Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 34,059
- 79,416
Kumekuchwa!
Gwajima ameambiwa Ngoma sio Yake anaicheza, ataharihu. Lakini mwimbaji wa singeli yeye anakuambia; Sio mwana! Sio mwana! Ngoma sio yako unaicheza! Unaicheza! Huko ni kuvuka Mipaka.
Majibu hayo yanaonyesha wazi kuwa alichokisema Gwajima ni sahihi kabisa. Lakini ishu inakuja, pilipili usiyoila yakuwashia nini?
Gwajima anaambiwa ngoma sio yake, lakini anaicheza. Gwajima anaambiwa amesema mambo yasiyomhusu. Ameingilia mambo yasiyomhusu.
Anafanya mambo ambayo hakupaswa afanye kwani wenye Ngoma wapo.
Kwamba, Gwajima hujatekewa hata ndugu yako yeyote, hakuna ndugu yako yeyote aliyeuawa. Wanatekwa na wanauawa wa wengine. Wewe inakuhusu nini?
So many! Sio mwana!
Haya!
Sabato Njema