Hakuna sehemu kafundishwa matusi,tena kilaza kamsifu mamaake kwa kumlea kwenye maadili,kuna watu humu wamelelewa na wazazi wawili lakini wana matusi ajabu,kilaza katukana hapo kwanza?!hayo ni majina tu kayatoa kwa mtu asiyejali familia yake hasa watoto,mi nasema mwanaume kama huyo ni Fisi Maji.Alaa!
Mke wangu tumeish nae kwa miaka kumi na kupata watoto wawil wa kiume,aliamua kuondoka na watoto wote na kurudi kwao.Baada ya mda mfup alipata kaz na kupanga chumba.Alipopanga ni karibu namm ninapoishi.Watoto wangu walikua wanaishi maisha magumu kwan walikua wanakuja kwangu na kunieleza.Baada ya takriban miez sita niligundua kuwa rafiki yangu wa karibu na kama ndg yangu ndie alie mpangashia chumba,kumtafutia kaz napia anawalisha adi wazaz wa mke wangu.Ilinibidi nikashtaki ofsin icho kitendo il jamaa ahamishwe,cha ajabu familia ya mke wangu na mke wangu wote wakanifungulia kes kuwa nawatishia.Mtoto wangu mkubwa aliekua ananipa siri wakamfukuza.Mpaka sasa naish nae.Napata changamoto nyingi sana kumlea kwan ni mdogo yupo darasa la nne na mimi kaz zinanibana.Akimaliza mtihan wa taifa tampeleka akaish na wazaz wangu.Mwanamke kaniudh na jamaa yangu ameniuzi sana.
Uko sahihi ndugu yangu hata mimi ilinitokea hivyo aliniambia nitoe but nilikataa na mapenzi yakaisha tangu mimba mpaka sasa mtoto ana miaka mitano hajui anachokula anachovaa wala matibabu na anajua kama ana mtoto natamani nicngemwambia kama ni mtoto wake hataki hata kumuona nimemuongopea mpaka sasa nimeamua kumwambia ukweli baba yako hakutaki
Wewe unajua maana ya mshenga kweli? And by the way just so you know, you are a very CLOSED MINDED PERSON. For one those type of people need not and in fact do not have to pronounce themselves as such. But you wouldn't understand this stuff coz it is way above your level of the so called "open mindedness"!!!
Ukiwa objective humu unaweza kupigwa hata mawe.
duu! umeongea saaana kwa uchungu. Sasa kama mamako alikuficha kuhusu babako na ulivyomkomalia akakwambia na wewe mwenyewe ukachukua hatua kumfata babako akakutolea nje huoni kama mama yako alikuwa na sababu ya kutokwambia toka mwanzo? Unajuaje kama baba yako alimwambia amkome tangu ukiwa tumboni na ndo maana ulivyomkabili akakutimua? unajitwisha mzigo wa kujionea huruma bure tu eti huna mashangazi sijui ndugu zako ni wachache. Hebu kamuulize prof masalakulangwa pale hubert kairuki anaishije maana yeye aliokotwa akakulia mission - hakuna cha baba, mama wala shangazi. Sijawahi kumhoji lakini huwa nahisi anashukuru kwa yote maana asingetupwa uprofesa wake na baraka zingine alizopewa angezisikia redioni tu. Na sisi wengine tungeikosa huduma yake. Nimesikikitka hata ulivyosema unahangaika upate hela labda babako atakukubali. We kaka wewe! hebu acha kujinyanyapaa bwana. Wasamehe hao wazazi wako, tafuta hela ikusaidie wewe na familia yako. Huna upungufu wowote. Watu tumekulia mazingira kama hayo hayo na tumetoka huko tukiwa washindi. Huku nje ya jf tuna-inspire watu wanaona kuna tumaini kwenye maisha. Haijalishi umetokea wapi. Cha msingi uko hapo ulipo, amua kuishi kwa furaha au kwenye kifungo cha vitimbi vya wazazi. Usijidanganye kuwa ungejikuta ndoani hali ingekuwa tofauti. Kuna wenzio wana baba na mama tena wenye uwezo lakini wameharibikiwa kabisa. Sasa kama mamako aligoma kukwambia kuhusu babako na ulivyomjua babako ukaambulia kutimuliwa, hawa watu wangeoana ungekuwa mtoto wa aina gani? Kawaulize watoto/watu wazima walioishi kwenye paa lenye ndoa aina ya kosovo! Usipoteze muda kwenye kuota maisha uliyotaka yawe. Maisha yashakuleta mpaka hapo chukua hatua kuyaboresha.
