Sio ndoa za sasa za kuzeeka nao.

Sio ndoa za sasa za kuzeeka nao.

mamii mi nina the other side of tha story!
but i had my share na nikapita salama !sa hizi nala kuku tu kwa raha
NAPUMUWA KWA RAHA ZANGU!
sosi: cacico
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahah ipi hiyo mamito hebu iweke basi tujifunze!!!
mamii mi nina the other side of tha story!
but i had my share na nikapita salama !sa hizi nala kuku tu kwa raha
NAPUMUWA KWA RAHA ZANGU!
sosi: cacico
 
Siyo hasira Suprise, Lara1 inaonekana mbabe kiuchumi, kielimu na ki-maneno. Kln hajui kwenye mapenzi vitu tajwa hapo juu havikufanyi uweze kumiliki penzi, mfano, simba jike ni mbabe, ananguvu nyingi na mjanja, lkn ktk maswala ya mapenzi ni mbwiga tu kwa simba dume.

huwezi kua mmbabe kwa kila mtu , akifika kwa mchaga wake anakua mwengine huyu
 
Usitusahau wanafunzi wako kwenye ufalme wako!

mamii mi nina the other side of tha story!
but i had my share na nikapita salama !sa hizi nala kuku tu kwa raha
NAPUMUWA KWA RAHA ZANGU!
sosi: cacico
 
Last edited by a moderator:
I second my dada gfsonwin for what she had just said...ndugu zangu kwenye NDOA hatukomoani...na hakunaga mshindwa na mshindaji...ikivurugika inawacost hata na wasiokuwemo (watoto)...Kuna vitu ni rahisi sana kuvisema ukiwa nje ya ndoa but ukishaingia inakuwa shida kidogo kuvipractise..(Msione wanaoleta shida zao hapa kama ni wajinga sana..no..wana akili na ni wajanja pia..but shughuli ya ndoa sio mchezo)...Mara nyingi mapenzi ya kwenye ndoa ni sawa na football game..yaani kuna dakika unachoka na huwezi kukaba na kuna muda unakuwa na 'pace' na 'stamina'..kikubwa ni kujitahidi tu kuwa na 'uwezo wa ku-possess na ku-dribble' ili hata ukichoka basi mpira unabaki kuwa upande wako..wenye kunielewa mmenielewa!!

unajua SnowBall wengi humu wanadhani ndoa ni mchezo ama maigizo kumbe ni kitu chenye kuhitaji akili zaidi kuliko hisia za kimwili.

unapoamua ku file divorce jiulize kwanza what will be the fate and uwe honest to yourself not to be bias. wengi tutakimbilia kusema nahitaji amani ya nafsi yangu but ukweli ni kwamba hakuna amani kama wanao hawana amani wala furaha. na mind you your kids happiness is not established from how much money you spend for your kids but how much you can keep them bound to a happy family.

sikatai hata kama baba ni mbaya sana sana kama simba but kuna muda watoto wanafurahia uwepo wa baba yao. muda mwingine just to have assurance kwamba baba atarudi nyumban jion baada ya kazi kwao ni furaha na it keeps them enjoy the family. i once said to my mum you are the best woman ever. kwani ulivumilia mengi hadi leo umesherehekea 45 anniversary ya ndoa yako. nilifikiri ataniambia asante bali alinijibu ni rahisi sana kumweleza mtoto baba yako hayupo kwasababu alifariki na hata kaburi utamuonyesha lkn ni ngumu sana kumwambia mtoto mm na baba tulitengena ndio sababu hayupo hapa nyumbani.
 
Last edited by a moderator:
loya mie hayo maneno yameniacha njia pand...kwa case ya bg/gf naweza kubaliana nayo lakini kwenye swala la marriage napata shaka na applicability ya maneno hayo....thats y nimeshindwa kuonyesha msimamo wangu...

Ciello suala la mwaga mboga nimwage ugali halipo kwenye ndoa jamani halipo
 
PIPOOOZ....source 😡lara 1
jamani mada hii nimeidownload kwenye blog flani ya kulee, si wajua mambo ya blue monday ofic inaboa wakubwa wako kwenye vikao so kupass time tunazuga na ishu ka hizi.


nimecopy na kupaste as it is:

Chezea miaka hii ya kuchakachuana na kuchukuliana poa,Vimada kila kona kudadadekiiiii hujali maumivu ya mwenzio,Kilio cha Mwenzio na machungu ya Ndoa kila siku,Uvumilivu sawa hatujakataa ila Wakishatuoa wanatuona Vinyago vya Skauti ndani,Mkishaachana anajirudi atajirekebisha na mambo mengi potelea mbali uonekane Hujatulia kuliko JAKAMOYO Na Maumivu kisa ashajua unampenda wale wanaojifanya wana MAHABA Wako wapi?Ngumu kudumu kuna msemi 1;NIPENDE NITAKUPENDA,NITHAMINI NITAKUTHAMINI,UKINIZINGUA NAKUZINGUA SABABU HATUJAJA DUNIANI KUPATA KARAHA TUNATAKA RAHA.





hivi ndoa za leo ni haya yasemwayo hapa juu tu ama kuna the other side? wenye experience naomba mtoe views zenu jameni!!
matatizo ktk ndoa yapo... ila tatizo mama kwa miaka hii ni information technology and freedom of expression. hapo huyo aliyeandika hayo maandishi anatafuta wafuasi, kwakuwa yeye amesha haribu ktk ndoa yake, anataka wengine wawe kama yeye. na ninahakika wapo watakaofuata mawazo yake. tungelijua na kuwa makini na hii information technology na uhuru wa wengine kuongea .. tungelikua makini na kuchagua yale tunayo yasikia kwa watu .. aah maisha yangekuwa safiiiiiiiiiiiii.
tazama... mtu anasoma maandishi au anasikia kwa watu kuwa ukimpa mumeo tigo, hatatoka nje.nae anaamua kutoa tigo, mwisho mtu tigo analiwa,anaharibiwa na ndoa inavunjika.... naamini kuwa kila ndoa ni ya aina yake.. kuendelea kuchukua mambo ki ujumla ni maangamizi makubwa ya jamiii zetu. tunapaswa kutambua ndoa ndo kiini cha jamii. kiini cha maisha. kuyumba kwa taasisi hii ni kuyumba kwa maisha ya mwanadamu, kuyumba kwa mstakabali wa mwanadamu. sisemi kuwa jamii zenye utulivu ndoa hazivunjiki... hapa ninasema mtazamo hasi wa sasa uliopo kwenye jamii juu ya "ukimwaga mboga nami namwaga ugali"- haijengi kabisa. naandika kwa masikitiko kwakuwa jana namsikia mmoja akiongea kwa nguvu zote , mtu ana miaka 47 , ana watoto wanaoweza kuzaaa,... anatangaza kuwa anaachana na mkewe kisa mke amekuwa anafanya kazi mbali nae. hii ni kuangamiza familia, kuangamiza jamiii, kwani sielewe kwa miaka 47 anategemea nini ktk maisha yake hayo mapya
 
unajua SnowBall wengi humu wanadhani ndoa ni mchezo ama maigizo kumbe ni kitu chenye kuhitaji akili zaidi kuliko hisia za kimwili.

unapoamua ku file divorce jiulize kwanza what will be the fate and uwe honest to yourself not to be bias. wengi tutakimbilia kusema nahitaji amani ya nafsi yangu but ukweli ni kwamba hakuna amani kama wanao hawana amani wala furaha. na mind you your kids happiness is not established from how much money you spend for your kids but how much you can keep them bound to a happy family.

sikatai hata kama baba ni mbaya sana sana kama simba but kuna muda watoto wanafurahia uwepo wa baba yao. muda mwingine just to have assurance kwamba baba atarudi nyumban jion baada ya kazi kwao ni furaha na it keeps them enjoy the family. i once said to my mum you are the best woman ever. kwani ulivumilia mengi hadi leo umesherehekea 45 anniversary ya ndoa yako. nilifikiri ataniambia asante bali alinijibu ni rahisi sana kumweleza mtoto baba yako hayupo kwasababu alifariki na hata kaburi utamuonyesha lkn ni ngumu sana kumwambia mtoto mm na baba tulitengena ndio sababu hayupo hapa nyumbani.
mpenzi wa moyo wangu nakuhitaji kwenye uzi mmoja hivi unafanana na huu! misijui kuquote thread SnowBall hajanifundisha wala nini(nimemweka kiporo)unasema nilimuoa mke kwa ajili ya uzuri wa sura na umboa sasa hivi amenishinda!nimeongea wee nahisi hata sieleweki hebu copy hii post ihamishie kule tafazali!please please!naomba ukopy hiki hiki ulichoandika hapa ukipeleke kule!
 
