Sio ndoa za sasa za kuzeeka nao.

Sio ndoa za sasa za kuzeeka nao.

Ciello tatizo lako kubwa Hujielewi unataka nini katika Mhusiano!!! Sio wewe tu, ni wanawake wengi sana ndo tulivo (Kasoro mimi ofcourse)

Haiwezekani mtu anapokuomba Will you Marry Me? Unakurupuka na YES!!!!!! Na Michozi juuu! WTF!!!!! Inatakiwa akikuuliza Will you marry me? Unajibu It Depends!

Kama unaahidi utakuwa A Man I expect you to be! The Yes Ill Marry You even Today ! But if you fall fall short of my expectations Delibarately even after marrying you my promise to stay with you forever changes!

The forever will apply if and only if you remain the same man that i married!

If you change, dont expect me to remain constant! You cant possibly expect to receive what you cant give inreturn!!!!!

Only if that still exists in the modern world.

In the modern world, a successful man is one who makes more money that his wife can spend.

In the modern world, a successful woman is one who can find such a man.

Now, in the modern world, how a woman is going to find such a successful man, if she doesn't propose to him?
 
cielo umeona eenh, tusipoangalia itakua tunarudiana wenyewe kwa wenyewe wabeijing afu kambi pinzani ikawa inatucheka tu

Embu zama Pm ukute ujumbe wako! Na ujibu! Tunakungojea hapa!
 
hezeya sisi weye
wasomi siye,mashangigi siye,wenyekiti wa jumuiya na ushirika siye,walimu siye,wapishi siye,makungwi siye,watunza hazina siye,wanywa dompo na contessa siye, wacha kabisa vipaji 800 kwenye ndoa mchezo,af mseme ndoa ngumu ah wapi!
dedication kwa mahalalito wangu wa moyoni cacico na gfsonwin,
kwa ushahidi aulizwe Asprin na Kaizer

hahaha hili chama sasa,kila kitu nyie
ndo manake!MUJHINI MIPANGO TU HAPA!
na watoto tunawapikia uji asubuhi vile vile plus weekend kwa mama mkwe kupika ,next week kwenye workshop S.Africa basi mradi tumo tu kote kote !
 
Only if that still exists in the modern world.

In the modern world, a successful man is one who makes more money that his wife can spend.

In the modern world, a successful woman is one who can find such a man.

Now, in the modern world, how a woman is going to find such a successful man, if she doesn't propose to him?

Na hamu kweli kuushadadia huu mjadal ila niko kwenye mikakati flani, I wish tungebishana kwa hoja hadi asubuhi! Basi tu! Next time!
 
With that phrase..really, you have let me off the hook!!
What a phrase??

Only if that still exists in the modern world.

In the modern world, a successful man is one who makes more money that his wife can spend.

In the modern world, a successful woman is one who can find such a man.

Now, in the modern world, how a woman is going to find such a successful man, if she doesn't propose to him?
 
  • Thanks
Reactions: EMT
weh!weh!weh!
nani kasema!naaaani nauliza halafu hizi raha za kuukushea usiku kucha na kukatwa kucha (sosi ; Mtambuzi) nimwachie nani pacha !
kama vipi we ongea tu na shem wako akuongezee mahari kama unaona ni lazima saana kurudi home!
MIMI SIRUDI MIAKA 800!
KHEE!niedage tu kusalimia mwayego!mnakumbuka mlivotaka kunitoa baru nilivowaambia naolewa fasta!unafikir nilikuwa nakimbilia nini!
SI HAYA MARAHA YA MHESHIMIWA shem wake SnowBall ,we pacha hebu NIWACHE NIPUMUWE KWA HIZI RAHA!
snowhite mie nilijisemeaga nikimpata mume anayejua kunionyesha thamani ya uanamke wangu akanirusha maji nikakolea sitomwacha maishani. unajua nini alinipa bf ambaye talikuwa perfect katika hilo so mengine sikuangalia kabisa niliridjhika nayo. mie uzuri nilijisemea hauliwi, usomi sio ndoa ila ni added value so nilipompa dudu mwili ukasisimka kwa raha na kufa ganzi nilisema sitaondoka hapa ndoa ipite tu.

alipokuja nkuniumiza nilijiuiza hivi, kwani hanipendi?? nikapata jibu ananipenda sana tu manake alikuwa anasema sana hilo neno.
je nitapata wapi mwanaume malaika asiye kuwa na dosari nikapata jibu hakuna chini ya mbingu
je kosa lake linamfanya asiwe mtu hadi nione siwez kuish nae tena nikasema hapana kwani mtu hubadilika kutokana na mazingira.
je watoto wangu amani yao itakuwa wapi nikasema nitawatengenezea kwa pesa ila kwa uhalisia hapana.
ndipo nilipo sema nitavumilia hadi nione Mungu anataka nini uwe ndo mwisho. it wasnt simple ila nilipewa ujasiri with my true love sikumwangalia kama mkosa ila nilimwona kama mtu aliyepotea njia tu soon atajua anaelekea wapi. sikumweka moyoni bali akilini sikutanguliza UPENDO bali UVUMILIVU, kisha upendo ukafuata.

Mungu aliona akaniokoa wakati uliofaa. sikunyanyasika kwa hasara bali kwa faida i can dare say ni mwanamke pekee nilovumilia shida za ndoa bila kutaka ushauri wa watu hasa ndugu na Mungu akaniaokoa kwa wakati wake.

binfsi nimepriotise ndoa yangu kuliko chochote kile. na raha niipatayo kwa sasa siwez kuifananisha na chochote kile.
 
Last edited by a moderator:
watu8 njoo ujifunze huku toka kwa wabeijing wa ukweeeee, ndoa na iheshimiwe na watu wote
 
si ndio hapoooooooo!af watu wanataka tu kuzalimisha eti ndoa mbaya ,mtu ulijiuliza tu kwani ukiwa kwenu hugombani na kaka zako,hugombani nia mawifi zako wazazi hawakukwazi
sasa cha kukutisha nini usiingie kwenye ndoa!
mapito yapo ila ukiwa na MUNGU MBELE YAKO!tena yeyye peke yake sio shoga wala mshauri wala msimamizi wa ndoa!
NYIE WAWILI NA MUNGU WENU(na ikiwa mmoja ndo yuko siko SUBIRI kna wkaati utafika)lol lol!
mboni utatamani uolewwe tena na tena na tena na mume wako!yani kila siku ye mchumba tu!
ahsante mwaya!na najivunia sana kuwa shosti yako!LOVE YU SANA mwali na kungwi wangu!
 
mamito tupe huo ushuhuda bana si waona mwenzio gfsonwin anavyofunguka?? usitubanie
ndo manake!MUJHINI MIPANGO TU HAPA!
na watoto tunawapikia uji asubuhi vile vile plus weekend kwa mama mkwe kupika ,next week kwenye workshop S.Africa basi mradi tumo tu kote kote !
 
Last edited by a moderator:
For the first time i have seen lara 1 conceding a defeat!!
With gfsonwin snowhite EMT , et al on the winning team..i bet this game was not on your berth.

Hapana SIKUBALI NIMESHINDWA!!!!!!!!! MIMI NI WINNER ALWAYS!!!!! NEVER RETREAT! NEVER SURRENDER! NIEAHIRISHA HUU MPAMBANO COZ ULE MPAMBANO WETU JUU YA Prisoner 46664 USIO RASMI NDO UNAANZA LOVE CONNECT!!!!!

HUU NITAURUDIA KUCHUKUA USHINDI WA MEZANI! ILA FOR NOW MAMBO IKO LOVE CONNECT!!!!!!! Pisoner ana Kisu kirefu afu natafuta wa kumpunguza stree za kuachwa na 13 yrs GF! Ndo tunatoana macho on open grounds Love connect!
 
Last edited by a moderator:
aka bado niponipo sana....ngoja nichoke kuvaa skinjinsi hahahahah
Ciello kama nakuona vile sasa hivi unaomba registratio form ya hilo chama, me nasubiri kidogo
 
mamito tupe huo ushuhuda bana si waona mwenzio gfsonwin anavyofunguka?? usitubanie

mh! Ciello!
mbona wanikalia kooni hivi!
kiufupi kwa age yangu hii na uzioefu wangu sidhani kama nitakutendea haki nikikwambia sijakutana na magumu!
nimekutana nayo sana!ya kuumiza na kukatisha tamaa sana!ya kujiona hii ndoa hii ilipofika ni hapa na siendelei tena!lakini sikuwahi kukata tamaa!
NILIANGUKA NIKANYAYULIWA
MWENZANGU ALIANGUKA NIKAMUINUA
KWA PAMOJA TULISIMAMA NA KUTAZAMA MBELE!
now imebaki historia mpenzi wangu!
 
Last edited by a moderator:
mtoto wa kike huyo kaumbiwa na haya bt anfunguka kistail yakupasa uwe makini kweli kumnyaka
ahahhahahhahahahhahhahhahah umeona enh!
ukinisoma kwa makini wala hupati shida na mimi!wanijua mpka ukucha!
unanidai dompo 1 i see dah!
 
Back
Top Bottom