Halafu ushauri kuwa wamama/wababa wasizae mtoto zaidi ya mmoja na watu tofauti ni mzuri lakini uzoefu wa aina yako haufanani dunia nzima. Kuna mama namjua ana watoto watatu kila mmoja na babake lakini wanae wanapendana sana na wa kwanza ameshaanza maisha yake ya ndoa, wengine bado wanasoma. Kwa hiyo uzoefu wako si wa wengine.
Halafu naamini kina mama huwa na sababu nzuri tu za kutowaambia watoto kuhusu baba zao mpaka wakati wanapoona mtoto amefikia uwezo wa kuujua ukweli hasa kama ni mzito. Sasa imaggine mamako angekwambia ukiwa mdogo kuwa baba yako alikukataa, si ungeathirika sana? Hapo umemfata babako ukiwa mtu mzima umeishia kulia na kuazimia kutafuta hela ili akukubali. Maadam babako ameshajua kuwa hata we umefata, we muache, endelea na mambo yako. Kwani waliofiwa na baba zao wakiwa tumboni wanaishije? Kwa nini wewe unalikuza sana hili jambo?
Kuna wamama wengine ukiwauliza kuhusu baba unawaumiza tu. Huu mfano ninautoa hapa ni wa kweli, ni wa mtu wa karibu kwangu. Huyu alipewa mimba na baba yake mzazi akiwa na miaka 14. Enzi za zamani na sasa kwa wachache mama akavumilia, mtoto akazaliwa mama akamchukua akamlea kama mtoto wake wa mwisho. Yule mtoto aliyenajisiwa na baba akaondolewa pale nyumbani akaenda kuishi mkoani na ndugu. Yule mtoto aliyezaliwa akawa anamwita mama yake dada, na bibi yake sijui mama mkubwa akawa anamwita mama. Baba tu ndo alipatia. Miaka ikaenda, kwa kuwa lile jambo kimila lilikuwa ni laana, tambiko lilifanyika kwa hiyo kuna wajumbe wa tambiko walishindwa kutunza siri. Kwa hiyo binti akiwa kwenye miaka ya 20 akapata nyuuz kuwa yule mamake si mamake, ila hawakumwambia mama yake ni nani. Mtoto akaenda kuanzisha timbwili nyumbani. Mama wa watu kaishia kupoteza tu fahamu na kulazwa. Ikabidi siri iwekwe hadharani ila wakamsihi binti akienda kwa mama yake mzazi aendelee tu kumwita dada maana ile siri hata mume wa dada yake haijui (wakati huo yule dada-mama alikuwa ameshakaa kwenye zaidi ya miaka 10 na watoto watatu.
Hili jambo lilikuwa zito sana kwa binti. Akaanza kujichukia, akawa kahaba na haikupita miaka mitano akawa ameshaambukizwa VVU akafa. Wakati wa msiba wake ndo shemeji yake ambaye ni babake wa kambo wa kambo anajua ukweli kuwa mkewe alizaa na babake. Ile ndoa mpaka leo ipo inakaribia miaka 30. Nia yangu ni kuonyesha tu kuwa mioyo ya watu ina mengi.
Una-enjoy eeh? Basi kama vipi hao watoto wangu uwalee vizuri, ila nikija tena najua utanipa halafu utakuja humu kulialia au ukishajaa kwa mara nyingine au sio?