Last edited by a moderator:
matatizo ktk ndoa yapo... ila tatizo mama kwa miaka hii ni information technology and freedom of expression. hapo huyo aliyeandika hayo maandishi anatafuta wafuasi, kwakuwa yeye amesha haribu ktk ndoa yake, anataka wengine wawe kama yeye. na ninahakika wapo watakaofuata mawazo yake. tungelijua na kuwa makini na hii information technology na uhuru wa wengine kuongea .. tungelikua makini na kuchagua yale tunayo yasikia kwa watu .. aah maisha yangekuwa safiiiiiiiiiiiii.
tazama... mtu anasoma maandishi au anasikia kwa watu kuwa ukimpa mumeo tigo, hatatoka nje.nae anaamua kutoa tigo, mwisho mtu tigo analiwa,anaharibiwa na ndoa inavunjika.... naamini kuwa kila ndoa ni ya aina yake.. kuendelea kuchukua mambo ki ujumla ni maangamizi makubwa ya jamiii zetu. tunapaswa kutambua ndoa ndo kiini cha jamii. kiini cha maisha. kuyumba kwa taasisi hii ni kuyumba kwa maisha ya mwanadamu, kuyumba kwa mstakabali wa mwanadamu. sisemi kuwa jamii zenye utulivu ndoa hazivunjiki... hapa ninasema mtazamo hasi wa sasa uliopo kwenye jamii juu ya "ukimwaga mboga nami namwaga ugali"- haijengi kabisa. naandika kwa masikitiko kwakuwa jana namsikia mmoja akiongea kwa nguvu zote , mtu ana miaka 47 , ana watoto wanaoweza kuzaaa,... anatangaza kuwa anaachana na mkewe kisa mke amekuwa anafanya kazi mbali nae. hii ni kuangamiza familia, kuangamiza jamiii, kwani sielewe kwa miaka 47 anategemea nini ktk maisha yake hayo mapya
na wee Kindimbajuu unakuwaga wapi siku zote unatuwacha wenzio twatoka mishipa huku kutetea ndoa na thamani yake!hebu copy hii post upeleke kwenye thread ya inayosema nilimwoa mke kwa ajili ya uzuri wa umbo na sura sasa amenishinda!(usicheke bana mi sijui kukopy thread kuna mtu hajanifundisha )
 
Last edited by a moderator:
Unajua nini dadaangu gfsonwin ...ni kweli kabisa unayoyasema..na ninaamini hakuna anayependa kuteseka au kuteswa kwenye ndoa, kila mtu ke au me anataka apate FARAJA na AMANI ile ile ambayo aliiona pale mwanzo wa ndoa..Bahati mbaya NDOA kama iko like 'a dynamic organism'..(ndio maana hata watengeneza viapo waliweka SHIDA na RAHA, TAABU na UGONJWA..n.k)...Hajalishi nani kaanza ku-mess up lakini NDOA inataka kupiganiwa na kutetewa..na hii ni kwa sababu ni muunganiko wa 'viumbe wawili wadhaifu'. Majaribu kwenye ndoa yapo na kikubwa ni kujaribu kuyashinda na sio kuruhusu tu kirahisi yakushinde!!!!

Tunapoingia kwenye NDOA tusiingie 'defensively' like AKIMWAGA tu ugali NAMWAGA mboga..hii sio 'style' mujarabu ya kuingia nayo..na pia usiingie kwenye NDOA ukiwa unaamini tu kuwa inavunjika kesho au keshokutwa itakushinda..Ushauri wangu ingia ukijua ni ZAMU yako imefika ya kuuthibitishia umma kwamba unaweza majukumu ya kifamilia na unafaa kuwa BABA au MAMA (Ndio maana wakati mwingine ndoa inatambuliwa kama kipimo cha uongozi na uwajibikaji)..Jitahidi uwezavyo kuhahakisha unaimudu na kwamba wewe sio sehemu ya uharibifu au uvunjifu wake..Na kama itabidi sana kuvunjika basi Uvunjikaji wake uwe sehemu ya USHUJAA wako na sio UNYONGE wako!!....
 
Last edited by a moderator:
mpenzi wa moyo wangu nakuhitaji kwenye uzi mmoja hivi unafanana na huu! misijui kuquote thread SnowBall hajanifundisha wala nini(nimemweka kiporo)unasema nilimuoa mke kwa ajili ya uzuri wa sura na umboa sasa hivi amenishinda!nimeongea wee nahisi hata sieleweki hebu copy hii post ihamishie kule tafazali!please please!naomba ukopy hiki hiki ulichoandika hapa ukipeleke kule!
ngoja nimwombe SnowBall aiquote kule.
.
 
Last edited by a moderator:
Okay my pacha nimekusoma ..ngoja tutoe dosage kwa wadogo zetu hapa afu ntajimuvuzisha pande hzo...

mpenzi wa moyo wangu nakuhitaji kwenye uzi mmoja hivi unafanana na huu! misijui kuquote thread SnowBall hajanifundisha wala nini(nimemweka kiporo)unasema nilimuoa mke kwa ajili ya uzuri wa sura na umboa sasa hivi amenishinda!nimeongea wee nahisi hata sieleweki hebu copy hii post ihamishie kule tafazali!please please!naomba ukopy hiki hiki ulichoandika hapa ukipeleke kule!
 
Ciello hapo kwenye pm ndio unaharibu ujue, mwalimu ongeza ukubwa wa darasa pls

ahhahhahahha mbona mna haraka wali wanguu!eti Ciello na Suprise
mi nishawaahidi jikapu nyie mwataka mfuko wa mia,ah!mtoto wa kike subra bibi shurti ala kwa matao yasije mpalia wanja wa chini ya jicho umchuruzike lol!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom