Sipati wanaume wa rika langu

Jamani nisaidieni mimi ni binti wa mikaka 25, mara nyingi nipo nyumbani tuu. Wazazi wangu hawapendi nitoke tangu mdogo hivo nimekua mtu nsie na social life

Yani maisha yang ni nyumbani, kazi za nyumbani, yani sikutani na vijana wa umri wangu kabisa.

Na ninapo fanya kazi wengi ni watu wazima na familia zao
Hivyo mara nyingi naishiwa kutongozwa na waumme za watu.

Hichi kitu kinanivunja moyo kwani natamani siku nipate mwenza na kufunga ndoa.

Ila naona umri unaenda na nimekua single kwa mda mref sana.

Nyumbani posa zilikuja kama tatu ila sipendelei kuozwa na mtu nsomjua wala nsompenda.

Naombeni msaada

Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba unipe location pliz mimi ndie yule mwanaume wa lika lako

CC Zero IQ
 
Siku hizi hamna waoaji mdogoangu. Wala usihangaike na chochote kwamba kuna kijana atatokea kukuoa. Utasumbuka sana kisaikorojia ukifikiria hivyo. Bahati mbaya wasichana wengi wanaanza kujisikia vibaya kuanzia huo umri kujiuliza kwa nini haolewi? Na hicho ulichosema unaonekana na wazee tu,sio kweli,vijana nao wanakuona ila wanakuogopa kufuatana na hali yako kuwa labda ya uwezo wa juu. Lakini hata hivyo ukijichanganya na vijana wenzio kama wengine wanavyokushauri,utaishia kutongozwa na bodaboda sana,na ndio hao uliokataa posa zao. Suruhisho,anza kutafuta namna yoyote ya kujiimarisha wewe mwenyewe kimaisha yako,bila kumsubiri mwanaume. Jitahidi kutengeneza future yako iwe nzuri bila kusubiri mwanaume. Baadae ukiwa na maisha yako,uwezo wako,kwa hiari yako utapanga tu nani akuzalishe,hata watoto wawili au vile upendavyo. Lakini hakikisha hao watoto unawamudu wewe kama wewe,usimtegemee mtu. Hapo ukisahau kbs wazo la kuolewa inaweza kutokea mwanaume unamkubali akakuoa. Asipotokea endelea na mishe zako. Hiyo unayopitia wewe wasichana wengi wanapitia mwisho wa siku anajikuta amejitupa kwa lijitu tu ili mradi aolewe,na ndio maana ndoa nyingi ziko tabani. Nakushauri ondoa kabisa wazo la kuolewa,ishi maisha yako

Sent using Jamii Forums mobile app
Waoaji tupo bwana usimkatishe tamaa, tena kwa binti aliejitunza ni baab kubwa sana. Chap tu kama analipa watu tunatangaza nia.
 
Kwanza i don't play hard to get
Pili sinaga tabia ya kupiga mzinga. Labda nipigwe mim
Tatu sijabahatika coz ya lifestyle wazaz wangu wanyotaka niishi
Nne nlishawahi kua na mpenz chuo ila hakuamuaminifu, na iyo kwangu ni aspect muhim pia
Uzuri ninao
Chura ni irrelevant

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
Una sound kama binti wa kiislamu mwenye wazazi wenye itikadi kalo sana kidini.
Kwa uzuri mashaallah siwezi pinga ila kuhusu kusema chura ni irrelevant unamaanisha nini hapo? Yupo au hayupo!?
 
Waoaji tupo bwana usimkatishe tamaa, tena kwa binti aliejitunza ni baab kubwa sana. Chap tu kama analipa watu tunatangaza nia.
Mmmh...! Kweli eeeh? Extrovert mkuu siku hizi waoaji ni wachache sana mkuu. Labda kama wewe hivyo,kama na wewe huna nia ya kummega tu kisera,then unamuachia u-single mother.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmmh...! Kweli eeeh? Extrovert mkuu siku hizi waoaji ni wachache sana mkuu. Labda kama wewe hivyo,kama na wewe huna nia ya kummega tu kisera,then unamuachia u-single mother.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah mie naoa kabisa meku, yani mtoto kama anakonga roho kwanini nisimuweke ndani akapendezesha nyumba? Tatizo naliona kwenye itikadi tu hapo ndio inaweza ikaamua kwamba awe mama wa familia au single mother!
 
