EMT
Platinum Member
- Jan 13, 2010
- 14,477
- 15,357
Nimekubali leo finally the best of virtues always win..no matter the opposition!!!!
The morality with respect to sexual relations.
Nimekubali leo finally the best of virtues always win..no matter the opposition!!!!
Mentor usilogwe kuruhusu kukatishwa tamaa na stori za kitaa ei ndoa mbaya, ama kuna mateso ndoani never. usiache watu wenye ushuhuda wa kushindwa wakausemezesha moyo wako period.Dah..dada gfsonwin and snowhite my night would have been a very bad one if u ddnt come n rescue ths thread aisee.
Nlikua nshakata tamaa na coments za kina lara na ciello...
But am glad bado kuna ladies who value marriage.
Ila da gfson si unaona kwann mpaka saiv sijaoa? Mabinti hao wako wapi??! I wish ma mdogo Monique nae angekua na mdogo wake wa kike walai ningechumbia kwenu...y lie!
Mentor usilogwe kuruhusu kukatishwa tamaa na stori za kitaa ei ndoa mbaya, ama kuna mateso ndoani never. usiache watu wenye ushuhuda wa kushindwa wakausemezesha moyo wako period.
amini kwamba ndoa yako takuwa yako na haitakuwa na mfano kabisa. if baba Ebe aliweza why not me. Remember Mungu wako ni Ebenezer na hata sasa yupo ili kukusaidia.
hakuna maisha ninayoyafurahia kama ya ndoa yangu period. najiskia amani na furaha kuwa bize na kupika, kufua, kutandka saving smone like mfalme. zaidi ya yote naona raha ninaye mtu ambaye we do share the bedrum, sina siri kwake hana siri kwangu. nakula nae sahani moja, nakunywa glasi moja. bado atunashirikiana ktk makuziya watoto. ni raha sana sana sana.
so usiyumbishwe na maneno ya watu wa kitaa eti ndoa ngumu. kama zao ziko hivyo not yours my bro.
Wow! Naona umeamua kabisa kwenda extra-time, japokuwa akina Ciello walishaweka mpira kwapani na kulala mbele ages ago.
Au mazoezi ya mechi ya marudiano. Taratibu dada wanaweza hata wasiibuke uwanjani raudi ya pili.
Umri mdogo really!?? ama unataka nioe at 35? ama unataka nimpate leo kesho nioe?? i nid to find her now...tatizo la mabinti wa siku hizi, wanaishi kwa hadithi za kusadikika!!!
AHSANTE MAMA!Mentor usilogwe kuruhusu kukatishwa tamaa na stori za kitaa ei ndoa mbaya, ama kuna mateso ndoani never. usiache watu wenye ushuhuda wa kushindwa wakausemezesha moyo wako period.
amini kwamba ndoa yako takuwa yako na haitakuwa na mfano kabisa. if baba Ebe aliweza why not me. Remember Mungu wako ni Ebenezer na hata sasa yupo ili kukusaidia.
hakuna maisha ninayoyafurahia kama ya ndoa yangu period. najiskia amani na furaha kuwa bize na kupika, kufua, kutandka saving smone like mfalme. zaidi ya yote naona raha ninaye mtu ambaye we do share the bedrum, sina siri kwake hana siri kwangu. nakula nae sahani moja, nakunywa glasi moja. bado atunashirikiana ktk makuziya watoto. ni raha sana sana sana.
so usiyumbishwe na maneno ya watu wa kitaa eti ndoa ngumu. kama zao ziko hivyo not yours my bro.
luv you too my cute sis. these madogos needs to be fed.AHSANTE MAMA!
na watafika tu siku watakiri!
UBARIKIWE SANAAAA!wewe na walio chini ya paa la nyumba yako!
love yu sis!
mmh!!!!!!! naona watu wanataka kujilipua
ndoa yako inatengenezwa na wewe mwenyewe Mentor hakuna mtu anakutengenezea au anakuharibua ndoa NI WEWE!usijali bado naamini kuna mabinti wanoleka na wanaweza kuwa hata zaidi ya sisi dada zako tu,wakiamua hasa kutoka moyoni na wakaacha kuishi maisha ya disney world!WAPO!mimi huwa nina kanuni ya kumjugde mtu kwa matendo yake binfasi so uki[ata binti na unaona anafaa kuwa mke!muonyeshe kuwa nawe unafaa kuwa mume!mpe nafasi akuonyeshe her strength na her weekness pia!onyesha zako then fanya maamuzi!Dah..dada gfsonwin and snowhite my night would have been a very bad one if u ddnt come n rescue ths thread aisee.
Nlikua nshakata tamaa na coments za kina lara na ciello...
But am glad bado kuna ladies who value marriage.
Ila da gfson si unaona kwann mpaka saiv sijaoa? Mabinti hao wako wapi??! I wish ma mdogo Monique nae angekua na mdogo wake wa kike walai ningechumbia kwenu...y lie!
luv you too my cute sis. these madogos needs to be fed.
you know what a good teacher can do for her good stds?
Dah..dada gfsonwin and snowhite my night would have been a very bad one if u ddnt come n rescue ths thread aisee.
Nlikua nshakata tamaa na coments za kina lara na ciello...
But am glad bado kuna ladies who value marriage.
Ila da gfson si unaona kwann mpaka saiv sijaoa? Mabinti hao wako wapi??! I wish ma mdogo Monique nae angekua na mdogo wake wa kike walai ningechumbia kwenu...y lie!
AHSANTE MAMA!
na watafika tu siku watakiri!
UBARIKIWE SANAAAA!wewe na walio chini ya paa la nyumba yako!
love yu sis!
ndoa yako inatengenezwa na wewe mwenyewe Mentor hakuna mtu anakutengenezea au anakuharibua ndoa NI WEWE!usijali bado naamini kuna mabinti wanoleka na wanaweza kuwa hata zaidi ya sisi dada zako tu,wakiamua hasa kutoka moyoni na wakaacha kuishi maisha ya disney world!WAPO!mimi huwa nina kanuni ya kumjugde mtu kwa matendo yake binfasi so uki[ata binti na unaona anafaa kuwa mke!muonyeshe kuwa nawe unafaa kuwa mume!mpe nafasi akuonyeshe her strength na her weekness pia!onyesha zako then fanya maamuzi!
kumbuka hakuna binadamua amekamilika yapo mambo tunaweza kukubali kuyaishi na yapo mambo tunaeza kukubali kuyarekebisha!
nikwambie tu mimi dadako niliolewa nikiwa mdogo kweli kweli na home kwetu nilikuwa yule wanaita spoiled brat!
mtoto wa mwisho niliyetanguliwa na makaka na madada wakubwa kweli kweli kiasi siku naletewa posa kila mtu nyumbani alinuna na kwanza kaka zangu waligoma kuja kwenye sendoff wakiamini i was too young to be in a wedlock!
AMINI USIAMINI,mimimi ambaye kila siku ndugu zangu walikuwa wanasubiri getini wakitegemea narudi home muda wowote tena kwa kilio juu!sijawahi kufanya hivo leo mwaka wa 9 huu!
ukiniuliza kuhusu ndoa za walio niona mdogo na siko tayari kwa maisha ya ndoa sitaki kukwambia since nitakuwa namzungumzia mtu mwingine !
lakini nikwambie tu nimemudu na wala sijawahi kujuta!
SO JIPE NFASI YA KUPENDA NA RUHUSU MTU AKUPENDE!utaona tu mke katika perspective hiyo!