Sio Mungu tu tuliyemkataa

Tunaweza kuwa na hiyo connection na belonging bila kudanganyana mambo ya Mungu na dini.

Mfano, mtu anaweza kuwa ana belong kwenye Think Tank inayotetea Human Rights kwa watu wote, bila ubaguzi wala uongo wa dini, akitetea mpaka haki za watu kuamini katika dini tofauti, na hilo pia likaleta connection na belonging.

Imani za dini na Mungu hazina monopoly kwenye habaro za connection na belonging.
 
Tunafanana mtazamo.
Mimi siendi kanisani miaka mingi Sasa.
Sijinasibishi na dini yeyote.
Naamini Mungu yupo.
Namuomba Mungu kwa wakati wangu kwa faragha.
Siogopi kuzikwa bila ibada ya wafu inayoendeshwa na watu wa kanisa.
Sadaka na zaka zangu natoa kwa mtindo wa kuwasaidia wenye uhitaji pale tu ninapokuwa na nafasi ya kufanya hivyo. Siyo kukamuliwa kilazima kanisani au na watu wa jumuiya ndogo za kikanisa.
 
Nimetamani kuelewa uzi,ila kusema kweli nimeshindwa!I
Post hii inaeleza kwamba hata kama imani au dini inaweza kubadilika au kufa ndani ya mtu, bado binadamu hawezi kustawi bila connection, belonging, na upendo wa watu wengine kwa sababu mara nyingi kinachomuokoa mtu si doctrine, bali kuhisiwa, kusikilizwa, na kuonekana kama ana thamani. Wakati mwingine hatumkatai Mungu, tunaumia tu na kujitenga na watu.”
 
Safi!
Unaamini kama Mungu yupo?ukiachana na mambo ya Allah au Jehovah?
 
Of course naelewa, ila ndo kilichofanywa na wengi bila wao kujua. Huo uelewa ni wa mtu anayeona the tip of the ice berg. Ila nikwambie tu, both end Zinamapungufu yake, human rights bila virtue ndani yake, bila love for other people lazima ilete vita tu. Kuna namna ambavyo dini japo ni doctrine, Ina leta watu pamoja na kidumisha upendo. Most teachings zinafaida. Japo of course Bado Kuna watu wanauana kisa dini. So nikupima mizani na kuona wapi panafaa. That's all
 
Mpaka sasa watu watatu tumemwambia haeleweki nyie mpo wawili nadhani ushajua upande wenye shida
Binafsi naona kaeleweka pia. Dhana ya msingi kwenye andiko lake ni kwamba kunaweza kusiwe na Mungu hivyo pasiwepo mantiki ya kwenda kanisani ila kuna jambo la ziada zaidi ya kwenda kanisani kwa ajili ya Mungu, nalo ni mwanadamu anaishi katika jamii na kiasili anapenda kuchanganyika na wenzake.
 
Ilikua rahisi sana, na Hilo ndo jibu. Plain clear
 
Ni Mimi kabisa.
Nliwahi kushiriki lakini nkikosa michango naambiwa siwajibiki,najitenga
Nao unaona kabisa wanakupotezea.nimewaacha na Maisha yao
 
Jamani jumuiya🙌🙌🙌Hapana kwa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…