Sio ndoa za sasa za kuzeeka nao.

Hahahahahah ur rit ila nimekuwa kwenye dillema ndo mana nikataka views za wadau
Nimekuelewa si wewe uliesema! Ila nachokuchambia ni kuwa, pamoja na kuileta hii mada dume humu jamvini YET BADO HUJIELEWI KAMA UKO INFAVOUR AU AGAINST THE MOTION!!!!!!!! Ndo kutokujielewa kwenyewe hukoooo! Un lingine?
 
Ukitalajia swali hili kutoka kwangu basi andika umeumia, hivi bado kuna Wanaume wanauliza kuoa na siyo wao kuulizwa na Wanawake zao utanioa lini?

Matola bado nakumbuka kuwa kwenu mna mijumba na appartments!!! LOL! Back to Topic

Hakuna jambo baya sanaaaa kama kumshawishi/kungangani kama penalty mwanaume akuoe!!!!!!! Weeeeeeeee! Utakuwa Mtumwa wake si utani!

Raha ya ndo mwenzio awe nakupenda sanaaaaaa! (Sio wewe ndo roho inakutoka mwenzio baridaaaaaaaaa)
 
Hahahaaaaaaa! Blue Monday kumbe hadi kwenu huko Wall street?
Ciello siku nying sana hujatoa mada humu!!!!!!! Kimya kingi kina Mshindo Mkubwa!

Nimeukubali huu Mshindo!Naona siasa za mrengo wa kushoto zimeanza kukuingia Kumoyo! I like that!

Ngoja wazee wa samehe 7*70 waje hapa na vifungu vya holy Books! Ila sie Liberal and Neo Marxists tunakubaliana kabisaaaa! Ishu ni MTULIZE KABLA HAJAKUTULIZA!!!!!!!

Haha haaa lara 1 , unanikunaga na maneno yako, nabakiaga kucheka tuu afu naanza kuku imagne lool.

Kweli mapenzi ya siku hzi taabu tupu, km huna roho ngumu waeza lia kila siku. UKIMWAGA MBOGA NAMWAGA UGALI, HADI KIELEWEKE.
 
Last edited by a moderator:
na ndo hicho kilichoniacha njia panda!! kwenye ndoa hayo maneno mtu aweza kuyaapply?? na impact yake je?/
Ciello bana umeidownload lakini c imekuwa upande wako ,mbona unakwepa , kiukweli hayo maneno ya ukianza namaliza mazuri ukiwa kwenye bf n gf ila once umeingia kwa ndoa jitu bado linazingua inakera cjajua kama ukiaply hizo maneno itakufaidisha kivile lamsingi kuendelea kuchuja before hujajiingiza mzimamzima
 
Matola bado nakumbuka kuwa kwenu mna mijumba na appartments!!! LOL! Back to Topic

Hakuna jambo baya sanaaaa kama kumshawishi/kungangani kama penalty mwanaume akuoe!!!!!!! Weeeeeeeee! Utakuwa Mtumwa wake si utani!

Raha ya ndo mwenzio awe nakupenda sanaaaaaa! (Sio wewe ndo roho inakutoka mwenzio baridaaaaaaaaa)
Umechelewa aisee, kuna Mwanamke nimezaa naye na nimeamuwa ni yeye ndio ninapaswa kumuoa na umri wangu wa kuishi kibachela umeshapita, kuna tatizo lililonifanya tusioane muda mrefu lakini kwa uwezo wa Mungu naona linaelekea kwisha.
 
Ciello tatizo lako kubwa Hujielewi unataka nini katika Mhusiano!!! Sio wewe tu, ni wanawake wengi sana ndo tulivo (Kasoro mimi ofcourse)

Haiwezekani mtu anapokuomba Will you Marry Me? Unakurupuka na YES!!!!!! Na Michozi juuu! WTF!!!!! Inatakiwa akikuuliza Will you marry me? Unajibu It Depends!

Kama unaahidi utakuwa A Man I expect you to be! The Yes Ill Marry You even Today ! But if you fall fall short of my expectations Delibarately even after marrying you my promise to stay with you forever changes!

The forever will apply if and only if you remain the same man that i married!

If you change, dont expect me to remain constant! You cant possibly expect to receive what you cant give inreturn!!!!!

Haswaaaa. There must be a fair play, mutual respect and sustainable promises made before and fulfilled after with much improvement if possible.

But not disappointments and regrets lol
 
Umechelewa aisee, kuna Mwanamke nimezaa naye na nimeamuwa ni yeye ndio ninapaswa kumuoa na umri wangu wa kuishi kibachela umeshapita, kuna tatizo lililonifanya tusioane muda mrefu lakini kwa uwezo wa Mungu naona linaelekea kwisha.

Hahhaaaaaaaaa! Matola na wewe mi Nimekusifia tu! Kukusifia shhisi Nakutakaaa!!!!! Je ningekutongoza si ungenichukulia court oder!!! LOL!
Prisoner 46664 njoo huku uone dawa ya kujikinga na wadada wa Jf!
 
Last edited by a moderator:
na ndo hicho kilichoniacha njia panda!! kwenye ndoa hayo maneno mtu aweza kuyaapply?? na impact yake je?/

kwa kweli ni kujipa raha tu before marriage kama mtu akija kukubadilika after mariage no way out unles liwe halivumiliki uamua kuterminate contract, otherwise aliyesema ndoa ni pingu hakukosea
 
maneno kuntuu!!
Haswaaaa. There must be a fair play, mutual respect and sustainable promises made before and fulfilled after with much improvement if possible.

But not disappointments and regrets lol
 
Ladies wanataka kutoana roho ila mie nadhan tuweke open contest and may the best lady win... lara 1 fanya mchakato wa shindano count me in kama contestant lol
Siku hizi huku MMU Ladies LOOOOOOVE Prisoner 46664 na The Boss wazi wazi! Sio siri tena! Ushindani umekuwa mkali sanaaa! Siku hizi wamepanda bei sana hao watu!Inabidi uwe unakaa sana humu MMU ndo utaelewa Politics za humu!
 
Last edited by a moderator:
Siku hizi huku MMU Ladies LOOOOOOVE Prisoner 46664 na The Boss wazi wazi! Sio siri tena! Ushindani umekuwa mkali sanaaa! Siku hizi wamepanda bei sana hao watu!Inabidi uwe unakaa sana humu MMU ndo utaelewa Politics za humu!
Mimi ni Freedom Fighter siwezi kutumia muda mwingi MMU, ila bado jukwaa hili ni muhimu kwangu pia kwani siwezi kuishi kama Cow boy.

By the way usidhani hao wadada wote ni wadada kweli, wengine wana mikia mbele ila wapo humu kuwasanifu wanaume wakwale, ila mkimuona Lizzy mwambie nimemmis sana nahisi kama mna undugu fulani kwa sababu humu haonekani sasa hivi.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom