Sio ndoa za sasa za kuzeeka nao.

Sio ndoa za sasa za kuzeeka nao.

ndoa yako inatengenezwa na wewe mwenyewe Mentor hakuna mtu anakutengenezea au anakuharibua ndoa NI WEWE!usijali bado naamini kuna mabinti wanoleka na wanaweza kuwa hata zaidi ya sisi dada zako tu,wakiamua hasa kutoka moyoni na wakaacha kuishi maisha ya disney world!WAPO!mimi huwa nina kanuni ya kumjugde mtu kwa matendo yake binfasi so uki[ata binti na unaona anafaa kuwa mke!muonyeshe kuwa nawe unafaa kuwa mume!mpe nafasi akuonyeshe her strength na her weekness pia!onyesha zako then fanya maamuzi!
kumbuka hakuna binadamua amekamilika yapo mambo tunaweza kukubali kuyaishi na yapo mambo tunaeza kukubali kuyarekebisha!
nikwambie tu mimi dadako niliolewa nikiwa mdogo kweli kweli na home kwetu nilikuwa yule wanaita spoiled brat!
mtoto wa mwisho niliyetanguliwa na makaka na madada wakubwa kweli kweli kiasi siku naletewa posa kila mtu nyumbani alinuna na kwanza kaka zangu waligoma kuja kwenye sendoff wakiamini i was too young to be in a wedlock!
AMINI USIAMINI,mimimi ambaye kila siku ndugu zangu walikuwa wanasubiri getini wakitegemea narudi home muda wowote tena kwa kilio juu!sijawahi kufanya hivo leo mwaka wa 9 huu!
ukiniuliza kuhusu ndoa za walio niona mdogo na siko tayari kwa maisha ya ndoa sitaki kukwambia since nitakuwa namzungumzia mtu mwingine !
lakini nikwambie tu nimemudu na wala sijawahi kujuta!
SO JIPE NFASI YA KUPENDA NA RUHUSU MTU AKUPENDE!utaona tu mke katika perspective hiyo!

Sio Rahisi Kihivi!!!!!!!! Thubutuuuuuuuuuuuu! Kwa hiyo mumeo anavokandamila The Secreatry ni wewe mwenyewe? Yaani mimi natongozwa kweli na waume za watu! Sasa nikiwauliza mbona kuchakachua????? Utasikia miaka 2 mtu mmoja inachosha sanaaaaaa! Ukweli tusemage tu! Kinai ndo hio!

So sio lazima unaevunja ndoa ni wewe, saa ingine partner wako Bwelegej tuu, wala huna haja ya kupoteza mda wako kumrudisha mtu anaeponda miraha na maduu huko!
 
mue wangu si ndio yeye mwenyewe!
kwenye ndoa hakuna nafsi mbili lara 1 ni mimi ndani ya nafei yake yeye ndani ya nafsi yangu!
soa kikandamiza the secretary ni yeye ndiye anavunja hiyo ndoa na kuiharibu!
 
Last edited by a moderator:
Sio Rahisi Kihivi!!!!!!!! Thubutuuuuuuuuuuuu! Kwa hiyo mumeo anavokandamila The Secreatry ni wewe mwenyewe? Yaani mimi natongozwa kweli na waume za watu! Sasa nikiwauliza mbona kuchakachua????? Utasikia miaka 2 mtu mmoja inachosha sanaaaaaa! Ukweli tusemage tu! Kinai ndo hio!

So sio lazima unaevunja ndoa ni wewe, saa ingine partner wako Bwelegej tuu, wala huna haja ya kupoteza mda wako kumrudisha mtu anaeponda miraha na maduu huko!
wewe kutongozwa na waume za watu wengi bado hakupi nafasi ya kuamini waume za watu wote wanatongoza!
wala wake za watu wote wanarushwa maji nje ya ndoa zao!
 
lara umerudi eenh , usiwachezee watu waliofunga pingu za ukwee na wapo tayari kuzilinda kivyovyote kwani fungua za pingu walishazitupa siku nyingi
 
Msituyeyushe kabisaaaaaaaa!!!!!!!!!! Mturudishie chenchi! Khaaaaaaaaaa!

