Sio kwa dongo hili!!

We unadhani maisha ya SA ni kama ya Bongo????

Pasikie tu

In short msosi unaonunua 2000 kule ni zaidi ya 9000.

Kutoka makumbusho to posta unalipa 400 SA kwa umbali huo utalipa 3500 mpaka 4000.

Pasikie tu rafiki
Waambieni ndugu zetu, yakiwashinda warudishe mpira kwa kipa!
 
Hii pekee ni pizza in cost a bag of cement. Sasa wanaotaka ku dine kabisa si wanakula msingi wa nyumba!
 
Hii pekee ni pizza in cost a bag of cement. Sasa wanaotaka ku dine kabisa si wanakula msingi wa nyumba!

Sasa wala msingi sijui sala yao itakuwaje! Yaani hao nahisi itabidi wamwagiwe tindikali wayeyuke taratiiiibu.
 
Sasa wala msingi sijui sala yao itakuwaje! Yaani hao nahisi itabidi wamwagiwe tidikali wayeyuke taratiiiibu.

Hahaaa, lakini unajua, hii itakuwa umewakumbusha na kuwapa moyo wale wanaosita. Wakijua kumbe kutoa mtu ni msingi wa nyumba au hela ya mlango na madirisha watajifikiria kwanza.
 
Nilipousoma nilicheka mpaka basi,hiyo sala tu ni balaa, na jina sasa 'bandits' chaaah!! Sio kwa kutuchoka huko!!

Huh!, naona kuna pizza eating bandits, nyama choma eating bandits, beer drinking bandits...lol
 
Hahaaa, lakini unajua, hii itakuwa umewakumbusha na kuwapa moyo wale wanaosita. Wakijua kumbe kutoa mtu ni msingi wa nyumba au hela ya mlango na madirisha watajifikiria kwanza.
Sure!! Huu ujumbe naona umelenga kuwastua wanaume zaidi, maana huwa wanajisahau sana, we unampangishia mwanamke nyumba ya gharama wakati wazazi wako kijijini wanalala stoo(maana sio nyumba) ukijikusanya si unafanya ya maana kabisa!!
 
Reactions: kui

Huh!, aisee, ilikuwa bahati kupata mtu kama wewe halafu hakuitumia.
 
Huh!, naona kuna pizza eating bandits, nyama choma eating bandits, beer drinking bandits...lol

Bandits kila mahali!! Doooh tutashindwa kupumua tuambiwe air eating bandits!!
 
Reactions: kui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…