Sipendi wanaume msiooga


Je, wewe unaoga? Unamwandalia maji? au unamkomand akajiandalie maji mwenyewe? Wote hao wanaume wako hivyo? Unaswaki? Mgongo wa nne ni upi tena? Wa kwanza, pili na tatu ni yapi? Kama vipi fanya haya yafuatayo;

1. Wanyime mpaka waoge
2. Wapatie company katika kuoga
3. Uwaogeshe mwenyewe
4. Punguza hao wanaume, huenda wamechokana
5. Nawe acha kuoga ili ufanane nao
6. Wakojolee, wataona aibu na kuanza kuoga
7. Achana nao na uanze kuwatafuta wanaooga.

Vinginevyo, kazi imekushinda na unapaswa kujiuzulu.
 
Badilisha title ya thread isomeeke hivi. "sipendi tabia ya mume wangu ya kutokuoga inanikera"
No comment bra Nguli, wanawake wenzake wanapenda may be na wanaume wengine wanaoga hata kabla ya kula na baada ya kula
 
hivi mabinamu huwa hamuogi ?? i don think so.....😉
 

Duh! Naona hapa inabidi Sweetbaby kwanza ujibu hizi hoja za wakuu ili wengine tuweze kuibeba madahii. manake wamechangia kama vile wana password maalum!
 

Duh! Naona hapa inabidi Sweetbaby kwanza ujibu hizi hoja za wakuu ili wengine tuweze kuibeba mada hii. manake wamechangia kama vile wana password maalum!
 
kwanini nioge???...kwani nimetoka kufanya kazi gani ilonichafua toka asubuhi nilipooga home nikaingia ndani ya gari full ac plus mi-air freshner ya ukeli nikapark ofisini kwenye elevated parking tower nikakadandia kijilift mpaka ofcn kwangu nako full unyunyu nikakaa kwenye laptop yangu nimezungukwa na simu kama kazi ni kupokea na kupiga plus kucheka na kujibu forums za JF kisha lunchbox inakuja mezani plus everything at my fingertips...jioni the same thing back home....NIOGE ILI NIWANYIME WATANZANIA WENZANGU WA TABATA/MASAKI/KIMARA WASIOPATA MAJI YA DAWASCO MPAKA SAA 9.00 USIKU KILA JUMATANO???

Acha roho mbaya kwa kuwanyima watzania maji kidogo ya kunywa ili wewe uyaoshee mwili wako usiostahili kuoshwa maana ...HAUJACHAFUKA.....

ni maoni tuuu....finito
 
hivi mabinamu huwa hamuogi ?? i don think so.....😉

Inabidi tumuulize mtoa mada yuko maeneo gani, maana sipati picha kwa joto la ukanda wa pwani ya Afrika Mashariki, mtu kulala bila kuoga wakati maji yapo!!!

Eti dada mtoa mada mwenzetu uko Tukuyu au Mufindi?
 
WC, yaani umenikuna haswa, ni kweli hauna activities zingine tofauti na ulizozimention? I dont buy it, jamani 8 to 9 hours mwili tayari umeshazalisha uchafu hata kama uko kwenye full AC kubali ukatae huo ni mtazamo wangu.
 
Duh! Naona hapa inabidi Sweetbaby kwanza ujibu hizi hoja za wakuu ili wengine tuweze kuibeba madahii. manake wamechangia kama vile wana password maalum!


Sasa Drifter, unadhani Sweetbaby afanyeje? Ajaribu tu kufanya hayo. Huwa mimi napenda sana mke wangu akiniscot kwenda kuoga, huenda yeye anambania mume wake wakati anahitaji.
 
My lips are sealed. Atagundua humu halafu ataanza kunipiga chenga. Si unajua mapenzi sanaa, na wanaume ni watoto tena first born!? Kwani watoto wanadanganywaje hadi wanakubali kulala,kula,kuoga etc?
 
kwanza mwenye sredi yuko wapi.....au kenda koga?
 
WC, yaani umenikuna haswa, ni kweli hauna activities zingine tofauti na ulizozimention? I dont buy it, jamani 8 to 9 hours mwili tayari umeshazalisha uchafu hata kama uko kwenye full AC kubali ukatae huo ni mtazamo wangu.

Sio mtazamo wako tu; mwambie kabisa umempa scientific fact. Perspiration is a continuous process in the human body. Hata ukilala (labda mochwari). Ni kiwango tu kinapishana kutegemeana na kazi na mazingira. Bila shaka WC katoa joke.
 
Sasa Drifter, unadhani Sweetbaby afanyeje? Ajaribu tu kufanya hayo. Huwa mimi napenda sana mke wangu akiniscot kwenda kuoga, huenda yeye anambania mume wake wakati anahitaji.

Ilitakiwa hayo mambo ya kuoga/usafi waelewane (warekebishane) tokea mwanzo kabisa kabla haya ya kuanza kulala kitanda kimoja (na kupeana mgongo wa nne
) hayajaanza. Lakini tena, kama wanaosemwa hapa ni wapita njia tu, basi ipo kazi. Unawarekebishaje hao? Mada inahitaji kuwekwa sawa hii.
 


Au Sweetbaby mwenyewe baridi la kumsaport mzee aoge hana. Huenda jamaa akikumbukia anasikia baridi sana na kujisikia vibaya kuoga.
 

...nanyie!
mnawapata wapi hao wanaume wanaotaka kubembelezwa kama watoto?
Acheni kuwadekeza, nyie sio mama zao!
 

ikiwa wakienda haja kubwa hutumia karatasi hawatumii maji kujisafisha si watumie walau karatasi kujipangusa hayo majasho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…