Sawa hatujaolewa ila wote tuna wazazi wana ndoa, tumekulia kwenye ndoa tena za kikiristu! Jamii inayotuzunguka imeoa na kuolewa, marafiki nao pia wana ndoa! So kujua undani wa ndoa si mpaka uje JF si tunaonaaaaaa! Maji yanavowazidi unga!!!!
Tuachane na wazazi ambao ndoa zao ni sooo 1980s hukoo, Tuje marafiki waliooa na kuoana wa rika letu!

Mimi katika watu zaidi ya 30 walioolewa mashosti zangu 5 Only ndo wanaishi kwa raha kwenye ndo compared kablaa! Tena hapo 3 wameolewa kooo za kitajiri balaa! Na hao 5 hawana economic problems ila wana problems zingine! Waliobakiaaaa!! 10 walishakiri kwa midomo yao wanajuuuta kuolewa! 5 Harusi kushney babu G kila mtu ana 50 zake na wamegawana watoto! Wengine ndo ndoa ndoano kutesekamo!

Uchumi wa jiji ulivomgumu sasa kwa romeo n julliet!!!!!!! Nyumba full nzuri 500,000, kwenu umetoka self contained Kupanga upande huuwezi! Basi ndo Kukopakopa kila sehemu!!!!!!!!! Mtu alikuwa mzee wa pamba ukimuonaa nguzo zinaishia mwilini! "Hela zina mipango! Ninunulie mdogo wangu!" Khaaaaaaaaaaaa! Acha kujishughulisha sio kufuga kuku, sio sijui kuafanya kitu gani! Maji yashazidi unga! 2 walinichana LIVE ndoa na mwanaume asie na kitu ni mateso bila chuki!!!!!! Shosti usijaribuuuu! Mimi wa kukukopa wewe mdogo wangu? Ila ndo hivo hamna hela ya kula home!

Acha mwanaume pesa hazionekani nyumbani hao ndo hawana idadi!!!!!!!!!!!! Mama ndo kujitutumua mpaka kuvaa chupi kichwani! Pesa tunainywa sie kina Lara 1 kwa raha zetu (Si tutajuaje mkewe hajapewa!)

Mama yangu mzazi aliniambia kwa mdomo wake "Usiolewe na mtu hana kitu! Utajuta kuzaliwa! kama vipi wewe zaa hapa hapa tu, sio ukajitese! humu kwenye ndoa hamna hata la maana basi tu! Heri uzae ufanye mambo yako! Huku unafiki mtupu! (Hahahaaaaaa! Ofcourse maza wangu hataki niolewe sijui kwanini)

Tusidanganyane MARRAIGE AINT A BED OF ROSES KABISAAAAAAAAAAAA!!!!!!!!!! Katika 20 mwenye bahat 1 tu wengine mapambano!
 
Dogo usiamin story za alinacha ndoa za leo ziko tofaut sana na wayasemayo ingawa bado cna hyo ndoa ndomana ni muhimu kucheza kwa step kabla ya kufunga mahesabu b careful gal

Waongoooo! Ukweli si wanaujua wao! Kazinim si tunawaona wanavochukua advance mambo yamebana ndani!!!!!!!! Wengi maji ya shingo! Acha waume zao tunavowajua VITOMBIIII mjini hapa!!!!!!! Mkewe mpolee maskini ya Mungu ila huyo Mume kutwaa kutafuta sketi!!!!!!! Afu mkwe anajisifia weeeeeee usipime!

Wewe Lara unazeeka sasa unaolewa lini? Niolewe ili iweje wkt mumeo ananinitunza na kunilipia kodi!!!!! Wataka nipauke kama wewe au? (Jst kidding people msinimeze)

Ila inasikitishaaaaaa! Mke kupambana kuhudumia nyumba!!!!!!!! Na hela za wananume hazionekani si utanii!!!!!! Ushmzoesha wewe independent akupe za nini? Ukimuomba anatoa kidogo, usipomuomba hatoi mia!!!!!!!!! Khaaaaaaa! Sasa mi usengery kama huu siuwezagi Natinga Ofisini kwa Bosi Wake na Ustawi wa jamii kublock mshahara!

