Sio ndoa za sasa za kuzeeka nao.

Sio ndoa za sasa za kuzeeka nao.

Hahahahah akuponze nani mwamuzi ni ww sisi hapa twachangamsha genge tu ukitukuta kwa watu wetu wapolee ka simba alonyeshewa maji hahahahahah
hahahaa mama wa kumuwahi kabla ya hajakutuliza, noted, Ciello mamie kibuti kinauma ujue, nyie niponzeni tu,jokes tu am bak
 
Mjadala umeenda sana, umekuwa ni married versus singles.
I wish married women wangeongezeka zaidi ya gfsonwin na snowhite ambao misimamo Yao twaijua (Uvumilivu na ni responsibility ya mwanamke kufanya mambo yaende); too bad wengine wanaishia kuPM tu otherwise tungepata views zao pia. Na singles wanapata picha mbaya sana ya ndoa; nakumbuka nilikuwa mmoja wa walioapa kutoolewa (sababu sikuona mifano mizuri ya ndoa).

Anyway bahati mbaya vizuri havivumi, so nina imani kuna ndoa nyingi au chache ambazo hazina matatizo MAKUBWA, lkn kuna idadi ya kutosha tu ambazo ni vichomi. Pale ndoa unapokuwa KICHOMI nafikiri hapo point za lara 1 zinahusika, wanawake (wanaume pia) mjue MNA MACHAGUO (choices); KUVUMILIA gfsonwin et el's way) bila kutubore kwa kulalamika au KUONDOKA na kuanza upya lara 1 et el's way). Machaguo ni yako baada ya kupima unga na maji, si lara 1 wala snowhite atakaye ishi maisha yako, na case yako haiwezi kuwa sawa na gfsonwin wala Ciello.
Maisha yako chaguo ni lako!
Kaunga you are very right kwa aya yako hii.

here comes something very interesting thing, wafikiri tuache watu wahubiri ndoa ni mbaya tu?
huwa nakuadmire zaidi wewe pale ambapo uliona ndoa ni mbaya ukatoka ukapumzika na baadae ukaona sasa umeshajua mengi zadi ukaamua tena kutaka kuingia. mfano huu wanipa moyo kwamba umekuwa zaidi kimaisha na unauwezo mpana zaidi wa kumwonyesha Ciello ama lara 1 kwamba maisha sio kama wanaavyodhani kwamba yanatoa vitu vby tu.

muda mwingine tunapewa vitu vzr jamani. na believe me singles wanasema the same speech kama ambavyo mm nilikuwa nasema kabala sijaolewa ila nilipooolewa na kukuta maisha yenyewe yakoje i had to rethink about the good way to go about it. na experience za watu wengine zinatufunza tu ila si lazima kila mtu apite hapo kila mmoja atapitia njia yake ila tu unayoyapata kwa wengine yanakuongezea wigo mpana wa kufikiri tu na kupata suluhu.

@kuanga ikumbukwe kwamba " WATU HATUIGI MAISHA YA WENZETU BALI TUNAJIFUNZA KULINGANA NA MAISHA YA WENZETU BAASI."
 
Last edited by a moderator:
Nimekusona vizuri sana my dia...labda niseme tu mijadala ya aidha NDOA ni sehemu salama ya kwenda au vipi inategemea na 'angle' unayojiweka kutokana na experiences zako pamoja na Makuzi yako...Ukiangalia hapo nilipobold utaona unaitetea NDOA in another perspective japo umekuwa unaonekana against it...Lakini kama nimekusoma vizuri huenda mtazamo wako unajengwa kwa kumuona 'MWANAUME' kama ndio always' a stumbling block' ryte?.....Lakini hii haitoshi kujustify na ku-equate kuwa NDOA zimejaa matatizo na kuwa 'defensively' as you want to put it..Lakini kuonyesha pia kuwa kila NDOA ni unique angalia umeonyesha kuwa 'huyu mama alimpata MWANAUME' mwingine anayemjali na maisha yao yamekuwa ya faraja..the point i am trying to make here is that it always take TWO to tango...

.....Mimi kuna rafiki wa Maza alikuwa na 4 kids!!!! kakaa kwa ndoa 15 years kwa mateso na manyanyaso mazito! Mwisho mume akawa anaenda kwa waganga amuue ili aoe tena na asimgee mali! Akaondoka na watoto wote kahamia chumba kimoja! Mungu si Lara kambarikia biashara zimechanganya! Kapata na Mtu mzima mwenzie mjane kamuoa kanisani bomani, wanaishi wote na wameunganisha watoto!...

