Sipati wanaume wa rika langu

Maana yake ni Less important/Sio muhimu/Haiuhusiani.

Mtu anaposema mie ni mzuri, chura is irrelevant! Hahah huihitaji PhD kufafanua hio kauli!
Ahahaa...! Sawa chura haihusiani na uzuri. Lakini wewe si umedai chura mkuu? Basi mtoto chura anayo pia mkuu. Jitwishe kabinti kakishua hako mkuu,hutaangaika nako. Labda wewe tu uamue kuwa mapepe. Ksbb yeye tayari analo somo jinsi ya kumhendo Extrovert wote,ni wewe tu mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoto ana chura we umeiona hio chura au umembahatisha tu!
 
Jamani nisaidieni mimi ni binti wa mikaka 25, mara nyingi nipo nyumbani tuu. Wazazi wangu hawapendi nitoke tangu mdogo hivo nimekua mtu nsie na social life

Yani maisha yang ni nyumbani, kazi za nyumbani, yani sikutani na vijana wa umri wangu kabisa.

Na ninapo fanya kazi wengi ni watu wazima na familia zao
Hivyo mara nyingi naishiwa kutongozwa na waumme za watu.

Hichi kitu kinanivunja moyo kwani natamani siku nipate mwenza na kufunga ndoa.

Ila naona umri unaenda na nimekua single kwa mda mref sana.

Nyumbani posa zilikuja kama tatu ila sipendelei kuozwa na mtu nsomjua wala nsompenda.

Naombeni msaada

Sent using Jamii Forums mobile app
mimi npo njo
 
Tupi wengi tu sijui unakwama wapi

mara huruhusiwi kutoka . mara unapofanya kazi. hao walioleta posa walijuaje kwamba upo kama hutoki? jipange
 
Jamani nisaidieni mimi ni binti wa mikaka 25, mara nyingi nipo nyumbani tuu. Wazazi wangu hawapendi nitoke tangu mdogo hivo nimekua mtu nsie na social life

Yani maisha yang ni nyumbani, kazi za nyumbani, yani sikutani na vijana wa umri wangu kabisa.

Na ninapo fanya kazi wengi ni watu wazima na familia zao
Hivyo mara nyingi naishiwa kutongozwa na waumme za watu.

Hichi kitu kinanivunja moyo kwani natamani siku nipate mwenza na kufunga ndoa.

Ila naona umri unaenda na nimekua single kwa mda mref sana.

Nyumbani posa zilikuja kama tatu ila sipendelei kuozwa na mtu nsomjua wala nsompenda.

Naombeni msaada

Sent using Jamii Forums mobile app
Endelea kuchagua....utachina

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuma picha kwanza tuone yaliyomo!

Kwa hiyo miaka 25 wanaume wa rika lako ni hao wenye familia wanaokutongoza. Hawa walio chini ya 30 utatakiwa ukubali kuwa kwenye mahusiano ya kuchunguzana kwa zaidi ya miaka 3 na hapo muda wa kuoana ukifika ataona umeshamzidi umri.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
kwel kabisa ndio maana me nachukua miaka 19 20 21 basi lakini tupo rika moja dada ila wew kwangu nakuona mzee yani jioni sana.
Kwa hiyo miaka 25 wanaume wa rika lako ni hao wenye familia wanaokutongoza. Hawa walio chini ya 30 utatakiwa ukubali kuwa kwenye mahusiano ya kuchunguzana kwa zaidi ya miaka 3 na hapo muda wa kuoana ukifika ataona umeshamzidi umri.

Sent from my iPhone using JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahsante, ntajitahidi... Ila wazazi wangu wanpenda nisubiri posa ndo ije nyumbani. Na icho kitu mi sikitaki

Sent using Jamii Forums mobile app
Wazazi wako wakoloni sana.Sina uhakika na imani yako lakin aisee at 25 years you need start creating your own path. Hasa ukizangatia kuwa una kazi tayar.Kaa na uzungumze kwa kina na wazee hasa mama yako umueleze vile wanakua kikwazo kwako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom