NISUALAMUDATU
Member
- Aug 10, 2019
- 37
- 23
Wanabodi,
Sehemu yote ya mkoa wa Kagera inayotegemea umeme kutoka Uganda imekuwa gizani kwa siku ya tatu sasa.
Ukifuka mpakani mwa Uganda na Tanzania ( Mutukula ) upande wa Uganda kuna umeme wakati upande wa Tanzania ni giza.
Inasemekana kuna tofauti imejitokeza kati ya nchi hizi mbili hali iliyopelekea wenzetu kutupiga giza.
Inasemekana shughuli nyingi za kijamii na kiuchumi zimekwama kama vile usambazaji wa maji, uzalishaji viwandani, nk. Yajayo yanafurahisha.