Sipendi kuoga

Sipendi kuoga

Jaman mnisaidie au utakua ugonjwa au nimerogwa katika kitu ambacho sipend ni kuoga sijui kwann yan Ninaweza pita siku 2 mpka tatu sijaoga hata nikienda kazini naingia bafuni napiga passport size natoka
Ww ni kei au Me tuanzie hapo kwanza
 
Dah! hii wiki inaenda ndivyo sivyo! natoka kusoma uzi wa kuachana na girlfriend kisa birthday yake inakaribia, halafu nakutana na huu upuuzi!

Ee Mola tusaidie!
 
Ukitaka upate mzuka wa kuoga kila siku,ishi kwenye chumba chenye bafu ndani yake

Kipindi sjawa na chumba hiki niliwah kuachana na mke wangu kwasababu ya kunilazimisha kuoga kila siku
mm nipo na bafu ndani lkn wapi kuhusu kuoga sielewi kbsa
 
Back
Top Bottom