Single mums and dads come this way


pole sana dada
 

Mie niko neutral katika hili. I don't support but neither do I condemn. Nina swali moja tu. Vipi kuhusu haki ya msingi ya mtoto, kumjua baba yake...kwa nini ananyimwa haki hiyo?
 
Last edited by a moderator:
Bold: Attitude, victim wa globalization. Kila kitu kinaanza na wewe ulivyoaminishwa.

Kwingine, kila maisha yana changamoto, hata walio ndoani wapo wanaobeba twice the load mmoja anakuwa kama sampo tu.

 

Umekwenda mbali ndugu yangu, ni shahawa za huyo taahira ndio zimekuzaa wewe.
 
Hivi wewe leo aje kijana ana miaka 15, out of blue anakwambia wewe ni baba yake, ni kwamba ulipokonywa taarifa ya kuwa umetia mimba mahali utajisiakiaje? Nini kita compasate muda mliopotezewa wa kufahamiana.

Tuwaache watu waandike historia zao, sio sie tuwaandikie.

Mie niko neutral katika hili. I don't support but neither do I condemn. Nina swali moja tu. Vipi kuhusu haki ya msingi ya mtoto, kumjua baba yake...kwa nini ananyimwa haki hiyo?
 
Bold: Attitude, victim wa globalization. Kila kitu kinaanza na wewe ulivyoaminishwa.

Kwingine, kila maisha yana changamoto, hata walio ndoani wapo wanaobeba twice the load mmoja anakuwa kama sampo tu.
🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂...mi nasema facts tu sio habari za kuaminishwa!
 
Aisee namtetea kilaza hapa,wala hajasema mamaake amemjaza chuki dhidi ya babaake na mama yake wala haongei vibaya,na keshasema alimpa baba nafasi nyingine lakini hakuitumia kufuta makosa yake,

wengine hapa ukute washakataa sana watoto so maneno km ya kilaza yanawachoma
 
Mie niko neutral katika hili. I don't support but neither do I condemn. Nina swali moja tu. Vipi kuhusu haki ya msingi ya mtoto, kumjua baba yake...kwa nini ananyimwa haki hiyo?
Kama mzazi with sincerity anataka kumjua mtoto wake kuna kanuni za kisheria zinazomsupport kwanini asizitumie hizo?kama anajua huyu mwanamke alikuwa na ujauzito wake na mtoto ni wake kwann asidai haki yake?Mama ndo anajua the whole dirty truth behind the whole story kwahio yeye pekee ndo anajua kwann anamzuia mtoto asizoeane na babaake!
 
embu niambie alimaanisha nini nadhani kunakitu sijamuelewa vizuri kwaiyo kabla sijaanza kumkimbiza naomba ufafanuzi kwanza

Achana nae bwana Kilaza,nisikikilize mimi,funika kombe...,..
 
Najua una haki ya kuficha lakini kila nikichekecha nakutana na mambo mawili makubwa ambayo yaneweza kuwa sababu.Ngoja nikae kimya usije ukanishika uchawi.

 
Sasa nimekuelewa, kuna mahali uliwahi komenti nikabaki :wacko:!!! Sikupi pole kwa kulea wala, maana sioni umepungukiwa, labda kwa kuondokewa na mwenza.

 

Dah! its real pain,hv unajua km umenitoa machozi devota vijance hasa Hapo mtoto anapo act anaongea na baba yake na kumuagiza zawadi.Ukiona hivyo ujue alishawaona watoto wenzie wanawaagiza baba Zao zawadi na ndo maana akawaiga.

Nimeumia sana wanaume muwe na huruma nyie huwa mnahisi mnamkomoa mama lakini kiukweli watoto ndo wanaumia zaidi.
 
Last edited by a moderator:

mi pia nimekuelewa sana
hao ndo baadhi ya me wako very selfish
nilikua na rafki yangu alikataliwa na baba ake
mama akamuonyesha mzazi wake ila baba anamkataa
siku moja tuko form three alikua anaenda shule yule binti wakakutana na baba ake ktuoni mzee kasalimiwa haitiki akamuuliza hivi "kwa nini unanikataa"?
akamjibu"sio mwanangu na mtafute baba ako"
alilia yule mdada na hakuja shule alirudi pale pale akaja kesho yake akatuambia yaliyomkuta
na mwenyewe anasema wanafanana kweli na yule mzee ila kamkataa
je jitu km hilo likiitwa mbwa ,pimbi,shenzi kuna ubaya?
 
Pole sana mumie,Mungu akupe nguvu za kulea wanao wawe watu wenye hekima na busara!Watu wengine hawaelewi kabisa ni uzito mkubwa kiasi gani alokuwa nao single parent.Wanachukulia rahisirahisi sana na inakera!
 

majina mengine umeyaacha mbona,wanaume wengine ni mafisi bora mbwa wanalinda nyumba.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…