snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,422
- 25,338
hahaha ila ina conditional hiyo utanifanya niwahishe aisee
kwa raha zako mamii!karibu chamani tujilie raha kwa raha zetu!nani kasema NDOA NGUMU BANAAA!
AH!
hahaha ila ina conditional hiyo utanifanya niwahishe aisee
ehn mamii!chukua na mkeka ukae kabisa!tena ukae kitako hasa !shurti kiuno kiwe mkekani!(nishaanza darasa hapo)kuna bonge la faida kwa binti kukaa chini mkekani!me nasubiri ticha ntafanyaje
ehn mamii!chukua na mkeka ukae kabisa!tena ukae kitako hasa !shurti kiuno kiwe mkekani!(nishaanza darasa hapo)kuna bonge la faida kwa binti kukaa chini mkekani!
kwa raha zako mamii!karibu chamani tujilie raha kwa raha zetu!nani kasema NDOA NGUMU BANAAA!
AH!
hahahahah mbona nondo zenyewe huweki? isitoshe mkeka una matobotobo so skinjinsi zetu zinachafuka bureee
ehn mamii!chukua na mkeka ukae kabisa!tena ukae kitako hasa !shurti kiuno kiwe mkekani!(nishaanza darasa hapo)kuna bonge la faida kwa binti kukaa chini mkekani!
hapo ndo manpokosea sasa hizi jinsi si zinawaharibu vizinda tu jamani!hamvai kanga!
hamvai kanga kisa uswaahili !ahahahhahahhahahha mtalaumu sana kuwa ndoa za siku hizi hazidumu!sana i see!
RAHA ya ndoa aijua MUOAJ/MUOLEWAJI!...uongo??
Hivi snowhite ukiambiwa urudi utoto utakubali?..i mean urudi kwa baba na mama??
kwani leo ni ijumaa?ahahhahahhahahhah mwali yale maushuhuda huwa yanakuja otomatekale tuu!we cheza na post zangu utayakuta kibao tu!hahahahah mbona umeanza kutunanga kuhusu mavazi hayo siku nyingine leo tupe ushuhuda huo....
weh!weh!weh!
nani kasema!naaaani nauliza halafu hizi raha za kuukushea usiku kucha na kukatwa kucha (sosi ; Mtambuzi) nimwachie nani pacha !
kama vipi we ongea tu na shem wako akuongezee mahari kama unaona ni lazima saana kurudi home!
MIMI SIRUDI MIAKA 800!
KHEE!niedage tu kusalimia mwayego!mnakumbuka mlivotaka kunitoa baru nilivowaambia naolewa fasta!unafikir nilikuwa nakimbilia nini!
SI HAYA MARAHA YA MHESHIMIWA shem wake SnowBall ,we pacha hebu NIWACHE NIPUMUWE KWA HIZI RAHA!
duuh kumbe limeanza ,mkeka nao muhimu eenh
kwani leo ni ijumaa?ahahhahahhahahhah mwali yale maushuhuda huwa yanakuja otomatekale tuu!we cheza na post zangu utayakuta kibao tu!
SANA!MNO!KABISA!
tena ntakuletea kwenye mkole wetu!na shosti zangu!manake Ciello ananiambia hamkai mkekani kisa jinsi zitacchanika!tutakuletea na kanga zake bibi !we tuambie tu mapema!
chezeya sisi weye
wasomi siye,mashangigi siye,wenyekiti wa jumuiya na ushirika siye,walimu siye,wapishi siye,makungwi siye,watunza hazina siye,wanywa dompo na contessa siye, wacha kabisa vipaji 800 kwenye ndoa mchezo,af mseme ndoa ngumu ah wapi!
dedication kwa mahalalito wangu wa moyoni cacico na gfsonwin,
kwa ushahidi aulizwe Asprin na Kaizer
Kumbe ukiijulia NDOA ina raha zake eh??
By the way..'nothing goes unchallenged'...hivi nini unakimiss sana kwenye 'usela' ambacho hukipati kwenye 'mnyororo wa maisha'? (sio Interview bwana pacha just curious..u know curiosity kills the cat)
hezeya sisi weye
wasomi siye,mashangigi siye,wenyekiti wa jumuiya na ushirika siye,walimu siye,wapishi siye,makungwi siye,watunza hazina siye,wanywa dompo na contessa siye, wacha kabisa vipaji 800 kwenye ndoa mchezo,af mseme ndoa ngumu ah wapi!
dedication kwa mahalalito wangu wa moyoni cacico na gfsonwin,
kwa ushahidi aulizwe Asprin na Kaizer
hahaha hili chama sasa,kila kitu nyie