Katitima
JF-Expert Member
- Jun 28, 2013
- 634
- 125
wangoni-wanapenda sana chini haswa wanaume.
wapare-bahili & wakorofi.
Wazaramo-wavivu+kucheza ngoma,ukioa mzaramo umeumia kwenye taarabu za usiku..
wangoni njooni hukuu...
wangoni-wanapenda sana chini haswa wanaume.
wapare-bahili & wakorofi.
Wazaramo-wavivu+kucheza ngoma,ukioa mzaramo umeumia kwenye taarabu za usiku..
utalalA chin lkn shikamoo si utapata tena nyingi tu na videmu si utPata.
.Sukuma-hard working
.Nyamwezi-umbea na uvivu
.Haya-Pride & umal.ya
.Chaga-Ubahili
.Nyiramba-hawajatulia
.Ngoni-roho mbaya
.Warangi-wivu
.Kurya-ngumi nje nje
.Muha-ubishi
.
Tutofautishe tabia na mienendo.
mimi ni mnyambo nawajua sana wahaya kwa misifa. mmoja jana kaulizwa na muuza chips..HII CHIPS NA MAYAI NICHANGANYE. mhaya kwa ulimbukeni akajibu CONFUSE . akijua ko confuzi ni kuchanganyikiwa ya chips zichanganywe na mayai
Wewe kwenu wapi. wahaya wanatabia flani flani zinachefua. wachaga tamaa mbele mauti nyuma. wanyamwezi wavivu. waha wachawi. wafipa wachawi. wabena wapole na wachapa kazi. wakwere wavivu. wangoni walevi na wazinzi. wameru wagonvi. wanyaturu umalaya. wagogo wachafu. wazigua wachawi. wasukuma ndio nawakubali. wahaya misifa na umalaya. warangi wanaongea sana. WAZARAMO utajaza
Wanyambo ndo hao hao
wahaya tena wamepitilizia kwa mashauzi aisee...kulikuwa na prof wa
kinyambo UDSM alikuwa balaa kwa majigambo na misifa.....
Mkuu una elimu gani?mimi ni mnyambo nawajua sana wahaya kwa misifa. mmoja jana kaulizwa na muuza chips..HII CHIPS NA MAYAI NICHANGANYE. mhaya kwa ulimbukeni akajibu CONFUSE . akijua ko confuzi ni kuchanganyikiwa ya chips zichanganywe na mayai
Mkuu una elimu Nializa juzuu zote. nimekaa nyumbani kwa masheikh wanne na bado kuna kajielim nachukua kwa sheilh wa Kibamba. hii nahisi ni elim tosha kabisa
Wakurya ubabe, hata akitaka tendo la ndoa utasikia "Arooo mama Bhoke hebu rara nikurenge"
Niliwasahau watu maarufu sana. WAKINGA. very hard working and very enterprising lakini kazi ya hela sio matumizi ila kuangaliwa na kuhifadhiwa kwenye godoro. mpaka sasa milango ya benki hawaijui
Wanyambo ndo hao hao wahaya tena wamepitilizia kwa mashauzi aisee...kulikuwa na prof wa kinyambo UDSM alikuwa balaa kwa majigambo na misifa.....