Una option mbili hapo za kutafuta amani yako:hahaaa,hapana mkuu STUNTER...ila napenda saana nikimuona mwanamke ana nywele fupifupi.
Habarini za asubuhi wanajukwaa pendwa la MMU.
Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada husika,baada ya kuhangaika kwa muda mrefu bila kumpata mwanamke tunayeendana naye, hatimaye nimebahatika kumpata mdada mmoja hivi wa kibosho...kwa hakika namuelewa saaana nami ananielewa haswaaa....ila shida iliyopo ni kwamba mimi binafsi sipendi kabisa mwanamke anaye suka..
Napenda sana mwanamke anayenyoa kawaida,na kipindi namtokea nilimkuta anasuka, bali niliamini kuwa naweza kumbadilisha.....hivi karibuni nmemgusia suala la kuacha mara moja suala la kusuka na hatimaye aanze kunyoa, tumegombana saaana.Mpaka muda huu, hali bado sio shwariii baina yetu...
Naombeni mnishauri jamani, nitumie mbinu zipi za kumuelewesha aweze kuacha kusuka bila kuathiri mahusiano yetu? Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu nyote
NB: Sisi ni wachumba...hatujaoana bado
Mbona kuguna mkuu?
Una option mbili hapo za kutafuta amani yako:Habarini za asubuhi wanajukwaa pendwa la MMU.
Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada husika,baada ya kuhangaika kwa muda mrefu bila kumpata mwanamke tunayeendana naye, hatimaye nimebahatika kumpata mdada mmoja hivi wa kibosho...kwa hakika namuelewa saaana nami ananielewa haswaaa....ila shida iliyopo ni kwamba mimi binafsi sipendi kabisa mwanamke anaye suka..
Napenda sana mwanamke anayenyoa kawaida,na kipindi namtokea nilimkuta anasuka, bali niliamini kuwa naweza kumbadilisha.....hivi karibuni nmemgusia suala la kuacha mara moja suala la kusuka na hatimaye aanze kunyoa, tumegombana saaana.Mpaka muda huu, hali bado sio shwariii baina yetu...
Naombeni mnishauri jamani, nitumie mbinu zipi za kumuelewesha aweze kuacha kusuka bila kuathiri mahusiano yetu? Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu nyote
NB: Sisi ni wachumba...hatujaoana bado
Hahaaaaa umenichekesha kuna mmoja ni adunje hafu anajifanya mjuaji.Nahisi utakua unatokea makabila ya kaskazini kama sivyo basi kabila moja hv la nyanda za juu kusini, watu wake ni wafupi sana na wana hela za manyoka
Kwa kweli wanaume wengine ni jipu yani na akili zake eti anakwambia unyoe eti hapendi yeye akiwa ka nani? Mi nitanyoa nikiamua sio kushurutishwa na mwanaume eti hapendi, kwanza wengine ni ubahili tu wa hela ya saloon.shame on u. hivi mtu utaanzaje kunambia ninyoe nywele zangu? nazitunza kwa garama kubwa sivai mawiving wala kuyasuka mwanaume aseme hataki nywele zangu? nimesikitika sana. pole yake bi dada
Wanaume wengi huwadaganya wake zao ila nje anaenda kutafta mwanamke aliyekuzidi vtu ambavyo huna, ndo maana mwanamke inabidi kufanya mambo ndani ya uwezo wako na sio kumpendezesha mumeo hawa huwa hawaridhiki.Kuna mama ashawah niambie mumewe alianza kumwambia ukinyoa unapendeza Sana wife basi akanyoa mwenyewe anazitia black mafuta zinawaka end of the day anakuja gundua mumewe anatoka na mdada wa Saloon aliyokuwa Mara zote akienda na huyo Dada ananywele nzuri tu ndefu akamwambia mumewe kumbe ulkuwa unataka kuwa na sample mbili mwenye nywele na anaenyoa
Kwel umempatia aje apa ajibu kama dem akimwambia asuke atakubal au atakataaWewe ni control freak tu.Kusuka asuke yeye wewe ukereke?Acha kugeuza mwanamke ni commodity.Akisema na yeye hapendi mwanaume anayenyoa nywele bali anayesuka?Utasuka?
