Siolazima!

inaelekea leo umekula chnyewd kutoka kwa bob ,coz vjana mkishakula v2 vyen vya kufuka mosh akil inakuwa ant clocwis
 
Mwenye chenji ya buku jamani, au kama una elfu mbili nikupe buku.

Chagua vijiwe vya kuvutia ganja... We unavuta tu ili mradi ni kijiwe cha msuba...mnavyopasiana unaona raha... Angalia sasa unavyobwabwaja pumba! Ndiyo nini sasa...! Chenji.. Mara buku.... Rudi kwa pusha wako,usisumbue jamvi!
 
Mphamvu umenichekesha sn,sema wewe hua unashiba kwanza ndio uvute lol!hahahahaha!

Niitage baby siku moja moja basi, nami nijihisi mwanadamu.
Mbona unakuwa na roho mbaya ivo Cantalisia? Ukiendelea hivi mwisho nitakuwa kama huyu jamaa hapo juu a.k.a baba mwenye thread, si unaona alivyochizi?
 
Last edited by a moderator:
methane+......noma hata kama ww ni bobo marley lazima utafanya haya

Bob noma bro.
Nasikia enzi zake mnaweza kuwa mmekaa kijiweni, akawasha msokoto mmoja, akauvuta mpaka ukaisha bila kutoa moshi. Afu baadae, nyie mshasahau kama jamaa alivuta yeye ndo anakuja kutoa moshi.
Loh?
 
Back
Top Bottom