Single mums and dads come this way

Duh Miss Kim,maamuzi uliyo yafanya uliyaona yako sahihi kwako though mtu mwingine anaweza asikuelewe kuwa kwanini ulifanya hivyo but wewe ndo unajua sababu yakufanya ivyo, nakutakia lililo kheri na mwanao aweze kukuelewa hapo baadae atakapo taka kuujua ukweli.
 
Last edited by a moderator:

In red: inaonyesha kabisa kwamba mtoto mwenye malezi ya mama tu ana mataitizo. umesikiliza upande wa mama tu akakujaza sumu kuhusu baba yako ila hujajua upande wa baba ako ukoje wewe unaishia kumtukana baba ako,wana wake wengine wana nyodo sana unaweza kua umempa mimba kisha akakwambia mimba sio yako kisha naada ya miezi kadhaa akaja kukwambia kwamba mimba ni yako kwa nini usikatae,je una uhakika mama ako hakua na tabia kama hizo?tusipende kuwalaumu wanaume tu,kuna mambo mengine wazazi wa kike wanasababisha.

unajichanganya sana,kama mama ako asingemsema baba ako vibaya usingemtukana hivyo,alichokifanya mama ako ni kuhamisha chuki zake kwa baba ako na kukupa wewe uziendeleze na ndio unachokifanya.

In blue: sio guarantee. kwa hiyo usidanganye watu
 

Duh, Kamanda Kova nini!
 

Aisee namtetea kilaza hapa,wala hajasema mamaake amemjaza chuki dhidi ya babaake na mama yake wala haongei vibaya,na keshasema alimpa baba nafasi nyingine lakini hakuitumia kufuta makosa yake,
 

siwezi ku-quote yote ila hakuna mahali nimepingana na wewe bali hoja zako. Hakuna nilikosema haki haki hazina maana bali "wakati mwingine hizi haki hazina maana". Kitendo cha binti kuponea kubakwa na babake hakiondoi haki ya mtoto au baba kupewa taarifa ila kinamzuia mwenye wajibu huo kutokutoa taarifa ili kumlinda mtoto. Hivyo, si kila utkelezaji wa haki una faida tarajiwa. Yule uliyemponda kwa kudai haki mahakamani kwa hoja kuwa malezi si material hakuwa na sababu ya kuleta details zake hapa ili kuhalalisha kitendo chake cha kwenda mahakamani. Mzazi yeyote bila kujali mazingira ya kupata mtoto huyo ana haki ya kwenda mahakamani kudai haki ya malezi ya kimwili (material) ya mwanae. Kitakachotofautiana ni majina tu wakayoitwa hao wazazi washtakiwa. Mwanandoa ataitwa biological parent, na asiye na ndoa ataitwa putative parent (mzazi husika). By the way 50k kwa mwezi si ndogo. inatosha kabisa kumpatia mtoto protein anayohitaji mwezi mzima. na akisoma shule ya kayumba inamtosha nauli na mihogo mwezi mzima. hata mama akiichukua kila mwezi akiiweka saccos sijui vikoba inamtosha kumsomesha mtoto shule yenye mazingira yenye afadhali. cha msingi ni mtu kuwajibika.
 
Aisee namtetea kilaza hapa,wala hajasema mamaake amemjaza chuki dhidi ya babaake na mama yake wala haongei vibaya,na keshasema alimpa baba nafasi nyingine lakini hakuitumia kufuta makosa yake,

Mkuu mtu hatakiwi kueleza kila kitu ili ujue kwamba jambo flani liko hivi,soms katakati ya mstari(read between the lines) utaelewa kilichojificha. huyu mkuu kalishwa mambo mabaya na mama ake kuhusu mzee wake ndio maana ana chuki na hasira na mzee wake vinginevyo huyu mkuu atakua na matatizo. sikatai kua wana ume wengine huwa wazembe lakini mara nyingi watoto huwa wanasikiliza upande wa mama bila kumsikiliza baba maana hawezi kumkalisha au kuwakalisha kikao akajua nani alikua mbaya basi huchukua ya mama tu na kutoa hitimisho.
 
I rest my case, some battles are best fought in silence. And just so you know my decision was never based on emotions, it was a well thought decision which has worked out for the best of everyone. Nikutakie siku njema mpendwa.