Ila wenzetu wa kuja hawa, atajikazaaaaaaa mpaka ataweza! Maisha yenyewe haya mafupi, kujiumiza kisaaa!
 
huwezi kuwa na mawazo tofauti na haya kama marafiki na mama yako mzazi wana mtazamo huo juu ya ndoa!
huwezi kuamini katika uzuri na raha ya ndoa kama mzazi wako mwenyewe anakwambia zaa tu hapa hapa kuliko uolewe na mtu asiye na pesa!
na siwezi kukubadilisha leo hii snowhite mimi kama mama yako mwenyewe amekulea hvivyo
mimi nimekulia familia ya tofauti mamii,na huwa nina utaratibu wa kujifunza kwa walio weza loosers aint my buddies!
 
Last edited by a moderator:
Mie toka mwanzo nilishindwa kuweka msimamo wangu kutokana na kutokuwa na vivid evidenc ya upande wa pil,nyie mnatoa ushuhuda hapa bt tunawaamin vp ilhal mwanamke wa kiafrica kafunzwa kuendure all sorts of abuse na akitoka nje full tabasamu hata kama mambo ndivyo sivyo?
hey broda!
i just wanted to talk to Mentor, he is still very young and he needs to know the truth buddy!
nikiacha akasilikiliza pande za kushindwa i will end up ruining his entire life see what i mean?

i know Ciello na LARA1 bado watoto wakikua watajua ndoa maana yake nn.
 
Last edited by a moderator:
Waongoooo! Ukweli si wanaujua wao! Kazinim si tunawaona wanavochukua advance mambo yamebana ndani!!!!!!!! Wengi maji ya shingo! Acha waume zao tunavowajua VITOMBIIII mjini hapa!!!!!!! Mkewe mpolee maskini ya Mungu ila huyo Mume kutwaa kutafuta sketi!!!!!!! Afu mkwe anajisifia weeeeeee usipime!

Wewe Lara unazeeka sasa unaolewa lini? Niolewe ili iweje wkt mumeo ananinitunza na kunilipia kodi!!!!! Wataka nipauke kama wewe au? (Jst kidding people msinimeze)

Ila inasikitishaaaaaa! Mke kupambana kuhudumia nyumba!!!!!!!! Na hela za wananume hazionekani si utanii!!!!!! Ushmzoesha wewe independent akupe za nini? Ukimuomba anatoa kidogo, usipomuomba hatoi mia!!!!!!!!! Khaaaaaaa! Sasa mi usengery kama huu siuwezagi Natinga Ofisini kwa Bosi Wake na Ustawi wa jamii kublock mshahara!

Ila wenzetu wa kuja hawa, atajikazaaaaaaa mpaka ataweza! Maisha yenyewe haya mafupi, kujiumiza kisaaa!

ahahahahhahahhahahhahhahah we binti sifuri kabisa!
sikia mamii hakuna mahali tumesema ndoa hazina magumu kama umefuatilia post!
wewe na kulipiwa kodi na kunywwa biere za mume wa mtu huna magumu unayopitia,huna makwazo ?
haijawahi kuwa!tunatofautiana hapo tu!
 
ila kweli unajua ukuta wa nuymba unaficha mengi, usione wanandoa wanamaliza anivesary kadhaa ukadhani wana raha ndoani, hahaha , ciri ya mtungi aijuaye kata uskiute wanavumilia yasiyovumilika na kubakia kuugua ndani kwa ndani yale maradhi ya KITAJIRI
 
Mie toka mwanzo nilishindwa kuweka msimamo wangu kutokana na kutokuwa na vivid evidenc ya upande wa pil,nyie mnatoa ushuhuda hapa bt tunawaamin vp ilhal mwanamke wa kiafrica kafunzwa kuendure all sorts of abuse na akitoka nje full tabasamu hata kama mambo ndivyo sivyo?
Ciello kwamfano nikuulize mpenzi wangu!
nije na tabasamu usoni hapa jf ili kiwe nini!
sioni sababu ya kumuongelea mume wangu au ndoa yangu vibaya since haupo huo ubaya!
sijakataa kuna watu maisha ni tyt sana kwenye ndoa zao!
hata mimi pia i had my share i once told yu!
lakini hakuna siku niliwahi kujuta na kusema bora nisingeolewa au sitaki kuolewa tena!
nilipigania ndoa yangu na sasa nasimama kifua mbele nikikueleza kuwa NDOA MANAKE SI MATESO!
 
