Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 39,113
- 49,795
Ilikua shughuli aisee.
Ikipita mwezi. Watu wanajipanga weekend moja. Wanamkamata kwanguvu.
Wachukua bomba wanamwagia maji analoa na nguo zake . ataenda bafuni mwenyewe kuzivua na hatimaye ataoga. Watamsimamia pale aoge. Akimaliza wanaachana nae. Basi wakati anaoga pale ni makelele na miluzi mtindo mmoja.
Ilikua burudani sana miaka ile.