Very true some battles are best fought in silence, you don't have to justify to everybody what
you did, na hata ukianza ku justify not all of them will Understand..,

mie nawaelewa sana jamani kudos to Miss Kim ram, devote vijance charminglady NANDERA na wengineo wote mliocomment experience zenu kwenye hii thread. Kilaza umenichekesha
 
Last edited by a moderator:

jamaaaniiii. vibaya hivyo. keshasema mama yake hakuwahi kumsema baba yake vibaya na wewe umepapigia mstari. na kuna mahali kasema akiwa in his 20s alijaribu kumpa nafasi baba yake ila baba akashupaza shingo. kwa hiyo kama ni chuki zimekuja baada ya yeye mwenyewe kushuhudia laiv vituko vya baba. Halafu kama mwanamke akikuambia ni mjamzito na ukatilia shaka suluhisho si kumkana mtoto. subiri mtoto azaliwe uthibitishe ndo uchukue maamuzi kulingana na matokeo. vinginevyo utakuwa unatafuta visingizio tu vya kukimbia. Halafu hata mimi nikisoma between the lines michango yako inaonyesha kuna kitu (labda hakihusiani na hii mada) kinachokusukuma umshambulie kilaza kwa kumponda baba yake. kama mama yake angekuwa amemlisha sumu ni kwa nini kilaza ahangaike kumpa baba yake nafasi ya pili? Kama baba alikuwa na ya kusema juu ya mzazi mwenzie au kuwa labda kilaza si mwanae ni kwa nini hakumweleza kilaza alipomuonyesha kumkubali? kijana wa miaka 20 na.. ni mkubwa, angeelewa tu.
 


mkuu hatuishi kwa kukariri na huwa binadamu tunatumia vichwa vyetu kufikiri sio kufugia nywele tuu kama wewe unavyofanya

nimeandika hiyo post kwakuwa nimeguswa na koment ya dada yangu aliyekanwa na mume (sitakagi kuliongelea hilo )
binadamu walinielewa (eli 79. zamda .Nandera. and e.t.c) lakini
mbuzi ndio wanaotaka nirudierudie hapa

kwanza nikuonye put my mama out of this she is a genius of her own kind ni msomi ni mrembo na ni mrembo kwelikweli sikui alitoka wapi na yule taira (wanasemaga ndege mjanja ananasa tundu bovu) na amenilelea vizuri kuliko hata ulivyolelewa wewe trust me

mama yangu hajawai kuniambia lolote kuhusu huyu kiazi boya mbuzi kende pi.mbi big fat a.s.s becoz I ddnt show any interest naye wala sijawai kumuulizia na wala sitaki kuuliza mimi ni mtu mzima hata kama walikuwa na ugomvi wao hasira yake ndio anihamishie mimi???????

Tunapiga stori nyingi sana za utotoni nilivyokuwa mtundu n.k hata nilivyoanza kutongoza videmu alikuwa ananishauri vizuri tu bila aibu nakumbuka alikuwa ananiambia
"lets talk like friends nasio kama mtu na mama yake "
elimu aliyonipa ni zaidi ya chuo kikuu

nilichogundua ni kuwa wewe ulimtelekeza mtoto hivyo unaogopa asije akawa na akili kama zangu

hapo kwenye blue
ngoja nikutajie wachache
bill Clinton. 50 cent .mariah carey . B.I.G .p diddy.Armstrong. Tom cruz.jammie fox .jay z .Enrique. jet lee .madonna.Eddie Murphy. Obama. Ronaldhinho.Tupac.kanye west.e.t.c
 

Una maneno makali lakini mi nimemuelewa kilaza,fikiria baba anakuacha ukiwa 5yrs anarudi 20yrs na alikuwa hakujui wewe kwa lolote wala chochote lakini unapokea matokeo yanakuwa yaleyale! Hapana bwana mi niko pamoja na kilaza,we utakuwa unauhusiano na baba kilaza tu .
 


Soma majibu yangu hapo juu nilikua najibu zemda geuka alisema kama ulichokisema.

In red: Hukunielewa,sijasema mimi nakua na mashaka na mimba bali mwanamke anasababisha uwe na mashaka na mimba,wewe unakua na uhusiano na bint ukichukulia kua uko peke yako na mimba itakua yako,unamuliza anakwambia mimba sio yako,unajiweka pembeni baadae miezi kadhaa imepita anakuja kukwambia mimba ni yako je wewe utakubali?lazima nikatae hata kama kweli ni yangu.
 

umejibu vizuri sana
 
Kuna sababu zinazomfanya mtu aseme "I AM HAPPY TO BE A SINGLE MUM" unajua amepitia dhoruba gani akafikia hapo?Kuna umuhimu gani wa kuwa pamoja na baba asiyetambua majukumu yake?Kuna haja ya kuwa na mtu ambae ukiwa nae uko mpweke kuliko ukiwa mwenyewe?Kuna umuhimu wa kuwa na mtu anayekuongezea mzigo wa maisha na si kukupunguzia?Hamna maelewano mnagombana mpaka mnataka kubwatuana mbele ya mtoto!Ni bora uwe peke yako ujijuje upo peke yako kuliko uwe na mtu na ujihisi uko peke yako!KILA KITU KINA FAIDA NA HASARA KAMA ILIVYO NDOA NA HIVOHIVO USINGLE PARENTED.
 

pathetic eti read btwn lines sio kila kitu siasa upuuzi mtupu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…