Last edited by a moderator:
Hapo ndipo mnakosea, wao wanachoice na has 2b perfect one vp kuhusu siye? Dnt we hav 2 choose accordng 2our criterias? Si swala la one side kwan naweza kuwa perfect kwake ila yy asiwe perfect na hapo ndo misigano ndani huanza! Msiwape mentalit hz za kibaguzi
ulinielewa vyema nilichosema?? tulia umri mdogo kwamba you still have time. but katika umri huu mdogo jifunze kutokana na wengine ili uweze jua ninapofanya choice na kuamua kuwa kwenye committed relp basi you know what ur doing.
at your age unatakiwa uchoose kwa mbwembwe kweli na ikileta mzinguo unapiga chini fasta, manake in life you only have one chance of making selection and that choice need to be a perfect one according to your criteria.
 
ila kweli unajua ukuta wa nuymba unaficha mengi, usione wanandoa wanamaliza anivesary kadhaa ukadhani wana raha ndoani, hahaha , ciri ya mtungi aijuaye kata uskiute wanavumilia yasiyovumilika na kubakia kuugua ndani kwa ndani yale maradhi ya KITAJIRI

HAHAHAHHAHAHHAHHAH!
mtabaki kuimagine sana maisha ya ndoa na walahi niwaambie tu!KUANGUKA KWA NDOA YANGU KUSIKUPE WEWE HOFU YA KUSHINDWA KUFURAHI KWENYE NDOA YAKO!
nimeshindwa mimi ,niache mimi na kushindwa kwangu jifunze kwa aliyeshinda unless nawe wajiandaa kushindwa!
 
Dogo usiamin story za alinacha ndoa za leo ziko tofaut sana na wayasemayo ingawa bado cna hyo ndoa ndomana ni muhimu kucheza kwa step kabla ya kufunga mahesabu b careful gal

HAHAHA mchuano mkali, am single single gal nipo na single single boy, kwani wanaume wenye ndoa hampo mbona imekua utetezi wa upande mmoja yaani dada zetu ndo wanailinda ndoa isivunjike nyie haiwahusu au, wapeni sapoti jamani tujue kweli mpo pamoja, hili halimuhusu pacha wa mtu SNOWBALL
 
ahahhhahhahahhhahha sa hizi wanatafuta chapaa za kutuweka mujhini hapa.siye twawapikia chai watoto wao na kuwalimia bustani za maua wakija na wageni wakao nao garden!subiri watakuja tu jioni hapa!
 
Am signing out jamani kwenye huu mjadala kuna mtu namfkuzia humu mawazo yangu yasije yakanicost bure wakati me nawawakilisha tu wengine hapa, ila naendelea kuview na kujifunza toka kwenu
 
Ni kwel usemayo ila hyo idadi ya wenye ndoa za type zenu ni ndogo mno, majority wanaugulia ndani kwa ndani hasa kwa ndoa za sasa so msipaint white color kwa hz ndoa while its a mixture ya black and white or even mangenta
Ciello kwamfano nikuulize mpenzi wangu!
nije na tabasamu usoni hapa jf ili kiwe nini!
sioni sababu ya kumuongelea mume wangu au ndoa yangu vibaya since haupo huo ubaya!
sijakataa kuna watu maisha ni tyt sana kwenye ndoa zao!
hata mimi pia i had my share i once told yu!
lakini hakuna siku niliwahi kujuta na kusema bora nisingeolewa au sitaki kuolewa tena!
nilipigania ndoa yangu na sasa nasimama kifua mbele nikikueleza kuwa NDOA MANAKE SI MATESO!
 
Last edited by a moderator:
Hahahah b real gal usipretend kwan a man has 2accept u 4who ur...ila jana nilikushinda hahahah

Back
Top Bottom