Hapa nimekupenda kwa sababu umeonyesha kuwa at least NDOA sio obligation ya mtu mmoja kuwa 'responsible' na mwingine kuwa myeyushaji...Ziko aina na mifano kibao ya NDOA zilizofail ambazo 'MWANAMKE' ndio amekuwa mwiba na chanzo chqa break up..so i concur with you that a good marriage is in the hands of two married people who deliberately decide to make a better home by themselves..no any single male or female can claim to make a good home for himself/herself rather it takes a routine of communion...

Nilizotoa zote hizo FACTS kama mwanaume umo humo Jirekebishe Mjali Mkeo! Kama Mdada Pambana usikubali kufa kisabuni utaonewa zaidiii!..
 
Hahahahah akuponze nani mwamuzi ni ww sisi hapa twachangamsha genge tu ukitukuta kwa watu wetu wapolee ka simba alonyeshewa maji hahahahahah

bora umesema ukweli, baby humu naambiwa tunachangamsha genge tu, so dont kot me,
 
Yup..this is well-sad ...wakati mwingine ugumu unakuja pale ambapo tunashindwa kuchukua the 'positive' things na kuamua siku zote kuhubiri the 'negative' things....Hakuna 'taasisi' ngumu kama ndoa..na 'ule' ugumu wake ndio maisha yenyewe!...Vitani tunasema you can lose a battle but not necessarily to say you have lost the war...but when you lose the war u have absolutely lost the battle..so, let's keep battling!!

... WATU HATUIGI MAISHA YA WENZETU BALI TUNAJIFUNZA KULINGANA NA MAISHA YA WENZETU BAASI."
 
Yup..this is well-sad ...wakati mwingine ugumu unakuja pale ambapo tunashindwa kuchukua the 'positive' things na kuamua siku zote kuhubiri the 'negative' things....Hakuna 'taasisi' ngumu kama ndoa..na 'ule' ugumu wake ndio maisha yenyewe!...Vitani tunasema you can lose a battle but not necessarily to say you have lost the war...but when you lose the war u have absolutely lost the battle..so, let's keep battling!!

hapo umenena kaka mkubwa. vijilima vya ndoa ndo maisha yenyewe tena vinakupa utamu sana na unakuwa na akili usipime.
 
Ciello tatizo lako kubwa Hujielewi unataka nini katika Mhusiano!!! Sio wewe tu, ni wanawake wengi sana ndo tulivo (Kasoro mimi ofcourse)

Haiwezekani mtu anapokuomba Will you Marry Me? Unakurupuka na YES!!!!!! Na Michozi juuu! WTF!!!!! Inatakiwa akikuuliza Will you marry me? Unajibu It Depends!

Kama unaahidi utakuwa A Man I expect you to be! The Yes Ill Marry You even Today ! But if you fall fall short of my expectations Delibarately even after marrying you my promise to stay with you forever changes!

The forever will apply if and only if you remain the same man that i married!

If you change, dont expect me to remain constant! You cant possibly expect to receive what you cant give inreturn!!!!!

lara 1 mbona kama vile uko biased? Comment yako ni kama vile inasema ni men pekee ndio wanabadilika which I think isnt correct. Wakati unampa hizo terms utakuwa tayari na wewe kujicommit excatly same way from opposite direction?
 
Sio Rahisi Kihivi!!!!!!!! Thubutuuuuuuuuuuuu! Kwa hiyo mumeo anavokandamila The Secreatry ni wewe mwenyewe? Yaani mimi natongozwa kweli na waume za watu! Sasa nikiwauliza mbona kuchakachua????? Utasikia miaka 2 mtu mmoja inachosha sanaaaaaa! Ukweli tusemage tu! Kinai ndo hio!

