The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 37,815
- 116,786
Ungekua huko kazini kwako ni gereji usinge enda bila kuoga.Jamani mnisaidie au utakuwa ugonjwa au nimerogwa katika kitu ambacho sipendi ni kuoga sijui kwanini yaani ninaweza pita siku 2 mpaka tatu sijaoga hata nikienda kazini naingia bafuni napiga passport size natoka.