Bora umemwambia huyu mwanaume mchwara sasa hapo kamchoka anamtaftia sababu tu either ya Ku justify kuchepukaNdiyo matatizo ya baadhi ya wanaume. Ulimpenda wakati anasuka na kuamua kumtongoza akakubalia. Sasa umempata mdada mnayeendana unaleta mambo yako yako ya uchwara uchwara eti hupendi asuke! Kesho utakuja na kingine sipendi uvae gauni fupi. Acha hizo tabia za uchwara uchwara Mkuu ili uenjoy penzi na mpenzi wako.
Bora umemwambia huyu mwanaume mchwara sasa hapo kamchoka anamtaftia sababu tu either ya Ku justify kuchepuka
Habarini za asubuhi wanajukwaa pendwa la MMU.
Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada husika,baada ya kuhangaika kwa muda mrefu bila kumpata mwanamke tunayeendana naye, hatimaye nimebahatika kumpata mdada mmoja hivi wa kibosho...kwa hakika namuelewa saaana nami ananielewa haswaaa....ila shida iliyopo ni kwamba mimi binafsi sipendi kabisa mwanamke anaye suka..
Napenda sana mwanamke anayenyoa kawaida,na kipindi namtokea nilimkuta anasuka, bali niliamini kuwa naweza kumbadilisha.....hivi karibuni nmemgusia suala la kuacha mara moja suala la kusuka na hatimaye aanze kunyoa, tumegombana saaana.Mpaka muda huu, hali bado sio shwariii baina yetu...
Naombeni mnishauri jamani, nitumie mbinu zipi za kumuelewesha aweze kuacha kusuka bila kuathiri mahusiano yetu? Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu nyote
NB: Sisi ni wachumba...hatujaoana bado
Habarini za asubuhi wanajukwaa pendwa la MMU.
Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada husika,baada ya kuhangaika kwa muda mrefu bila kumpata mwanamke tunayeendana naye, hatimaye nimebahatika kumpata mdada mmoja hivi wa kibosho...kwa hakika namuelewa saaana nami ananielewa haswaaa....ila shida iliyopo ni kwamba mimi binafsi sipendi kabisa mwanamke anaye suka..
Napenda sana mwanamke anayenyoa kawaida,na kipindi namtokea nilimkuta anasuka, bali niliamini kuwa naweza kumbadilisha.....hivi karibuni nmemgusia suala la kuacha mara moja suala la kusuka na hatimaye aanze kunyoa, tumegombana saaana.Mpaka muda huu, hali bado sio shwariii baina yetu...
Naombeni mnishauri jamani, nitumie mbinu zipi za kumuelewesha aweze kuacha kusuka bila kuathiri mahusiano yetu? Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu nyote
NB: Sisi ni wachumba...hatujaoana bado
nilitegemea ntambadili mkuu
Wanaume huwa hawaeleweki wanataka nini basi akishakupata anataka aku control ka remote kwa nature wanawake wengi hupenda kusuka sasa kumpangia inahuuuu....Alimpenda wakati anasuka sasa analeta za kuleta ambazo hazihusu kitu. Wanaume wengine wanastaajabisha sana. Sasa mpenzi wako akisuka wewe inakuathiri vipi kwenye penzi lenu? Eti anataka anyoe!!! si kila mwanamke anayependa kuwa na nywele fupi.
Wewee usitutusi wanaume tunaojua kuhudumia...Si ndio zinawafanya mnabwaga chozi humu kila uchao?..
Kila siku wanaume mnalalamika kuombwa hela ya saluni .
Sio ubahiri ndugu, ujue kuna wanawake pia hawapendi wanaume wanaoweka wave na super black!umeongea facts mkuu,japo hawa jamaa wanadai et mm ni bahiri
Kwani mkuu wewe ni msabato??? ( samahani lakini)[emoji4] [emoji4]Habarini za asubuhi wanajukwaa pendwa la MMU.