Haya bhana.Lafudhi yenu inakera mnaongea kwenye mashavu na ulimi na koromea Bora nimsikilize mchaga nainjoi ila sio msambaa.
😋 Nakupenda ujue!Uipende usiipende ndio imeshakuwa hivyo wivu tuu
Alafu mpaka kufikia hatua ya kuwafuatilia maana yake unawapenda na lafudhi yao
Kwa lipi eeeee😋 Nakupenda ujue!
Unampenda mwanaume mwenzio?😋 Nakupenda ujue!
Hiyo avatar yako hunichanganya mara kwa mara.Kwa lipi eeeee
Acha mkuu!🥱Unampenda mwanaume mwenzio?
Hahaha 😂 eti fimbo ya Nyerere.Wasambaa wenye shape ni elfu moja kwa mmoja. Wako kama fimbo ya nyerere.
Jichanganye uone.Acha mkuu!🥱