Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 53,246
- 50,468
weka picha tukuone tukuthaminishe Kwanza!Jamani nisaidieni mimi ni binti wa mikaka 25, mara nyingi nipo nyumbani tuu. Wazazi wangu hawapendi nitoke tangu mdogo hivo nimekua mtu nsie na social life
Yani maisha yang ni nyumbani, kazi za nyumbani, yani sikutani na vijana wa umri wangu kabisa.
Na ninapo fanya kazi wengi ni watu wazima na familia zao
Hivyo mara nyingi naishiwa kutongozwa na waumme za watu.
Hichi kitu kinanivunja moyo kwani natamani siku nipate mwenza na kufunga ndoa.
Ila naona umri unaenda na nimekua single kwa mda mref sana.
Nyumbani posa zilikuja kama tatu ila sipendelei kuozwa na mtu nsomjua wala nsompenda.
Naombeni msaada
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushauri wangu ni very simple: Ondoa maringo, kujisikia na aibu, tongoza wanaume wa rika lako, unaowapenda..umepitia chuo?, if yes, huko chuo hujapata wanaume wa kukutongoza..
1) Una-play too hard to get?
2) Una tabia ya mizinga, kumuomba omba hela mwanaume baada ya kutongozwa..?
3)Umesema ww ni mrembo, kama hadi umefika miaka 25, na hujapata mwanaume handsome aliewahi kukutongoza bhasi kiuhalisia ww si mrembo kama unavojifikiria
Yote Tisa, una chura mkubwa? young_ma

Jamani nisaidieni mimi ni binti wa mikaka 25, mara nyingi nipo nyumbani tuu. Wazazi wangu hawapendi nitoke tangu mdogo hivo nimekua mtu nsie na social life
Yani maisha yang ni nyumbani, kazi za nyumbani, yani sikutani na vijana wa umri wangu kabisa.
Na ninapo fanya kazi wengi ni watu wazima na familia zao
Hivyo mara nyingi naishiwa kutongozwa na waumme za watu.
Hichi kitu kinanivunja moyo kwani natamani siku nipate mwenza na kufunga ndoa.
Ila naona umri unaenda na nimekua single kwa mda mref sana.
Nyumbani posa zilikuja kama tatu ila sipendelei kuozwa na mtu nsomjua wala nsompenda.
Naombeni msaada
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha sasa dada yangu ukimuacha kila mwanaume unaempenda kisa tu anaku-cheat utaacha wangapi, tafta mwanaume anaekuvutia, mwenye afadhali, mjenge maisha, huyo mwanaume asie-cheat kumpata labda Mungu aweke mkono wake lasivyo young_ma
Ongea na wazazi wako kuhusiana na hiyo hali,watakushauri zaidi na utakuwa na furaha.Nikipata hata adi 35 sina shida ila sipati, ninakua nacontact nao ni watu wazima kutokana na nature ya kazi
Na ndio mimi ni nyumbani na kazini tu na nkichelewa rudi wazee wakalii
Na chuo nlishawahi kua na boyfriend ila alkua muhuni sana kias kwamba tulishindwana
Alitake advantage over the fact anajua m nlkua si mtu wa kutoka mara kwa mara hivo akawa na vimada wengi sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Simple sana my dear,nitahidi kujumuika sehemu za watu wengi eg church, beach,bar, etc
Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
Haya sasa ushindwe mwenyewe niko hapa....!Jamani nisaidieni mimi ni binti wa mikaka 25, mara nyingi nipo nyumbani tuu. Wazazi wangu hawapendi nitoke tangu mdogo hivo nimekua mtu nsie na social life
Yani maisha yang ni nyumbani, kazi za nyumbani, yani sikutani na vijana wa umri wangu kabisa.
Na ninapo fanya kazi wengi ni watu wazima na familia zao
Hivyo mara nyingi naishiwa kutongozwa na waumme za watu.
Hichi kitu kinanivunja moyo kwani natamani siku nipate mwenza na kufunga ndoa.
Ila naona umri unaenda na nimekua single kwa mda mref sana.
Nyumbani posa zilikuja kama tatu ila sipendelei kuozwa na mtu nsomjua wala nsompenda.
Naombeni msaada
Sent using Jamii Forums mobile app
Ima only 27Jamani nisaidieni mimi ni binti wa mikaka 25, mara nyingi nipo nyumbani tuu. Wazazi wangu hawapendi nitoke tangu mdogo hivo nimekua mtu nsie na social life
Yani maisha yang ni nyumbani, kazi za nyumbani, yani sikutani na vijana wa umri wangu kabisa.
Na ninapo fanya kazi wengi ni watu wazima na familia zao
Hivyo mara nyingi naishiwa kutongozwa na waumme za watu.
Hichi kitu kinanivunja moyo kwani natamani siku nipate mwenza na kufunga ndoa.
Ila naona umri unaenda na nimekua single kwa mda mref sana.
Nyumbani posa zilikuja kama tatu ila sipendelei kuozwa na mtu nsomjua wala nsompenda.
Naombeni msaada
Sent using Jamii Forums mobile app
Unamaanisha Likizo my😉😉😉 ?Jichanganye my usiwe kama mm mwenzio wananifuata bodaboda wa mtaan kwetu sababu sitoki nikitoka sana dukani, sokoni.
Nipo siendi kazini
Sent using Jamii Forums mobile app