Naomba ufafanuzi kidogo wa siku hizo korofi. Kwani huwa mnajisikiaje na mtu atamtambua vip mwanamke akiwa siku korofi?Na nyie muache kufake, kama unataka ngono tu sema nataka ngono tu!! Sio uongo mwingi alafu mkishatumimba mnatukimbia. Hivi mnajua jinsi hizo tarehe hatari zilivyo korofi?? Muwe mnatuhurumia jamani.
Swala sio nani kafanya kosa na nani ajafanya swala nkwamba kosa ilatamuathiri nani kwa sana bas huyo ndo awe mjanja kujikinga na jibu ni rhs tu mwanamkeHapa wote watakuwa na makosa ..... a) mtegeshaji kwa kufanya vile pasi na kujua matokeo ya hicho akifanyacho kama yatakuwa "positive" ama "negative"
..... b) mtegwaji kwa kuwa "selfish" mana hata kama hujui kama wategwa why usiweke tahadhali kama bado hujawa tayari kuitwa "baba?"
Naomba ufafanuzi kidogo wa siku hizo korofi. Kwani huwa mnajisikiaje na mtu atamtambua vip mwanamke akiwa siku korofi?
Utamuona anajisogeza karibu.Hahaaaaa!! We jua tu ni korofi, ukitaka maelezo zaidi muulize wifi atakuambia.
Mmmh!!Utamuona anajisogeza karibu.
Inasemekana wanyama hufanya sex kama njia ya kuzaana ila ni binadamu tu ambaye kaifanya sex kuwa starehe. Inasemekana wanawake pia hawajisikii kufanya sex siku zote, ni baadhi tu huwa wanajisikia na kuwafanya wawe restless. Kwa maana wanawake nao huingia kwenye heat kama tunavyoona ngombe vile japo wao hawakeshi wakilia kama ngombe. Hii ina maana wanawake wengi huwa ni kama tunawabaka siku nyingine. Wengi wao wanaweza kuwa available na kujisikia kufanya sex si zaidi ya week 2 kwa mwezi. Mwanaume ni tofauti maana yeye anaweza kufanya muda wote provided haumwi. Hii inaeleza kwanini wanaume wanaoa zaidi ya mke mmoja na wanaongoza kwa kuchepuka.
Naunga mkono asilimia mia hawa wenye tukazi mjin vibur na kujifanya wao wanaweza kuendesha maisha bila mwanaume kumbe hawajui familia bila baba is like house without pillar mwisho wa siku itaanguka tuHawa wenye kazi ndio usisem vburi San Ata ukimzalsha utackia wew nenda nitamuhudumia mwanangu
Mbona unaguna?Mmmh!!
Taking precautions before and during sex is not only for girls but men have to pray their part as well ....Swala sio nani kafanya kosa na nani ajafanya swala nkwamba kosa ilatamuathiri nani kwa sana bas huyo ndo awe mjanja kujikinga na jibu ni rhs tu mwanamke
Kupata mpenzi anayefaa ni kazi natumaini hilo unakubali,sasa kwakuwa ww ni mwanamke na mimba unashika wewe inabidi ujue mwanaume hashiki mimba.Unapokubali kwenda kufanya nae mapenzi weka hilo akilini ukiendaTaking precautions before and during sex is not only for girls but men have to pray their part as well ....
How can a man calling himself responsible becomes so CARELESS and IRRESPONSIBLE enjoying himself while driving her loved one into MISERIES ....
Is that you call LOVE .... God forbid
Kabla hujachangia mada hebu jiridhishe kwanza, je huyo unaemjibu ni wa JINSIA gani ..... tafadhali nitake radhi kwa kunifanya mie MWANAMKE ....Kupata mpenzi anayefaa ni kazi natumaini hilo unakubali,sasa kwakuwa ww ni mwanamke na mimba unashika wewe inabidi ujue mwanaume hashiki mimba.Unapokubali kwenda kufanya nae mapenzi weka hilo akilini ukienda
mambo ya kusema wote wanapaswa kuwajibika utajuta...mbaya zaidi unaonekana una akili za darasani wewe nyie ndo mnaojutaga kbs sababu mnaingia kwenye mapenzi mkiwa hamjui A wala Z mimi nakupa formula itakusaidia MWANAUME HASHIKI MIMBA...ukifanya nae mapenzi kihasara hasara ipo siku utaleta mrejesho humu...jilinde wewe kwanza achana na fikra za kujielewa sana hizo kajibie mtihani
Umetukanwa wapi sasa mwanaume unawatia dada zako ujinga sisi tumezoea kuona wanawake wanapotezana sasa ww mwanaume hlf unafikiria km mwanamke duuuu...any way una akili nyingi hlf bila shaka mapenzi yanakusumbua sn nina uzoefu na watu wenye uelewa km wako mapenzi kwako ni kulia lia tuKabla hujachangia mada hebu jiridhishe kwanza, je huyo unaemjibu ni wa JINSIA gani ..... tafadhali nitake radhi kwa kunifanya mie MWANAMKE ....
Pili ni busara ukaisoma ORIGINAL POST ili ikuongoze ktk response yako na kutambua pia JINSIA ya huyo mtoa mada ....
Lastly, I'm no longer a kid ... I'm already grown up and matured enough to differentiate between good and bad ..... Kama mtu mzima ninaamini katika hilo nililoliandika ... So you've to SHARPEN your MIND before any of your CRITICISM .... and allow yourself to think twice before addressing a person especially the UNKNOWN .....
Nilipoianzisha hii thread .... nilikuwa na kusudio la members kujadiri and finally come up with the SOLUTIONS on how to tackle the problem ....
Ninajiheshimu sana ....na si mtu wa matusi kama ulivyo .... HESHIMA KITU CHA BURE .... Respect yourself and you'll be respected too ....
Tafadhali ndugu nilisema najiheshimu .... mie ni mtu mzima suala la kudhalauliwa na hizo kejeli sizipendi kabisa na nataraji kuwa hutaziendeleza .... Changia mada kama waweza lakini please sipendi matusi ....Umetukanwa wapi sasa mwanaume unawatia dada zako ujinga sisi tumezoea kuona wanawake wanapotezana sasa ww mwanaume hlf unafikiria km mwanamke duuuu...any way una akili nyingi hlf bila shaka mapenzi yanakusumbua sn nina uzoefu na watu wenye uelewa km wako mapenzi kwako ni kulia lia tu