubuyu ni wa muda before sijakuzoea bebiii😅😅
Umesema kila kitu! Wanafiki kila kona, tena ukimkaribia mtu ndio utajionea vioja mzee..Tragic!
At first nilijua hizi ID mbili masai dada na Dr. Mariposa ni mtu mmoja
Anyway around here, everyone looks perfect until you get close enough to really know them, cause we all got a side that doesn't match our image. So don't be surprised if someone you deeply respect today ends up disappointing you tomorrow, once you see that other side.
Wait… what? Masai dada na Smart tena? Smart si ni shemeji wa taifa au?
Huo uzi uko wapi ? the tea is interesting… 😂 Huu ndio umbea wa kwanza nimeufumania JF, mwingi huwa nakuta umeshaisha!
Ningekupigia unipe muongozo shida yako utakataa utasema we sio mbea nitafute mbea mwenzangu.Mambo yao waachie wenyewe watakupa muongozo.
Mzee hulali?We ushaambiwa pipo zilikuwa na quality time, Ke vs Ke halafu unaleta issues za fake IDs. Hii ni real life hamna tena kufake mangii.
Hata mie sijui nini kinaongelwa hapa, yaani nini ni vuuvuu tuNingekupigia unipe muongozo shida yako utakataa utasema we sio mbea nitafute mbea mwenzangu.
I real hate watu wasiotoa ushirikiano umbeani.😏
Ugomvi wa nini tena mbona amani imetawala sipendi tu watu wanaojishtukia shtukia na unafki unafkisamahani hapa ndo kuna maandalizi ya ugomvi?😎
Usijali babes next time nitakusanua kama nikiunyakaI get you babes, next time uupige mwingi basi kamamaa 🥰
Good morning, amka tumtumikie kafiri.
Hapitwagi na jambo huyooo hadi wamvunjie miwani yake ashindwe kusoma😀Mzee hulali?
😅😅😅😅😅😅Hapitwagi na jambo huyooo hadi wamvunjie miwani yake ashindwe kusoma😀
Alokiveka ndo atokitoa
Stimu Za Wine Zikukaa Sawa...Usisite Nijulisha Nije Nikuvue Hicho Kikuku...
Kama Hutojali Lakini
Seran ndo umerudi kimya kimya!Umesema kila kitu! Wanafiki kila kona, tena ukimkaribia mtu ndio utajionea vioja mzee..
Usinizibie rizki za wachumbaMaskini, umeupenda Lakini Dr. Mariposa ni flying goal