Sio kila mwanamke anajiuza, kuna agenda ya siri

Sio kila mwanamke anajiuza, kuna agenda ya siri

mbona kama nawe unatamani kujiuza jamani wakati we kidume?

acheni hizo....basi mjiandae na kuzaa kwa uchungu

hivi nyinyi wasichana wa siku hizi mmpatwa na nini???? laity ungepitia haya maeneo kama OHIO,KWA MACHENI,UWANJA WA FISI,MANZESE MIDIZINI,BUGURUNI MALAPA,MAISHA CLUB na baadhi ya casino usingekuja kuandika huu uzi wako hapa mnajidhalilisha sana!!!!
 
Hawa KE ambao hawasemi directly kuwa wako ON SALE ni gharama kubwa utawajengea mpk nyumba kisha unatimuliwa kitaarabu!!
 
Wana jamvi salaam zenu nyote,

WANAWAKE WOTE WANAJIUZA= SI KWELI ( NI HAO TUU UNAOWANUNUA WEWE)

why such a topic jamani!!
mbona mwatuandama namna hiyo jamani kaka zetu, baba zetu, kina ankooo!!!

MY TAKE;

  1. najua hapa mtakuja mnaosema nimeumia kwa kuwa pia najiuza= si kweli
  2. ila pia kuna wale ambao wanaelewa majukumu ya mwanaume kwa mwanamke= hawakubaliani na kauli hiyo
  3. wengi mmesahau kwamba mwanamke anakuvutia kimapenzi kwa kuwa katumia gharama kujipendezesha= mnapenda wanawake wazuri, wasafi( kwa hela ya nani sasa? jiulize)
  4. KUMTUNZA MWANAMKE NI JUKUMU LA MWANAUME= HATA KAMA HUTAKI(ni agizo la Mola, ni nature, ndivyo ilivyo, na itabaki hivyo jamani)
  5. AU MNATUONEA WIVU WENZETUUUUU? = FUNGUKENI JAMANI

mnalalamika sana kaka zangu, ila nadhani pia ni ugumu wa maisha na pia wengine ni CHOYO ndo inasumbua.

We hela yako unataka ale nani kama sio mwanamke jamani?

haya tulale salama......na hapo umelala na mwanamke, na umemuita mwenyewe kwa kumbembeleza, ( hivi mnunuzi na muuzaji ni yupi anaebembeleza mwenzie?)

MTUPE HESHIMA YETU BWANA

imeandikwa wapi kumtunza mwanamke ni jukumu la mwanaume? Na je, mwanaume atatunzwa na nani? Hiz ni iman potofu na ndo mana wanajiuza kwa mitazamo hasi kama hii. Nyie si ndo mnaosema haki sawa kwa wote??
 
hivi nyinyi wasichana wa siku hizi mmpatwa na nini???? laity ungepitia haya maeneo kama OHIO,KWA MACHENI,UWANJA WA FISI,MANZESE MIDIZINI,BUGURUNI MALAPA,MAISHA CLUB na baadhi ya casino usingekuja kuandika huu uzi wako hapa mnajidhalilisha sana!!!!

ok sawa,
hiyo mitaa ulotaja umewahi kumkuta mamaako, dadaako, na shangazi wakiuza?

acheni kugeneralise mambo hapa.

kujiuza ni matusi na muache kuwatukana mama zenu.

nimemaliza
 
imeandikwa wapi kumtunza mwanamke ni jukumu la mwanaume? Na je, mwanaume atatunzwa na nani? Hiz ni iman potofu na ndo mana wanajiuza kwa mitazamo hasi kama hii. Nyie si ndo mnaosema haki sawa kwa wote??

mwanaume atakula kwa jasho
mwanamke atazaa kwa uchungu

kama hamtaki bai tubadilishaneni
 
Jamani naomba kujua hivi wale wanaojiuza mitaani waziwazi siyo MAMA,DADA,SHANGAZI&BIBI za watu!Mbona mnawatenga! @ACADEM
 
Hatimaye leo mmebambwa. Wapi lara1? Ukweli jamani ndio huo. Kwani nyie wanaume mnawapendea nini? Pesa ikiwepo si ndo mnapangishwa foleni kama yule jamaa wa arusha alivokuwa anawapanga wake za watu? Mimi nasema sio wote wako hivyo ila siku hizi mmezidi!
 
hivi nyinyi wasichana wa siku hizi mmpatwa na nini???? laity ungepitia haya maeneo kama OHIO,KWA MACHENI,UWANJA WA FISI,MANZESE MIDIZINI,BUGURUNI MALAPA,MAISHA CLUB na baadhi ya casino usingekuja kuandika huu uzi wako hapa mnajidhalilisha sana!!!!

