Sio ndoa za sasa za kuzeeka nao.

Sio ndoa za sasa za kuzeeka nao.

too general...b specific plz
mh! Ciello!
mbona wanikalia kooni hivi!
kiufupi kwa age yangu hii na uzioefu wangu sidhani kama nitakutendea haki nikikwambia sijakutana na magumu!
nimekutana nayo sana!ya kuumiza na kukatisha tamaa sana!ya kujiona hii ndoa hii ilipofika ni hapa na siendelei tena!lakini sikuwahi kukata tamaa!
NILIANGUKA NIKANYAYULIWA
MWENZANGU ALIANGUKA NIKAMUINUA
KWA PAMOJA TULISIMAMA NA KUTAZAMA MBELE!
now imebaki historia mpenzi wangu!
 
I know you my friend will be back soon...however, njoo ukiwa umejipanga kabisa..manake!!
Nani kasema ndoa haina raha bwana...kikubwa uijulie tu!
Give five to my pal Prisoner 46664 ..utatukuta hapa hapa tumetaradadi!

Hapana SIKUBALI NIMESHINDWA!!!!!!!!! MIMI NI WINNER ALWAYS!!!!! NEVER RETREAT! NEVER SURRENDER! NIEAHIRISHA HUU MPAMBANO COZ ULE MPAMBANO WETU JUU YA Prisoner 46664 USIO RASMI NDO UNAANZA LOVE CONNECT!!!!!

HUU NITAURUDIA KUCHUKUA USHINDI WA MEZANI! ILA FOR NOW MAMBO IKO LOVE CONNECT!!!!!!! Pisoner ana Kisu kirefu afu natafuta wa kumpunguza stree za kuachwa na 13 yrs GF! Ndo tunatoana macho on open grounds Love connect!
 
si ndio hapoooooooo!af watu wanataka tu kuzalimisha eti ndoa mbaya ,mtu ulijiuliza tu kwani ukiwa kwenu hugombani na kaka zako,hugombani nia mawifi zako wazazi hawakukwazi
sasa cha kukutisha nini usiingie kwenye ndoa!
mapito yapo ila ukiwa na MUNGU MBELE YAKO!tena yeyye peke yake sio shoga wala mshauri wala msimamizi wa ndoa!
NYIE WAWILI NA MUNGU WENU(na ikiwa mmoja ndo yuko siko SUBIRI kna wkaati utafika)lol lol!
mboni utatamani uolewwe tena na tena na tena na mume wako!yani kila siku ye mchumba tu!
ahsante mwaya!na najivunia sana kuwa shosti yako!LOVE YU SANA mwali na kungwi wangu!

skiliza nikwambie watu ambao wako anje ya ndoa ndio wanaopublish habari mabaya tu za ndoa. na wale watoto wa dot com waliotaka kuolewa for show kwamba awe na mapicha ya photo shop, apate bandiko la fb twitter na blog yake. apate kuwaringishia wenzie amevaa white gold ndio wanaoishia kwenye haya majuto.

mara nyingi huwa hawaweki yale wanayoyataka kuwa kipaumbele bali wanaweka yale ambayo jamii ya ki dot com inayaona kuwa bora. kwa staili hiyo huwez kudumu ndoani.

nakumbuka i once devoted my money plus time kwenda kijijini kulea babuu na bibi mkwe just for the sake of my marriage love and caring. imagine spending 28 days of your annual leave kijijini kusikokuwa na maji salama wala vyoo ulivyozoea ila nilimudu kuishi and nilienjoy kupita maelezo.

hivyo akina dada yawapasa wabadilike wapende maisha halisi na siyo artificial. wala ya kuiga. usipende mume akufanyie kile ambacho umekion kwa shoga yako. let me tell you cacico she is my best friend hadi kwake nalala na kwangu analala ila hata siku moja simtumi kumlea hubby wake kama mm nimleavyo baba klein ama mimi nimlazimishe wangu anilee kama mewe cacico anavyomlea. huwa tunafurah kwamba tunasehem ambayo kila mtu lazima aishi kiuhalisia na we admit into our difference thats all.
 
Last edited by a moderator:
mamito snowhite unaona?? funguka like ths....

see! yani we acha tu!hiv kwenye chemistry yako si kuna topic sijui inaitwa SEPARATION OF MIXTURE!
sasa hii ndo wengi inawapiga chini hii!
 
njoo kwenye matanange ww uone ntakavyokutoa KO...hamia pande zile fastaaa
Cielo muache ticha apumue ujue umemshtukiza hajaandaa hata ile wanaita nini vile cjui ndo somo la leo
 
kila ndoa nahisi ina utamu na uchungu wake. waliopo huko wanajua.
 
Dah..dada gfsonwin and snowhite my night would have been a very bad one if u ddnt come n rescue ths thread aisee.
Nlikua nshakata tamaa na coments za kina lara na ciello...
But am glad bado kuna ladies who value marriage.
Ila da gfson si unaona kwann mpaka saiv sijaoa? Mabinti hao wako wapi??! I wish ma mdogo Monique nae angekua na mdogo wake wa kike walai ningechumbia kwenu...y lie!
 
Last edited by a moderator:
hahahahah Mentor unanionea bure...kwani mie nimecomment nn jamen...leo nimekuwa malaika lol
Dah..dada gfsonwin and snowhite my night would have been a very bad one if u ddnt come n rescue ths thread aisee.
Nlikua nshakata tamaa na coments za kina lara na ciello...
But am glad bado kuna ladies who value marriage.
Ila da gfson si unaona kwann mpaka saiv sijaoa? Mabinti hao wako wapi??! I wish ma mdogo Monique nae angekua na mdogo wake wa kike walai ningechumbia kwenu...y lie!
 
Last edited by a moderator:
Dah..dada gfsonwin and snowhite my night would have been a very bad one if u ddnt come n rescue ths thread aisee.
Nlikua nshakata tamaa na coments za kina lara na ciello...
But am glad bado kuna ladies who value marriage.
Ila da gfson si unaona kwann mpaka saiv sijaoa? Mabinti hao wako wapi??! I wish ma mdogo Monique nae angekua na mdogo wake wa kike walai ningechumbia kwenu...y lie!

tulia dogo umri wako bado kabisa. ila jifunze kutokana na haya ili ujue wapi pakupita.
ni ngumu kupata unaye mtaka na nion aibu kusema ningefurah kama uangepata mke aliye kama mm dada yako kwa upendo na kwa kuipenda ndoa.
 
Na hamu kweli kuushadadia huu mjadal ila niko kwenye mikakati flani, I wish tungebishana kwa hoja hadi asubuhi! Basi tu! Next time!

Let's agree that the best team lost.

Ciello mwenyewe kimyaaa kama maji ya mtungi vile. lol
 
tulia dogo umri wako bado kabisa. ila jifunze kutokana na haya ili ujue wapi pakupita.
ni ngumu kupata unaye mtaka na nion aibu kusema ningefurah kama uangepata mke aliye kama mm dada yako kwa upendo na kwa kuipenda ndoa.

Umri mdogo really!?? ama unataka nioe at 35? ama unataka nimpate leo kesho nioe?? i nid to find her now...tatizo la mabinti wa siku hizi, wanaishi kwa hadithi za kusadikika!!!
 
Back
Top Bottom