inakuondolea kuwa objective.
sympathy ya nini? Empathy ya nini? Sijamlazimisha mtu kuwa na self pity, sio tatizo langu.
yaani roho inaniuma sana.mimi umri mdogonilio nao nalea watoto wawili wa marehemu dada yangu(mungu ampunzishe kwa amani) baada ya kuzalishwa na wanaume tofauti.isitoshe baba zao wapo mitaani wanazurura tu yaani roho inaniuma sana.hao watoto niwajue kwa lote kuhusu malazi,maradhi,chakula,matibabu na shule. yaani mi nafikiria nitajipanga lini.kwani nafikiria nikio huyo mwanamke ataweza kukaa na hawa watoto na wanawake wenyewe wa siku hizi.lakini ok mungu atanilipia tu.
kaka hukunielewa vizuri,nimesema ktk kufatilia nilijikuta nina baba wawili,moja niliye ambiwa na ndugu zangu na mwangine niliye ambiwa na mama yangu wote niliwasiliana nao kwa simu na sio ana kwa ana na wote walikubali.hapo ndipo nilipo pata tatizo tena pia sijaomba msaada kutoka kwa yoyote hata siku moja nilichosema ni kuwa siku nikiwa na pesa nisafiri nikawacheki labda nitagundua ni yupi kati yao.
mkaka fula hv rafki yangu alikua baba ake
yule mama akaanza kuumwa akamwita mwanawe akamwambia niahidi hutamtafuta baba ako ht nikifa
yule mama amekufa mkaka hana jinsi yupo tu
Nimependa sana ulivyofafanua chukua like!aisee kuna haja ya mimi kurudi chuo. Kumbe mtu anakuwa objective anapotoa mtazamo wa tofauti na wenzie, na mwingine anakuwa subjective mtazamo wake unapofanana na wa yule anayezungumziwa! objectivity=non-conformity. Ingekuwa hoja hapa ni jua linachomoza magharibi na kuchwea mashariki labda ningewaelewa wanaojiita objective, lakini kuongelea hali ambayo haifanani hata kwa watu wenye nayo ukweli ni kuwa unakuwa objective kwenye subjectivity yako tu na si vinginevyo. na ndo unakuta mtu anadai single mom anajinyanyapaa na anamfananisha na gay anayepaza sauti yake apewe uhuru wake na straights wanaojiona wana haki zaidi. Anadai gay anajinyanyapaa wakati akijikubali anatungiwa sheria ili anyongwe au afungwe. Objectivity in deed!!
Wewe si umeniomba nije kumchukua mwanangu?!! Sasa unauliza nini tena?nimewahi kukupanulia?
Cool. I do respect yours too, I understand there is a lot you are not disclosing but I still feel there is something you are doing wrong. Besides I have nothing to gain or lose for whatever decision you take. Just think about it.We are not in a battle field nor are we arguing. I respect your line of thinking & believe that you are entitled to your opinions.
Exactly!!! Nilijua usingeelewa. Anyway its alright.ha ha ha lol we mshari kweli tangia jana unapayuka tu! NB:nawakilisha nilichoandika!Accept other peoples choices and stop judging them period!TAKE IT OR LEAVE IT!
Unahitaji darasa zito la saikolojia ya watoto. Huyo mtoto unamuharibu wala humsaidii kama unavyodhani.Sijamzi maneno mabaya ila namweleza ukweli wa kilichotokea. Na wala sijali hata akimuuliza baba ake kwan ndicho alichokifanya. Simsingizii ila namweleza ukweli binti yake wa kile baba yake alikifanya.
Kuna wengine ni kweli inabidi wahurumiwe sana ila kuna baadhi unakuta chupi wanavua wenyewe, na wanajua kabisa wanaweza kupata mimba, huyo mwanaume mwenyewe hawajaongea lolote kuhusu uwezekano wa mimba na nini kinafuata, wanapigwa mimba wanatoswa halafu wanalialia wahurumiwe. Mbaya zaidi hawataki kukubali kuwa hata wao wana makosa. Mimi nimewauliza kwenye moja ya comment zangu, unamwamini mwanaume umezaliwa naye?!! Kingine kumbukeni hata kama wanaume pia wana makosa lakini anayebeba mimba ni mwanamke. Sasa endeleeni kuhurumiana na hizi "I am proud" kinda of statements.Inashangaza kwa kweli, nitaelewa kwa mtu aliyebakwa na kupata ujauzito lakini umeiachia kwa hiari?
Sielewi kabisa hizi 'solidarity foreva' zinakujaje. Na tangu enzi na enzi wapo tu watu wanaolelewa na mzazi mmoja.