Jamani nisaidieni mimi ni binti wa mikaka 25, mara nyingi nipo nyumbani tuu. Wazazi wangu hawapendi nitoke tangu mdogo hivo nimekua mtu nsie na social life

Yani maisha yang ni nyumbani, kazi za nyumbani, yani sikutani na vijana wa umri wangu kabisa.

Na ninapo fanya kazi wengi ni watu wazima na familia zao
Hivyo mara nyingi naishiwa kutongozwa na waumme za watu.

Hichi kitu kinanivunja moyo kwani natamani siku nipate mwenza na kufunga ndoa.

Ila naona umri unaenda na nimekua single kwa mda mref sana.

Nyumbani posa zilikuja kama tatu ila sipendelei kuozwa na mtu nsomjua wala nsompenda.

Naombeni msaada

Sent using Jamii Forums mobile app
Tumia nguvu, kuna mwenzio pale Shinyanga juzi baba yake kamjaza tumbo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikipata hata adi 35 sina shida ila sipati, ninakua nacontact nao ni watu wazima kutokana na nature ya kazi

Na ndio mimi ni nyumbani na kazini tu na nkichelewa rudi wazee wakalii

Na chuo nlishawahi kua na boyfriend ila alkua muhuni sana kias kwamba tulishindwana

Alitake advantage over the fact anajua m nlkua si mtu wa kutoka mara kwa mara hivo akawa na vimada wengi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Usimlaumu huyo boyfriend maana alichohitaji ni kuwa na wewe ila ugeti kali ulikuwa mwingi ndo maana akawa na wasaidizi mbalimbali
 
MOJA
Jamani nisaidieni mimi ni binti wa mikaka 25, mara nyingi nipo nyumbani tuu. Wazazi wangu hawapendi nitoke tangu mdogo hivo nimekua mtu nsie na social life

Yani maisha yang ni nyumbani, kazi za nyumbani, yani sikutani na vijana wa umri wangu kabisa.

Na ninapo fanya kazi wengi ni watu wazima na familia zao
Hivyo mara nyingi naishiwa kutongozwa na waumme za watu.

Hichi kitu kinanivunja moyo kwani natamani siku nipate mwenza na kufunga ndoa.

Ila naona umri unaenda na nimekua single kwa mda mref sana.

Nyumbani posa zilikuja kama tatu ila sipendelei kuozwa na mtu nsomjua wala nsompenda.

Naombeni msaada

Sent using Jamii Forums mobile app
MOJA YA MAKOSA YA WAZAZI WA KIAFRIKA NI KUHISI WANAKUZA WATOTO NA SI WAZAZI WA BAADAE KTK MAISHA YETU YA KIAFRIKA.
 
In fact weka picha halafu njoo kwangu maana nitakupa malove dove yote yaani mume wako wa maisha ninakuahidi hotoisha hamu baby
 
Jamani nisaidieni mimi ni binti wa mikaka 25, mara nyingi nipo nyumbani tuu. Wazazi wangu hawapendi nitoke tangu mdogo hivo nimekua mtu nsie na social life

Yani maisha yang ni nyumbani, kazi za nyumbani, yani sikutani na vijana wa umri wangu kabisa.

Na ninapo fanya kazi wengi ni watu wazima na familia zao
Hivyo mara nyingi naishiwa kutongozwa na waumme za watu.

Hichi kitu kinanivunja moyo kwani natamani siku nipate mwenza na kufunga ndoa.

Ila naona umri unaenda na nimekua single kwa mda mref sana.

Nyumbani posa zilikuja kama tatu ila sipendelei kuozwa na mtu nsomjua wala nsompenda.

Naombeni msaada

Sent using Jamii Forums mobile app
Utaendelea kuoza hapo nyumbani, pokea hizo posa, utoke hapo nyumbani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thank me later.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom