Hivi huu msemo wa kipuuzi " pigania hali yako" ni wa nani alieuanzishaPigania hali yako mkuu!
Michango ya wapumbavu utaijua tu halafu mwenyewe unajiona umeandika hoja kweli kumbe mavi matupu,Kuwa Mzalendo zaidi. Fanyia kazi taifa lako kwa faida ya vizazi vijavyo. Kama unaona maslahi hayakutoshi fungua hata genge ufanye biashara maisha yatasonga tu. Kuliko kufanya kazi kwa shingo upande ma manung'uniko chungu nzima bora uache kazi ukashike jembe, unatuharibia nchi yetu inayohitaji watu wafanye kazi kwa moyo mmoja.
Kwa watu wenye moyo kama wa mleta mada hata akilipa milioni 10 atataka aongezewe. Nia yao ni kuitafuna tu nchi kuliko kuitumikia na kuijenga kiuchumi.
Hata wewe hapo ulipo una tegemea ufanye kazi ulipwe na unatakiwa kujua watumishi wa tanzania wanafanya kazi kwa mkopo wa mwezi mzimaJiulize utaifanyia Nini nchi yako, na siyo nchi yako itakufanyia nini
Sio kwel kw tz y visas n kukomoanaKuwa Mzalendo zaidi. Fanyia kazi taifa lako kwa faida ya vizazi vijavyo. Kama unaona maslahi hayakutoshi fungua hata genge ufanye biashara maisha yatasonga tu. Kuliko kufanya kazi kwa shingo upande ma manung'uniko chungu nzima bora uache kazi ukashike jembe, unatuharibia nchi yetu inayohitaji watu wafanye kazi kwa moyo mmoja.
Kwa watu wenye moyo kama wa mleta mada hata akilipa milioni 10 atataka aongezewe. Nia yao ni kuitafuna tu nchi kuliko kuitumikia na kuijenga kiuchumi.