Sio ukabila,ni kutaka kujua tu

Sio ukabila,ni kutaka kujua tu

Na mie kabila mama mchaga baba mzungu wa marekani?....au makabila ya kizungu na yale "hybrids" hayahusiki kwenye uchambuzi huu...na kama mwengine mama mpare baba muhaya?

Mh! Huyo Mpare+Mhaya.... Hiyo offspring itabidi ichongewe kufuli za chuma! Mhaya+Mpare haina tofauti na Mhaya +Mngoni
 
Umejuaje kaka? Natamani nikupe like lakin sioni kitufe cha like! Wanyambo wengi are not edicated na anayeipata hiyo chance utamkoma. Kila m2 atamjua

Wanyambo mbona wastaarabu sana. tena ukibahatika kuoa kwetu mbona raha. Kwa upole ndio wenyewe. Mhaya akistaarabika atajifanya mnyambo kwani kwetu kumoja
 
Mh! Huyo Mpare+Mhaya.... Hiyo offspring itabidi ichongewe kufuli za chuma! Mhaya+Mpare haina tofauti na Mhaya +Mngoni

mama mpare baba mhaya. IMEKULA KWAKO. offspring hii haikosi kondom muda wote kama ni jike baasi muda wowote ki.si.mi kinapwita
 
Wanyambo mbona wastaarabu sana. tena ukibahatika kuoa kwetu mbona raha. Kwa upole ndio wenyewe. Mhaya akistaarabika atajifanya mnyambo kwani kwetu kumoja

HAPANA wengi wenu ni malimbukeni, mkiwa bukoba mwajifanya wahaya mkifika Dar mwajifanya wanyambo. Nyie ni wabishi na walalamishi mliopitiliza (si wote, lkn wengi wenu mko hivyo)
 
Hawa ndugu sangu wahehe kidogo niwasahau japo lzm niseme ukweli kwamba nimetembea na wanne au watano tu. Hasira ni jadi yao ila mimi siko huko. niko kwenye utamu tu. Yaani we acha tu. unamwambia vua nguo usogee huku anakuambia nivue mwenyewe si sambi sako mwenyewe. mmoja nilimkuta hana kyupi. nikamuuliza mbona huna kyupi kaniambia . si anayo sangasi ameiazima anakwenda mjini. hapo kaka nimepiga wolansi kwa kwenda mbele na ile baridi ya kwao halafu upate aliyekwenda juu. mbona raha.
 
mimi ni mnyambo nawajua sana wahaya kwa misifa. mmoja jana kaulizwa na muuza chips..HII CHIPS NA MAYAI NICHANGANYE. mhaya kwa ulimbukeni akajibu CONFUSE . akijua ko confuzi ni kuchanganyikiwa ya chips zichanganywe na mayai
confuse confuse with eggs ha ha ha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom