Imewahi kukutokea nn??
Hahahhhsafi Sana mrembo.
Huyo kwa picha ni ndugu yako??
Amesema anaogopa kumwagana. Wakati Mimi mtu Kama hatuelewani naumuita tuyaongea Kama hatutafikia muafaka basi kila mmoja aote mbawa kwa anga ni kubwa.Walaaah joana
Atakuja kuimalizia
Ulimwambia kama
Ana presha abak tuu aliko
Wakat unashida nae
Dhaaa!!! Achaa tuHahahaa pole jaman,mapenzi haya
Hahahaaaaa!!Hahahhh
Ata simfahamu
Dah brother hii ni kweli aseee big up post nzuri pia ina ujumbe mzuri sana sana sisi 20s ages.......
Dhaaa hiii ya kukaa naAmesema anaogopa kumwagana. Wakati Mimi mtu Kama hatuelewani naumuita tuyaongea Kama hatutafikia muafaka basi kila mmoja aote mbawa kwa anga ni kubwa.
Mkuu naomba utolee maelezo hilo "dirisha la johari" kuwa ni nini?Mkuu, kuna kitu kinaitwa; "dirisha la johari".
Hata hivyo, nadhani malalamiko haya yapo kiupande upande zaidi.
Basi wewe umefika viwango vya Ozone layer hukoDhaaa hiii ya kukaa na
Kuyaongeaa kuona
Kama majesh yatarud
Aiseee kwang nshaipiga
Marufukuuuuu
Dhaaa!!! Achaa tu
Cjui nihamie upande huo
Maana sote tunaogopa
Mabango bhas huenda
Kukawa kuzur
Numbisa uko Jiji la Kaka??Saiv hakuna kuogopa unajilipua tu ukitimuliwa sawa tu ipo siku ataanza kujileta mwenyewe. Ila kuwa makin tu usifatefate wasichana wa mtaan kwenu(wasumbufu wanakujua hadi boxa) tafuta wa mbali atakuheshimu.
Hahaha niliempenda sikuwahi mwambia hata siku moja mpaka waleo sijui alipo.
Ila walio nipenda nilikua wa kwanza kuwashushua
Hwajamaa wanatubania kila sehem,aina mbaya ngoja tuamie kwenye wembe(gongo*)hahahahaaaa!!
Viroba mwisho March mosi
Duh,unaamiwa what goes around comes back around
Numbisa uko Jiji la Kaka??
Walaaaa hiiiii hawa hataSaiv hakuna kuogopa unajilipua tu ukitimuliwa sawa tu ipo siku ataanza kujileta mwenyewe. Ila kuwa makin tu usifatefate wasichana wa mtaan kwenu(wasumbufu wanakujua hadi boxa) tafuta wa mbali atakuheshimu.
Walaaaa hiiiii hawa hata
Ctak kuwaskia wa ktaan
Bora nijitumbulie kwako wa mbaali
Unavyomfanyia mwenzako jua kuwa inamuuma sana,tena live....siku ukija fanyiwa wewe ndo mana huwaunaskiaga mtu kajinyonga kisa mapenziHahhaaa kwel kabisa