Single mums and dads come this way

Nina swali pia ndugu zangu je ukishaoa alafu mdada akakuzingua na Tayari mmejaliwa Mtoto na ukaamua kumtema lkn mtt wako unampenda na unauwezo wa kumsomesha hadi amalize masomo utafanyaje? Pls naomba ushauri
 
Baada ya kiwanda kufa Baba wa hiyari hakuwa na elimu ya kumwezesha kupambana na maisha ya mjini ilibidi arejee kijijini naambiwa kachakaa haswa nadhani unajua maisha ya kijijini mzunguko wa fedha ni mdogo sana.

mkuu ngongo huyo dogo alishawai kukutana tena na huyo kiazi aliyemkana

hahaha nauhakika mzee sasa hivi kiroho kinamuuma
 

mkuu siku nyingine usiseme kilaza sema Mheshimiwa kilaza

nafurai kusikia nafata nyayo za mr.bean
 
Last edited by a moderator:
Nina swali pia ndugu zangu je ukishaoa alafu mdada akakuzingua na Tayari mmejaliwa Mtoto na ukaamua kumtema lkn mtt wako unampenda na unauwezo wa kumsomesha hadi amalize masomo utafanyaje? Pls naomba ushauri

hahahahah
hii thread kiboko naona waliotelekeza wanataka ushauri

ngoja wanakuja
 
Inategemea umri wa mtoto..
Mnaweza mkaona ndoa ife, lakini mkawa ni wastaharabu enough kutowaingiza watoto kwenye differences zenu...
Otherwise kuna swala la kisheria pia ambapo kwa TZ mtoto kama ni mkubwa na baba ana sifa za kumlea anaweza kudai kuishi nae kisheria...

Hapo wamama ndio wanapokuwa victims...maana mtoto kiafrika ni wa baba...akifika 7 yrs ukakomaa unapewa uishi nae...

Hii inaweza ikawa inachangia baadhi ya wadada wenye uwezo kuficha mimba ni ya nani; kuhofia kunyang'anywa watoto wao...maana inauma...

Nina swali pia ndugu zangu je ukishaoa alafu mdada akakuzingua na Tayari mmejaliwa Mtoto na ukaamua kumtema lkn mtt wako unampenda na unauwezo wa kumsomesha hadi amalize masomo utafanyaje? Pls naomba ushauri
 
Nikidhani single parenting ilikuwa sana nchi za magharibi, lakini saivi nachelea kusema hata africa rate ya single parents inaongezeka sana.
 
Nina swali pia ndugu zangu je ukishaoa alafu mdada akakuzingua na Tayari mmejaliwa Mtoto na ukaamua kumtema lkn mtt wako unampenda na unauwezo wa kumsomesha hadi amalize masomo utafanyaje? Pls naomba ushauri
Nenda jukwaa la sheria pliz utapata msaada huko!
 
Kongosho haya Bwana,kulea kazi jamani halafu wanangu wako 6,3 na 2yrs,nipe pole mwenzako.Ila maombi ni silaha


Pole dia kwa kufiwa......mwenyezi Mungu akufanyie wepesi katika safari ya malezi. Ni shughuli nzito lakini kwa msaada wa Mungu hakuna linaloshindikana. Ila usifunge moyo dia......akitokea mtu amekupenda basi reciprocate maana hatma yetu na watoto wetu iko mikononi mwa Mungu.
 
So unadhani dhiki ni justification ya kutosha kufanya vile?

ndio,hawana elimu ya kutosha ya kujikinga/matumizi ya kinga,kuongelea ngono ni taboo,serekali haisaidii wala kuhudumia wathirika wa janga hilo na vilevile hata mtu akizaa hawezi kijikimu anakuwa helpless!
Dhiki inapelekea mtu mpaka kuchanganyikiwa,kwa mtazamo wangu wanaotupa watoto hawako sawa upstairs!
 
Sijaona sababu ya wewe kukasirika...
Kulea mtoto hakukupi haki ya kuwa baba yake..

Baba atabaki kuwa baba...mjomba atabaki kuwa mjomba...

Sababu ipo tena kubwa sana

miaka yote hiyo amelea mtt mpaka amekuwq mtu mzima kwa nini asipewe heshima yake kama mjomba??au hata mlezi!!!!

Ugumu uko wapi kumshirikisha ktk huo utambulisho labda alishakataa kuwa hatakubali kijana atambulishwe upande wa me.
 
Mtoto asiye wako si wako ndugu yangu...ni ukweli mgumu kumeza

Mfano ulee mtoto wa mumeo afu siku anaoa au kuolewa ulalamike mama yake kupokea mahari???

Mama wa kambo ni mama wa kambo; mjomba ni mjomba...mama/baba ni mama/baba...
kila mtu aheshimiwe kwa position yake na tusijidanganye kuchukua position za wenzetu...tutaumia bure kama hivi...

Kuna wajomba wangapi wanalea wapwa zao na hawaombi kuwa replace baba zao?

 
It is good except that you are raising another bad boy. You may not see it now but it is what it is.
 
nyumba kubwa kila mtu aheshimiwe kwa position yake na tusijidanganye kuchukua position za wenzetu...tutaumia bure kama hivi... Mbona yeye hakupata heshima yake kama MJOMBA AU MLEZI japo taarifa tu apewe!!!! Kuna wajomba wangapi wanalea wapwa zao na hawaombi kuwa replace baba zao?[/QUOTE said:
Wapo wengi sana ila sidhani kama hata yeye ameiomba nafasi ya kuwa baba ila kama mtu ambaye alikuwa na jukumu la kulea ni vizuri angepewa taarifa!!
 
Lazima atakuwa ameangalia faida na hasara za maamuzi yake...
Ila nasikia bora watoto wa kike...watoto wa kiume wana demand kujua baba zao hata kama baba alikuwa na makosa kiasi gani...
Whatever reasons she has do not justify her decision to deny her child's basic birth right!!!! You do not justify that!! Na huyo mtoto akikua hataelewa, we mwache ajipe moyo hapa.
 
Understanding your decision and respecting it does not mean it is right or acceptable. It just means they have decided to mind their own business.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…