Wanajidhalilisha kwa nani Mkuu??? Kwani wewe nawe unayepita huko kununua hudhaliliki??? Au wanawauzia punda na ngombe???
 
Hatimaye leo mmebambwa. Wapi lara1? Ukweli jamani ndio huo. Kwani nyie wanaume mnawapendea nini? Pesa ikiwepo si ndo mnapangishwa foleni kama yule jamaa wa arusha alivokuwa anawapanga wake za watu? Mimi nasema sio wote wako hivyo ila siku hizi mmezidi!

Wamezidi kwa vile soko limekuwa kubwa! Ninyi nyote mnao comment hapa ndiyo WANUNUZI! Mnashangaa nini sasa??
 
mwanaume atakula kwa jasho
mwanamke atazaa kwa uchungu

kama hamtaki bai tubadilishaneni

Tutakula kwa jasho na sio tutawalisha wanawake kwa jasho. Kumbuka pia wale wanaojipanga sokoni ni mama., dada, shangazi wa watu na ni bora wale kuliko nyie wa maofisini. Wasiojipanga sokoni wanachuna mpaka nyumba,magari nk na akishavipata anaanza kukuzingua
 
Mpaka mmeamua kuanzisha thread kweli kimeumana.

Punguzeni ankara. Mnachuna mpaka mifupa. Khaaa!!!
 
nadhani ni muda muafaka kwa watu wa jinsia ya kike,kurudi kwenye meza ya mazungumzo na muumba ili awape hekima ya kuweza kujitathmini mlipo na mnapoelekea katika swala zima la mienendo na maadali yenu kwa ujumla.
 
Watuwache tupumuweeee!!! Kila siku wanawake wanawake. .....

Hivi hao wanunuzi ni wanawake wenzao?¿

"Kumbuka mtoa rushwa na mpokea rushwa wote ni wahalifu"
Ukienda upande huo utaharibu maana wanaosema hivyo sio kwamba wao wanakataa kununua, wanakubali na wanataka na wewe ukubali kuwa unauza. Sasa unakubali kweli unauza?
 
Dah ile thread ya kwanza noma naona academia umeumia sana!wanasema ukweli unauma ,umeamua kuanzisha na uzi?acheni hiyo tabia ndo njia kuu
 
kila mwanaume anaesema wanawake wanajiuza na yeye anatamani kuuza

wengi wenu sio rizki....mmenielewa

ndo maana mapovu yanawatokaaaa

A.K.A mnatutamania, na nyie ndo maana mmeanza tabia ya kuuza mini kabang!!
mtaongea sana na mtafumuliwa malinda sana tuu.
mmesahau uumbaji na mgawanyo wa majukumu

poleni sana
 
Hahahah pole sana mama. İnaelekea umeudhika sana. Angalia usije kupasua screen kwa kubishana na watu usiowajua.

Bottom line, punguzeni ankara. Baaas.
 
Kifupi Hamna k ya bure sema mizinga ikizidi na mimi lazima nimtigo aisee,,,
 
Hahahah pole sana mama. İnaelekea umeudhika sana. Angalia usije kupasua screen kwa kubishana na watu usiowajua.

Bottom line, punguzeni ankara. Baaas.

Uchague hospitali kabisaaa kama kwa Bake au MOI maana we mzee naona unampima mbavu huyo mtu!!!!!!

Kachafukwaaaa
 
Uchague hospitali kabisaaa kama kwa Bake au MOI maana we mzee naona unampima mbavu huyo mtu!!!!!!

Kachafukwaaaa

Ngoja niwahi Ocean Road. MOİ hawachelewi kunipasua korodani wakati mie naumwa kichwa.

Wamama wamekuwa wakali kwelikweli.
 
Back
Top Bottom