Sio lazima awe wako

Safi sana,,,,,,,,, na wish watu wengi wangekua na mtazamo huu,,,,,,mausha yangekua rahisi kidogo,,,,,,Big up kwa wote wenye principle hii

Na nchi za Afrika zingeendelea kabisa.

Pasingekuwa na Mwanaume anayefanya kazi kisha pesa zote anaacha Bar au kupeleka kwa mwanamke asiye na pua wala macho. Hawa wanawake wasingekuwa na jeuri Kama hii ya siku hizi.

Pia wanaume nao wasinge wanyanyasa wanawake kwani wanawake wangekuwa wanajitambua lakini kwa vile wengi wao hawajitambui kila siku kelele tuu humu ndani na nje za kusalitiwa au kunyanyaswa.
 
mimi uwa sipendagi ujinga, ndio maana nawapenda wanawake wa bar sio wa kwako ni wa mteja wa wakati huo.
 
Ukiona MTU anakung'ang'ania ujue kuna kitu amekiona kwako so anadhani akikuacha anaweza asikipate hicho kitu huko atakakokuwa
Na hapo ndipo swala LA kulazimishana linapoingia
 
Ukiona MTU anakung'ang'ania ujue kuna kitu amekiona kwako so anadhani akikuacha anaweza asikipate hicho kitu huko atakakokuwa
Na hapo ndipo swala LA kulazimishana linapoingia
Uliwahi kung'ang'aniwa hasa na mtu ambaye ulikuwa humpendi?
 
Naona mkuu moyo umeshakufa ganzi😛
 
Hahaha
.. Rest in peace
 
Nilichojifunza kwenye maisha ni kwamba kama hujakutana na changamoto kama hizi huwezi kamilika na ni heri mwanamke anayeanza mapenzi akutane na mwanaume mwenye uzoefu na anayeweza kwenda na spidi ya kila mwanamke , hakika mwanamke huyo atakuwa na bahati
 
Upo sahihi mkuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…