Tafsiri ya ndoa sio kufunga pingu za maisha tafsiri ya ndoa ni tendo linalotendwa kitandani (ndoa ni kitendo cha kujamiiana) haijalishi umefanya na wangapi kiuhalisia ndizo idadi za ndoaKwa nini Watanzania wanaogopa kusema "ngono" au "kutombana" badala yake wanasema tendo la ndoa (act of marriage) ?
Unakuta watu hata hawajaoana wanasema walifanya tendo la ndoa!
Ajabu ni kwamba ni rahisi kutamka "sex" lakini kwa Kiswahili wanaogopa!
Kutamka in english haina ukakasi sana kama kutamka kwa lugha ya kiswahiliMbona huwa wanasema "sex" ?
Ila hawatamki "fucking" hadharani.Umeiona tofauti?Mbona huwa wanasema "sex" ?
Unatuonesha ulivyolelewa hovyo, we utakuwa mtoto wa single mother. Mbona husemi naenda kunya? Sazingine kafiche upumbavuKwa nini Watanzania wanaogopa kusema "ngono" au "kutombana" badala yake wanasema tendo la ndoa (act of marriage) ?
Unakuta watu hata hawajaoana wanasema walifanya tendo la ndoa!
Ajabu ni kwamba ni rahisi kutamka "sex" lakini kwa Kiswahili wanaogopa!
Hakuna haja ya kuficha ficha mamboUkiwa na ndoa ndio inapendeza kuita kitendo cha kutomba kuwa ni tendo la ndoa, ni heshima. Sasa huna ndoa utaitaje hivyo? Wanaita kujamiana ili kuondoa ukakasi wa neno lenye ukali kutombana. Wapo member humu wao wanaandika kulombana ili kuficha ukali wa neno halisi
Kwa hiyo,kama umewatembelea nduguzo wakati unaaga utawaambia..."jamani kwa herini.Mimi narudi nyumbani kwangu kumtomba mke wangu"...sivyo?Hakuna haja ya kuficha ficha mambo
bora sex kuliko fuckyMbona huwa wanasema "sex" ?
Mapumbu-makendeKuna vitabu vya mambo ya kidaktari vimeandika bila tafsida sehemu zote za siri. Shuleni unasoma kwa sauti wanafunzi wenzako wasikie, ukifika kwenye maneno hayo unaona aibu unanyamaza kutamka, mwalimu anakuambia soma hivyo hivyo kama ilivyoandikwa