Sipendi mwanamke mchafu kabisa

Nguo ya kitenge ufue kila unapovaa mbona utaichukia ndani ya muda mfupi sana, watakuja wadada hapa watakuambia wanafua mashuka kila baada ya siku mbili. Mtu naoga nalala nikiwa msafi nilalie shuka siku mbili inahu
Zinapauka hatari, maji yenyewe haya yamejaa chumvi kama nini.
Siku mbili? [emoji28][emoji28][emoji28]wakati ni juma 2 kwa juma 2 maana mashuka yenyew yanapauka.
Mtu anaweza sema Mimi nabadili mashuka kila siku na wakati blanket lake lina miezi 6 halijui maji.
 
Mungu hawezi kuwaweka wote wasafi hilo jiandae kupata mchafu kwako ni lazima mungu huwa hawaweki wenye uwezo sawa wote huchanganya jiandae hivyo utaona mke mchapa kazi mume goigoi mume mtu wa diri sana mke gorikipa ndio mpango wa mungu wewe utaukwepaje
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatari sana, usafi mwingine kujipa mateso tu
 
Mara nyingi huwa inakuwa vice versa,halafu mkisha kaa pamoja muda mrefu kuna mmoja atafuata tabia za mwenzake...
 
Nikiingia ndani sehemu ikiwa untidy akili inashindwa kufanya kazi.

Kwasababu ya make up siwezi kurudia nguo lakini ninarelax si kuwa nikimaliza kula lazima nioshe vyombo hapana
Kuna haja gani ya kutumia "Make-up" mama.. baki natural, yan baki katika uhalisia wako! It'so more attractive than deception of your own naturality!
 
Nguo za ndani ndo nabadilisha kila siku,,jins utavaaje leo alafu ufue leo?au unajiharishiaga mkuu?[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti anajiharishiaga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nguo ya kitenge ufue kila unapovaa mbona utaichukia ndani ya muda mfupi sana, watakuja wadada hapa watakuambia wanafua mashuka kila baada ya siku mbili. Mtu naoga nalala nikiwa msafi nilalie shuka siku mbili inahu
Yaani ufue shuka kila siku mbili Kwani ukilala unapaka mkaa!? Mtu wa hivyo ni muongo kabisaaaaa tena muoooongoooo
 
Utapa mke kulingana na wewe ulivyo
 
Hapa unaweza kumchapa yupi makofi
 
Wewe utakuwa mchafu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…