Tamatheo
JF-Expert Member
- May 28, 2012
- 3,298
- 1,557
Hayo ni madhara ya kung'ang'ania usipopendwa....Ukikutana na upendo wa dhati hakuna maumivu, visasi, ngumi wala mateke...Vijana wengi wanapenda show huku wakichukia Miziki.....Wanaishia kulizwa na kuachiwa maumivu yanayozaa mkato wa tamaa kiasi cha kuamini wanaume/wanawake wote ni wabaya kitu ambacho sio kweli. NOTE 1. "Kama unataka mke/mme bora jiulize nafsini mwako je Mimi ni mke/mme bora" 2. "Ndoa sio mashindano kama huamini jaribu"