Miss chaga tukutane leovazi la mwanamke la kwanza ni nywele.. sina maana nywele bandia nywele zake asili...naamini na wewe kuna mapungufu unayo anayachukulia jitahidi umchukulie mwenzio
hana jingine .Wacha Ubahili, Unaogopa Kuombwa Hela ya Saloon?
Kuna mawili;hahaa,ni PM namba zake mkuu
Hahaha, Msukuma kabana mifereji yote ya helahana jingine .
Unakunywa kinywaji ganiWewe ni control freak tu.Kusuka asuke yeye wewe ukereke?Acha kugeuza mwanamke ni commodity.Akisema na yeye hapendi mwanaume anayenyoa nywele bali anayesuka?Utasuka?




Umeongea vzr sana.ata mm npo upande wako mkuu, n swala la interest tu. sema waungwana wanashindwa kuelewa. na nafkr hzo n facts ambazo znaweza kutumika kumpata yule umeumbiwa., kuna wengne wanavutiwa na makalio, wengne matit and so on. mm bnafs napenda sana asie na mambo meng, urembo wake zaid ujengwe kwenye mavaz kuliko makeup, unamkuta mtu kajchora uson kawa kama simbilisi jicho la kushoto wanja wa blue la kulia wanja mwekundu, alafu umeptiliza adi shavun wenyewe wanaita sina mume aisee m hapana., ua najhs ata kutapka. na ata nywele mtindo wa afro ua unawapendeza zaid kuliko kuvaa hayo manywele yao bandia..
sema kuhusu inshu yako nenda nae taratbu kama anakupenda kwel ata kuelewa tu. mwanamke mwenye mapenz ya dhat kwako, yaan yule anae kupenda kwel, ua yuko teyar kufanya kila kitu kwa ajili yako ata kuhatarsha maisha yake wakat flan. so swala kama hlo kwake sio big issue just take time and use romantic language
Teh, tuko pamoja kwenye maombi.Dunia sasa inaelekea kubaya... Hivi sasa mmeanza kupendea nywele??
Wenzako wanakuambia mwanamke nywele, Kijana angalia sana usije ukaanza kutamani wanaume wenzio.
Sote tusimame kumwombea mleta mada asiingie kwenye ukameruni
Amina mtumishi. Usisahau kuleta sadaka ya kutosha ghalani mwa bwanaTeh, tuko pamoja kwenye maombi.
Duuuuh mimi sipend kabisa mawigi, tena mengine yapo kama helmets




