From Adam hadi Abraham (around 2000 years) patriachs ndio walikua watunzaji wa tumaini la injili. From Abraham hadi Yesu (around 2000 years) Abraham, Isaac, Jacob na uzao wao (Taifa la Israel la wakati ule) ndio walikua custodian wa tumaini la injili. Baada ya Stephen kupigwa mawe around 35 AD, kanisa ndio limekuwa mtunzaji mkuu wa injili.
Miaka 2000 baada ya Stephen kupigwa mawe inaishia around 2035, hii itatimiza miaka 2000 ya injili kwenda kwa mataifa na kanisa kuwa mtunzaji mkuu wa injili.
So huenda kuna mabadiliko ya majira na nyakati (a change in times and seasons) yatatokea mitaa ya miaka ya 2030-2040. Wakati huo dunia itakua na miaka around 6034-6044. Dunia itakua iko extra time kwa miaka 34-44 baada ya kumaliza miaka 6000 ya uwepo wake. Uwezekano upo wa extra time kuendelea mpaka 6666.
Katika kila kipindi cha dunia huwa kuna atleast mtu mmoja ambaye kwa neema ya Bwana Yesu, anakua anaijua injili ya kweli na jina lake linakua limeandikwa mbinguni. Na kabla mtu huyo hajafa huwa kuna mwingine anakua tayari ameshaonyeshwa au kufundishwa injili ya kweli na Mungu wa Israel mwenyewe. E.g. Kabla ya Enoch kufa Methuselah mtoto wake Enoch alishazaliwa na kuwa mkubwa na kuwa mtakatifu. Kabla ya Methuselah kufa, Noah (kitukuu au kilembwe cha Methuselah) alikua na zaidi ya miaka 500 (Noah alikua around miaka 600 wakati wa gharika ambapo Methuselah alikufa miezi michache kabla ya gharika). Na Noah alikua mtakatifu tayari. Kabla ya Noah kufa, Shem (mtoto wa Noah) alishakuwa mtakatifu. Kabla ya Shem kufa Abraham (more than kitukuu au kilembwe cha Shem) alishazaliwa na kuwa mkubwa na kuwa mtakatifu. Tena baada ya Abraham kuingia Canaan ndio Shem anakufa. Hapo Abraham (kupitia Isaac na Jacob) ndio wanakua wahifadhi wakuu wa tumaini la injili kwa around miaka 2000. Hadi around 35 AD ambapo Wayahudi walimpiga mawe Stephen ambaye alikuwa mfuasi wa Yesu.
Hiyo ndio line halisi kabisa ya kiroho na kiimani ambayo inaendelea mpaka sasa. Na hata sasa kuna Wakristo ambao wameonyeshwa au kufundishwa imani ya kweli na majina yao yameandikwa mbinguni. Wakristo hao wanaweza kuwa wametoka mataifa mbali mbali.
Kwenye kitabu cha Daniel, Yule Mtu Aliekua amesimama juu ya maji mengi (huyu ni Bwana Yesu) Daniel 8:13, Aliitwa Palmoni maana yake ni Wonderful Numberer. Ukiona title kama Wonderful Counsellor, Wonderful Numberer, Revealer of Secrets ujue zina belong to the Godhead. Kwenye old tastement ukiona titles kama ‘The Word of God’, Michael the Archangel, au The Angel of the LORD (kwa mfano pale waisraeli walivyokua wanatoka Misri), ujue huyo ni Bwana Yesu kabla hajazaliwa duniani pale Bethlehem.
So unaona Abraham alivyo furahi na kustaajabu kupita kiasi alivyojua kwamba huyo anaeongea nae kwenye visions (The Word of Yahweh) ndio huyo huyo atakuja duniani na kufa kwa ajili ya dhambi za ulimwengu na kufufuka na kurudi mbinguni kama mshindi. The Word of God ndio Kamanda mkuu wa majeshi yote ya malaika wa mbinguni. Nahisi hata Enoch alikua anajua kwamba Yesu atakuja duniani. So unaona the humility of Jesus (Yahushua) iliopelekea yeye kukaa kuume kwa Mungu Baba. Unaona the pride of Lucifer (Satan) iliyopelekea yeye kufukuzwa mbinguni.
So watanzania tu avoid majivuno ya kisiri siri (na kurudishana nyuma kisiri siri) kwasababu sio mazuri. Ukiona au kuhisi mtu fulani au kabila fulani (e.g. Wachagga, ingawa nao wana madhambi pia) limebarikiwa au limefanikiwa usichukie, jipange (au jipangeni) mdogo mdogo (kiroho na kimwili) bila kuwahujumu huyo au hao unaohisi wamebarikiwa na Mungu atakusaidia (atawasaidia).
Kipindi cha waisraeli (tangu Abraham alivyoingia Canaan?) hadi walivyo ondoka Misri ilikua exactly miaka 430. Na kuna majira mengine kama miaka 1260 ambapo injili ya kweli ilikwenda nyikani, kuna miaka 490 etc.
Farao aliambiwa miaka 7 ya mavuno tele na miaka saba ya njaa kubwa. Babeli iliambiwa kuwa itatawala dunia kwa miaka 70. Wamisri enzi za Farao wa Joseph walikua sio wayahudi, walikua sio wakristo, walikua ni mataifa (gentiles), tena watoto wa Ham. So hata Mataifa yetu yana namba zake na majira yake na nyakati zake. Hata makabila, koo na mtu moja moja pia. Tanzania pia ina namba zake na majira yake na nyakati zake. So Watanzania tumshukuru Mungu wa Israel kwa kutuletea injili Afrika.