So sio lazima unaevunja ndoa ni wewe, saa ingine partner wako Bwelegej tuu, wala huna haja ya kupoteza mda wako kumrudisha mtu anaeponda miraha na maduu huko!

iyo like nimekupa kwasababu umegusa upande ambao tuliusahau ila si kwamba neno hili limenikosha!

back to the topic, you will only live once, na kamwe huna nafs mbili ni moja tu tena ambayo inaish in opposite way. yaani mm yangu inaish kwa hubby na ya hubby inaish kwangu full stop. sasa akinicheat mm ameicheat nafsi yake na ndivyo ilivyo.

binafsi sina muda wa kukimbizana na mume eti amecheat na secretary ama sijui na nani, never mie nna muda wa kukaa na kutimiza wajibu na kisha kupiga goti na kutoa sadaka kwaajili ya ndoa yangu baasi. Kama Mungu wangu ataniacha eti kwasababu yyte ile basi najua ipo siku atanikumbuka tu, lkn mm kamwe sibebi bunduki kukimbizana na mwananmake mwenzangu.

silaha yangu kubwa ni goti na sadaka na kutimiza wajibu tu. nitatekeleza panapostahili na nashukuru Mungu sana kwamba hajawah kuniacha na hata aliponiacha hakukawia kunijilia na wala sikushangaa kujiliwa nae.

busara zaidi inahitajika kwenye ndoa kuliko theories ambazo application yake ni moto katika familia.
 
lara 1 mbona kama vile uko biased? Comment yako ni kama vile inasema ni men pekee ndio wanabadilika which I think isnt correct. Wakati unampa hizo terms utakuwa tayari na wewe kujicommit excatly same way from opposite direction?

Hahahaaaaa! Sasa ujue wadada wakiadisia mambo ya ndoa zao wanatupa shutma zote kwa waume zao! Afu wanaume hawaongei so NO ONE TELLS THEIR SIDE OF STORY!!!!!!!!
 
***Thread bookmarked for future reference***​
 
iyo like nimekupa kwasababu umegusa upande ambao tuliusahau ila si kwamba neno hili limenikosha!

back to the topic, you will only live once, na kamwe huna nafs mbili ni moja tu tena ambayo inaish in opposite way. yaani mm yangu inaish kwa hubby na ya hubby inaish kwangu full stop. sasa akinicheat mm ameicheat nafsi yake na ndivyo ilivyo.

binafsi sina muda wa kukimbizana na mume eti amecheat na secretary ama sijui na nani, never mie nna muda wa kukaa na kutimiza wajibu na kisha kupiga goti na kutoa sadaka kwaajili ya ndoa yangu baasi. Kama Mungu wangu ataniacha eti kwasababu yyte ile basi najua ipo siku atanikumbuka tu, lkn mm kamwe sibebi bunduki kukimbizana na mwananmake mwenzangu.

silaha yangu kubwa ni goti na sadaka na kutimiza wajibu tu. nitatekeleza panapostahili na nashukuru Mungu sana kwamba hajawah kuniacha na hata aliponiacha hakukawia kunijilia na wala sikushangaa kujiliwa nae.

busara zaidi inahitajika kwenye ndoa kuliko theories ambazo application yake ni moto katika familia.

Hapo bold ndio penyewe, kumtegemea Mungu ndio mwisho wa matatizo, hata wanaosema kabla ya kuoana mchunguzane miaka miwilis mara mitatu sijui ni kupoteza muda tu. Mungu alivyokuumba alikutengea wako wa kufanana nae na ukikutana na huyo leo, hata kesho mnaweza kufunga ndoa hakuna cha kusomana wala nini kwani huyo umefanana nae so lazima mtaendana tu na hata mapungufu yenu mtavumiliana Mungu sio mjinga aliposema atakupa wa kufanana nae.

Sasa hizi ndoa za zetu hizi ni kubeba tu ubavu wa mwenzio. Mwanaume akimuona mwanamke shepu inavutia sura nyororo anaoa bila kujiuliza kisa amemtamani, wanawake nao akimuona mwanaume handsome anatembelea ****** basi kwisha kazi ataenda hata kwa mganga ili huyo mwanaume amuoe madawa yakiisha anaanza kulalamika ndoa ngumu, ndoa zina mateso. Wengine mahusiano yakianza tu keshajibebesha mimba mwanaume anaona aoe tu baada ya muda kwa sababu si wako hamuendani matatizo yanaanza yale yale ndoa ngumu.

Mshirikishe Mungu katika kufanya uchaguzi wa mke/mume usikurupuke tu kisa umri umeenda basi yeyote atakaetokea unaoa/olewa. Watu wakianza kukuzonga utaoa/olewa lini basi unaenda tu kuvamia yoyote mradi na wewe uheshimike una ndoa

Kama uliempata ndie Mungu aliekupangia ndoa haiwezi kukushinda wala kuwa na matatizo yasiyovumilika.
 
Back
Top Bottom