Sipati wanaume wa rika langu

Sipati wanaume wa rika langu

Thank you, ila hapo ndo weakness yangu. Mimi ni mtu mwenye aibu sana. Na nashindwa jichanganya na vijana wezangu coz always wanapenda mitoko ya jioni na hicho ni kitu kwangu hakiezkani kutokana na wazaz wangu they are very conservative
Ushauri wangu kwanza jarib kuwa social. Jichanganye na watu wa umri wako.
Kumbuka unavutia kutokana na unavyoishi. Umejitenga thats why wanao ku approach ni wazee wazee.
You are an introvent by personality.. thats why uko hivyo. Expand your social barrier. Utafanikiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio lazima utoke kama wao hapana .bali kutembea tu.. labda kuwajulia hali.. kukaa nao mpige story. Sio lazima ufuate njia zao. Hapana.. be you.. lakin socialize in a different way.
Mm ni introvent kama ww.. no friends..na enjoy nikiwa mwenyewe. Kuna mambo nilifanya yalinisaidia kujichanga na watu but siwez yasema hapa. Pm nikupe tricks zitazo kusaidia
Thank you, ila hapo ndo weakness yangu. Mimi ni mtu mwenye aibu sana. Na nashindwa jichanganya na vijana wezangu coz always wanapenda mitoko ya jioni na hicho ni kitu kwangu hakiezkani kutokana na wazaz wangu they are very conservative

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thank you, ila hapo ndo weakness yangu. Mimi ni mtu mwenye aibu sana. Na nashindwa jichanganya na vijana wezangu coz always wanapenda mitoko ya jioni na hicho ni kitu kwangu hakiezkani kutokana na wazaz wangu they are very conservative

Sent using Jamii Forums mobile app
Njoo PM

.
 
Jamani nisaidieni mimi ni binti wa mikaka 25, mara nyingi nipo nyumbani tuu. Wazazi wangu hawapendi nitoke tangu mdogo hivo nimekua mtu nsie na social life

Yani maisha yang ni nyumbani, kazi za nyumbani, yani sikutani na vijana wa umri wangu kabisa.

Na ninapo fanya kazi wengi ni watu wazima na familia zao
Hivyo mara nyingi naishiwa kutongozwa na waumme za watu.

Hichi kitu kinanivunja moyo kwani natamani siku nipate mwenza na kufunga ndoa.

Ila naona umri unaenda na nimekua single kwa mda mref sana.

Nyumbani posa zilikuja kama tatu ila sipendelei kuozwa na mtu nsomjua wala nsompenda.

Naombeni msaada

Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi hao watu wazima, na wenye familia zao wanapokutongoza unawakubalia

""...IF PIANO IS OUT OF TUNE, THE MUSICIAN WILL FAIL, NO MATTER HOW MUCH OF A MUSICIAN HE MAY BE...""
 
Jamani nisaidieni mimi ni binti wa mikaka 25, mara nyingi nipo nyumbani tuu. Wazazi wangu hawapendi nitoke tangu mdogo hivo nimekua mtu nsie na social life

Yani maisha yang ni nyumbani, kazi za nyumbani, yani sikutani na vijana wa umri wangu kabisa.

Na ninapo fanya kazi wengi ni watu wazima na familia zao
Hivyo mara nyingi naishiwa kutongozwa na waumme za watu.

Hichi kitu kinanivunja moyo kwani natamani siku nipate mwenza na kufunga ndoa.

Ila naona umri unaenda na nimekua single kwa mda mref sana.

Nyumbani posa zilikuja kama tatu ila sipendelei kuozwa na mtu nsomjua wala nsompenda.

Naombeni msaada

Sent using Jamii Forums mobile app
Daah ngoja nijaribu bahati yangu. Huenda ndo fursa hii. Nakuja mama PM tuchonge.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio lazima utoke kama wao hapana .bali kutembea tu.. labda kuwajulia hali.. kukaa nao mpige story. Sio lazima ufuate njia zao. Hapana.. be you.. lakin socialize in a different way.
Mm ni introvent kama ww.. no friends..na enjoy nikiwa mwenyewe. Kuna mambo nilifanya yalinisaidia kujichanga na watu but siwez yasema hapa. Pm nikupe tricks zitazo kusaidia

Sent using Jamii Forums mobile app
Utakua umenisaidia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom