Ukimsoma usiambini hapaKupungukiwa maarifa kivp mkuu?
Na wingi wa sababu kama hizo....Kujifanya mwanaharakati wa haki za wanawake,Kujiona una elimu kubwa,Kupenda starehe,kuchagua sana,Kudanganywa na wavulana wasio na msimamo,Kua na kibri,Kupenda wavulana usio match yako,etc hayo yote mwisho wa siku ni mimba isoyobaba
umeua!Kujifanya mwanaharakati wa haki za wanawake,Kujiona una elimu kubwa,Kupenda starehe,kuchagua sana,Kudanganywa na wavulana wasio na msimamo,Kua na kibri,Kupenda wavulana usio match yako,etc hayo yote mwisho wa siku ni mimba isoyobaba
basi tuyaache yapiteMie nililala nawaza huyu mtu huu ubusy nani anambizisha!!! Basi ikabidi niwe tu mpole.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]basi tuyaache yapite
next time sitasikiliza utetezi wako
Solution kubwa watumie condom ili mimba isitokee kabisaHilo la mauti really liko juu ya uwezo wetu .... but hizo other causes ambazo ziko ndani ya uwezo wetu washaur nn kifanyike mamii?
Good advice ... afu joanah katuma msg kwa akina dada wanaochomekea mimba ili waoleweSolution kubwa watumie condom ili mimba isitokee kabisa
Nyingine ni vizuri kupata mtoto ukiwa tayari ndani ya ndoa
Nyingine tena wanawake waache kujirahisisha kwa wanaume wasiojisoma,waume za watu
Kosa sio wanawake wewe muowaji ndio unayetakiwa umtengeneze mke unayemtaka ili kupunguza hao single mother kwani ikiwa mmeoana tabia haziendani ni ngumu sana kuwepo uvumilivu.Wanawake wa sasa si waolewaji kabisa, wana majanga makubwa yasiyoweza kuvumilia hata kidogo. Na ni ngumu kwao kuvumilia kwenye ndoa.
Umeshauri matumiz ya condoms kama suluhisho pia kuepuka mimba zisotarajiwa ambazo wakati mwingine huwa chanzo cha hawa single mothers ......Solution kubwa watumie condom ili mimba isitokee kabisa
Nyingine ni vizuri kupata mtoto ukiwa tayari ndani ya ndoa
Nyingine tena wanawake waache kujirahisisha kwa wanaume wasiojisoma,waume za watu
Nimekupenda buretatizo ni sisi wanaume
Chanzo kikuu cha single mothers niWasalaam wana jukwaa,
Posts na majadiliano mbalimbali juu ya hawa ndugu zetu waitwao "single mothers" katika mitandao ya kijamii "social networks" zimeonekana kuwa nyingi nowadays ....
Kando na "discussions" hizo huko mitandaoni hata huku katika maisha halisi "single mothers" pia waonekana kuongezeka afu wengi wao waonesha kuinjoi kweli life yao ...
Swali: Ni nini kisababishi (source) kubwa ya uwepo wa familia hizi?
Good adviceKosa laweza kuwa la mwanaume au la nwanamke, sio single mother's wote ni watu wabaya hapana nakataa! Kikubwa wanaume kumbukeni kutunza Damu zenu maana mtoto anaweza kupata kila kitu toka kwa mama yake akikosa upendo wa baba japo Mara moja moja huathirika kisaikolojia
Uchochezi sasa huu mkuuSingle mothers mwaisikia hii?
Majibu yote umetoa mkuu...suluhisho kubwa katika malezi ya mtoto wanawasukumia ma BEKI TATU.....Ili hali wao wakiendelea kula BATA.......!! Shame on them...Kujifanya mwanaharakati wa haki za wanawake,Kujiona una elimu kubwa,Kupenda starehe,kuchagua sana,Kudanganywa na wavulana wasio na msimamo,Kua na kibri,Kupenda wavulana usio match yako,etc hayo yote mwisho wa siku ni mimba isoyobaba