Sipati wanaume wa rika langu

Sipati wanaume wa rika langu

dada ukishafikisha miaka 25 wew unacheza ligi ya kimataifa mwanaume size yoyote unaweza beba na kuhimiri tatizo la kufungiwa ndani ndio hilo kuku wa kizungu nimeona nikueleze kidogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikipata hata adi 35 sina shida ila sipati, ninakua nacontact nao ni watu wazima kutokana na nature ya kazi

Na ndio mimi ni nyumbani na kazini tu na nkichelewa rudi wazee wakalii

Na chuo nlishawahi kua na boyfriend ila alkua muhuni sana kias kwamba tulishindwana

Alitake advantage over the fact anajua m nlkua si mtu wa kutoka mara kwa mara hivo akawa na vimada wengi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila mzigo alikula

From profile picture to proper future
 
pole agamate,jaribu kujichanganya sehemu tofauti tofauti,kama sehemu za ibada,sokoni etc
 
Kutokana na wanaume wa dar wanavyopenda mapenzi ya Pehle Pehle na Kuch Kuch Hota Hai,huu uzi utafika 1kz‍♂️
 
Nikipata hata adi 35 sina shida ila sipati, ninakua nacontact nao ni watu wazima kutokana na nature ya kazi

Na ndio mimi ni nyumbani na kazini tu na nkichelewa rudi wazee wakalii

Na chuo nlishawahi kua na boyfriend ila alkua muhuni sana kias kwamba tulishindwana

Alitake advantage over the fact anajua m nlkua si mtu wa kutoka mara kwa mara hivo akawa na vimada wengi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulisoma chuo gani?

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Nikipata hata adi 35 sina shida ila sipati, ninakua nacontact nao ni watu wazima kutokana na nature ya kazi

Na ndio mimi ni nyumbani na kazini tu na nkichelewa rudi wazee wakalii

Na chuo nlishawahi kua na boyfriend ila alkua muhuni sana kias kwamba tulishindwana

Alitake advantage over the fact anajua m nlkua si mtu wa kutoka mara kwa mara hivo akawa na vimada wengi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza vunja hizo itikadi za kikoloni ambazo wazazi wanazi impose kwako, binti wa 25 years ni mtu mzima ambaye anaweza kufanya maamuzi yake pasi na kuingiliwa na mzazi na hata kisheria. Do whats good for you regardless mzazi atachukia au ataongea nini, maisha ni ya yako sio ya mzazi wako!

Fanya hivyo kwanza, utilize your liberty rights tena na kazi unayo kabisa. Go out utaondoa ushamba, aibu, meet with people acha kuwa confined!
 
Thank you, ila hapo ndo weakness yangu. Mimi ni mtu mwenye aibu sana. Na nashindwa jichanganya na vijana wezangu coz always wanapenda mitoko ya jioni na hicho ni kitu kwangu hakiezkani kutokana na wazaz wangu they are very conservative

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa utakuwa unapigwa pumbu na kuachwa, sorry but im just trying to be real with you! Labda upate mtu serious ambaye anatafta mke akuoe kabisa!

Ila kwa hao vijana unaotaka wewe amini kwamba kama umejaaliwa sura na umbo zuri mtu atataka akauze sura na wewe viwanja akawatambie wana. Sasa hiz habari za sijui baba hataki nitoke mara namuogopa mama sijui bla bla watu watakunawa kisha wanatembea! Jaribu ku exercise uhuru wako hata kama baba na mama watanuna ila hio itawafanya watambue kuwa umekuwa sasa. Go out meet people hata ukichelewa rudi but usilale nje kabisa! Enjoy usichana wako, usije kumtesa mume kwa fungulia mbwa baada ya kuolewa ukaanza starehe kama upo single.

Kuna manzi nimemtema recently ana utoto huo na ma aibu ya kijinga. Nimejaribu kumjengea confidence ila wapi, she is 24 now ila ana utoto wa kukumbatiana na wazazi na kuwaogopa kama mtoto wa miaka 12! I hate shy girls na asili yao ni kama ulivyojitanabaisha wewe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom