Sio ndoa za sasa za kuzeeka nao.

Nicole

JF-Expert Member
Sep 7, 2012
4,274
0
PIPOOOZ....source :mad:lara 1
jamani mada hii nimeidownload kwenye blog flani ya kulee, si wajua mambo ya blue monday ofic inaboa wakubwa wako kwenye vikao so kupass time tunazuga na ishu ka hizi.

nimecopy na kupaste as it is:

Chezea miaka hii ya kuchakachuana na kuchukuliana poa,Vimada kila kona kudadadekiiiii hujali maumivu ya mwenzio,Kilio cha Mwenzio na machungu ya Ndoa kila siku,Uvumilivu sawa hatujakataa ila Wakishatuoa wanatuona Vinyago vya Skauti ndani,Mkishaachana anajirudi atajirekebisha na mambo mengi potelea mbali uonekane Hujatulia kuliko JAKAMOYO Na Maumivu kisa ashajua unampenda wale wanaojifanya wana MAHABA Wako wapi?Ngumu kudumu kuna msemi 1;NIPENDE NITAKUPENDA,NITHAMINI NITAKUTHAMINI,UKINIZINGUA NAKUZINGUA SABABU HATUJAJA DUNIANI KUPATA KARAHA TUNATAKA RAHA.

hivi ndoa za leo ni haya yasemwayo hapa juu tu ama kuna the other side? wenye experience naomba mtoe views zenu jameni!!
 
lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,710
2,000
Hahahaaaaaaa! Blue Monday kumbe hadi kwenu huko Wall street?
Ciello siku nying sana hujatoa mada humu!!!!!!! Kimya kingi kina Mshindo Mkubwa!

Nimeukubali huu Mshindo!Naona siasa za mrengo wa kushoto zimeanza kukuingia Kumoyo! I like that!

Ngoja wazee wa samehe 7*70 waje hapa na vifungu vya holy Books! Ila sie Liberal and Neo Marxists tunakubaliana kabisaaaa! Ishu ni MTULIZE KABLA HAJAKUTULIZA!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:

Nicole

JF-Expert Member
Sep 7, 2012
4,274
0
Hahahah cyo mimi mie nimeidownload tu nikaona niilete humu tujadil imenitisha ujue...

Ciello tatizo lako kubwa Hujielewi unataka nini katika Mhusiano!!! Sio wewe tu, ni wanawake wengi sana ndo tulivo (Kasoro mimi ofcourse)

Haiwezekani mtu anapokuomba Will you Marry Me? Unakurupuka na YES!!!!!! Na Michozi juuu! WTF!!!!! Inatakiwa akikuuliza Will you marry me? Unajibu It Depends!

Kama unaahidi utakuwa A Man I expect you to be! The Yes Ill Marry You even Today ! But if you fall fall short of my expectations Delibarately even after marrying you my promise to stay with you forever changes!

The forever will apply if and only if you remain the same man that i married!

If you change, dont expect me to remain constant! You cant possibly expect to receive what you cant give inreturn!!!!!
 
Last edited by a moderator:

MKATA KIU

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
2,348

Nimeipenda MTULIZE KABLA HAJAKUTULIZA.. Enzi hizo ukisikiliza bongo flava mama anafoka eti unajifunza uhuni.. Ni kweli maisha yenyewe ya kutesana yako wapi.. Ukizingua nakuzingua na nikishaona unataka kunituliza kwa kunipanda kichwa nakupandia kichwa mimi fasta ha ha ha kusha kushtuka tumeshawekwa vikao na familia na wachungaji vya kuvunja ndoa as ndani hapakaliki
 
Last edited by a moderator:

Mwanamalundi

JF-Expert Member
Aug 30, 2007
3,123
2,000
PIPOOOZ....source :mad:lara 1
jamani mada hii nimeidownload kwenye blog flani ya kulee, si wajua mambo ya blue monday ofic inaboa wakubwa wako kwenye vikao so kupass time tunazuga na ishu ka hizi.

nimecopy na kupaste as it is:

Chezea miaka hii ya kuchakachuana na kuchukuliana poa,Vimada kila kona kudadadekiiiii hujali maumivu ya mwenzio,Kilio cha Mwenzio na machungu ya Ndoa kila siku,Uvumilivu sawa hatujakataa ila Wakishatuoa wanatuona Vinyago vya Skauti ndani,Mkishaachana anajirudi atajirekebisha na mambo mengi potelea mbali uonekane Hujatulia kuliko JAKAMOYO Na Maumivu kisa ashajua unampenda wale wanaojifanya wana MAHABA Wako wapi?Ngumu kudumu kuna msemi 1;NIPENDE NITAKUPENDA,NITHAMINI NITAKUTHAMINI,UKINIZINGUA NAKUZINGUA SABABU HATUJAJA DUNIANI KUPATA KARAHA TUNATAKA RAHA.

hivi ndoa za leo ni haya yasemwayo hapa juu tu ama kuna the other side? wenye experience naomba mtoe views zenu jameni!!

Sasa ndio umeandika kitu gani hapa? Kama huna cha kuandika, nyamaza. Kaa kimya. Tulia. Soma michango iliyoenda shule kama ya mzee mwanakijiji. :target:
 
Nicole

JF-Expert Member
Sep 7, 2012
4,274
0
hahahahahah shosti mbona unaget too personal aseeee....mie nimeleta mada mezani iweje unigeuzie kibao?? narudia tena its not m mie ktk kupitisha muda nikapita kwenye hiyo blog nikakutana na hii post nikaipenda na kuileta hapa....hahahhah usinitupie mawe bana...
Ciello tatizo lako kubwa Hujielewi unataka nini katika Mhusiano!!! Sio wewe tu, ni wanawake wengi sana ndo tulivo (Kasoro mimi ofcourse)

Haiwezekani mtu anapokuomba Will you Marry Me? Unakurupuka na YES!!!!!! Na Michozi juuu! WTF!!!!! Inatakiwa akikuuliza Will you marry me? Unajibu It Depends!

Kama unaahidi utakuwa A Man I expect you to be! The Yes Ill Marry You even Today ! But if you fall fall short of my expectations Delibarately even after marrying you my promise to stay with you forever changes!

The forever will apply if and only if you remain the same man that i married!

If you change, dont expect me to remain constant! You cant possibly expect to receive what you cant give inreturn!!!!!
 
Nicole

JF-Expert Member
Sep 7, 2012
4,274
0
hahahahah kazi ninayo leo...nimeamkia ubavu wa kushoto leo lo
Sasa ndio umeandika kitu gani hapa? Kama huna cha kuandika, nyamaza. Kaa kimya. Tulia. Soma michango iliyoenda shule kama ya mzee mwanakijiji. :target:
 
Nicole

JF-Expert Member
Sep 7, 2012
4,274
0
heheheheh makubwa.. Matola bana mwishoni utasema akutolee mahari...
Ukitalajia swali hili kutoka kwangu basi andika umeumia, hivi bado kuna Wanaume wanauliza kuoa na siyo wao kuulizwa na Wanawake zao utanioa lini?
 
Last edited by a moderator:

Suprise

JF-Expert Member
Nov 2, 2012
2,697
2,000
Hahahah cyo mimi mie nimeidownload tu nikaona niilete humu tujadil imenitisha ujue...

Ciello bana umeidownload lakini c imekuwa upande wako ,mbona unakwepa , kiukweli hayo maneno ya ukianza namaliza mazuri ukiwa kwenye bf n gf ila once umeingia kwa ndoa jitu bado linazingua inakera cjajua kama ukiaply hizo maneno itakufaidisha kivile lamsingi kuendelea kuchuja before hujajiingiza mzimamzima
 
lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,710
2,000
hahahahahah shosti mbona unaget too personal aseeee....mie nimeleta mada mezani iweje unigeuzie kibao?? narudia tena its not m mie ktk kupitisha muda nikapita kwenye hiyo blog nikakutana na hii post nikaipenda na kuileta hapa....hahahhah usinitupie mawe bana...

Nimekuelewa si wewe uliesema! Ila nachokuchambia ni kuwa, pamoja na kuileta hii mada dume humu jamvini YET BADO HUJIELEWI KAMA UKO INFAVOUR AU AGAINST THE MOTION!!!!!!!! Ndo kutokujielewa kwenyewe hukoooo! Un lingine?
 
Suprise

JF-Expert Member
Nov 2, 2012
2,697
2,000
Ciello tatizo lako kubwa Hujielewi unataka nini katika Mhusiano!!! Sio wewe tu, ni wanawake wengi sana ndo tulivo (Kasoro mimi ofcourse)

Haiwezekani mtu anapokuomba Will you Marry Me? Unakurupuka na YES!!!!!! Na Michozi juuu! WTF!!!!! Inatakiwa akikuuliza Will you marry me? Unajibu It Depends!

Kama unaahidi utakuwa A Man I expect you to be! The Yes Ill Marry You even Today ! But if you fall fall short of my expectations Delibarately even after marrying you my promise to stay with you forever changes!

The forever will apply if and only if you remain the same man that i married!

If you change, dont expect me to remain constant! You cant possibly expect to receive what you cant give inreturn!!!!!

unajua nini lara hataona tabu kuremain alivyo kwa mda ili uje na yes i wil maary u, wanaume wa cku hizi na mapenzi yao ya visasi anackilizia once yes ndani ya nyumba vituko sa kazi kuja kurevise hiyo yes ije kua noo, its tooo late
 
Suprise

JF-Expert Member
Nov 2, 2012
2,697
2,000
Ukitalajia swali hili kutoka kwangu basi andika umeumia, hivi bado kuna Wanaume wanauliza kuoa na siyo wao kuulizwa na Wanawake zao utanioa lini?

we mkali hujui destination yako hata kwa kuforecast
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom