Single mother ananing'ang'ania

Single mother ananing'ang'ania

Kimbia!!!
1 Wakorintho 6:18 BHN
Jiepusheni kabisa na uzinzi. Dhambi nyingine zote hutendwa nje ya mwili lakini mzinzi hutenda dhambi dhidi ya mwili wake mwenyewe.
 
Si imejileta , ichakate, garagaza kabisa pita hivi ! Focus na familia yako !

note
Mwanamke ukimla, then ukitaka kurudia game ni makosa sana, hapo ndo atataka mazoea na mahusiano ya kudumu
 
Ebu kwa uzoefu wenu nipeni ushauri hapa ili niamue kusuka au kunyoa ninyi mnajua mengi na mnaona mbali pia maisha kusaidiana.
Muweke wazi kuwa utamchakata mara moja au mbili tu afu kila mmoja ataendelea kivyake. Akiridhia chakata mtoane hamu
 
Achana na single mother hao sio wanawake they will ruin ur life and aura fuc-ky and stay away
 
Habari wana jamii,
Mimi ni mume wa mke mmoja na kutokana mambo ya kazi Sikai na familia yangu mkoa mmoja hapo ni mikoa ya jirani kidogo kama mwendo wa masaa manne kwenda.

Maisha haya nimeyaanza muda kidogo tangu 2022 lakini nimekuwa nikijaribu kujicontrol kuepuka vishawishi vya kuingia kwenye mahusiano na wanawake wengine. Ila mwaka jana wakati nafanya shopping ya familia kwa ajili ya Christmas nilikutana na binti mmoja miaka kama 28 ana mtoto mmoja wa kiume wa miaka tisa.

Aliniuzia nguo akiwa ananichagulia kwa kuangalia picha za wahusika na kunishauri nguo za kuchukua.

Sasa tukajikuta tumebadilishana namba za simu na mawasiliano yakaanza na sasa naona anataka mahusiano ya kimapenzi na anasumbua kwelikweli. Anadai alipewa mimba 2016 na mwalimu wake na akamkataa.

Wakuu mimi kama mwanaume mnavyojua kuna kaudhaifu ketu ila sasa nafsi mbili zinapata vita kali sana kwangu moja unataka nyingine inapinga na sababu kubwa ni kwamba simfahamu vizuri na katika maelezo yake kuna mengine yananitia shaka lakini bado hatujaanza mahusiano ya kimapenzi bado tuliwahi kuongea kuhusu kwenda kupima ndipo tuanze lakini kila kukicha napata mgogoro wa nafsi inayopinga kesho yake napata mgogoro wa nafsi inayotaka kuingia kwenye haya mahusiano.

Ebu kwa uzoefu wenu nipeni ushauri hapa ili niamue kusuka au kunyoa ninyi mnajua mengi na mnaona mbali pia maisha kusaidiana.
mwisho wa mambo yote ambayo nafsi zinavuta huwa sio mzuri jiepushe na hili mapema amini nakuambia utajuta ilisha nitokea nikiwa msumbiji familia ilikuwa mbeya oya
 
Kijana kichwa cha mbőĺò yako kimeshika husukani wa kichwa chako cha juu.

Unataka huaribu familia yako kwa mikono yako mwenyewe.

Keep goin bro
 
Habari wana jamii,
Mimi ni mume wa mke mmoja na kutokana mambo ya kazi Sikai na familia yangu mkoa mmoja hapo ni mikoa ya jirani kidogo kama mwendo wa masaa manne kwenda.

Maisha haya nimeyaanza muda kidogo tangu 2022 lakini nimekuwa nikijaribu kujicontrol kuepuka vishawishi vya kuingia kwenye mahusiano na wanawake wengine. Ila mwaka jana wakati nafanya shopping ya familia kwa ajili ya Christmas nilikutana na binti mmoja miaka kama 28 ana mtoto mmoja wa kiume wa miaka tisa.

Aliniuzia nguo akiwa ananichagulia kwa kuangalia picha za wahusika na kunishauri nguo za kuchukua.

Sasa tukajikuta tumebadilishana namba za simu na mawasiliano yakaanza na sasa naona anataka mahusiano ya kimapenzi na anasumbua kwelikweli. Anadai alipewa mimba 2016 na mwalimu wake na akamkataa.

Wakuu mimi kama mwanaume mnavyojua kuna kaudhaifu ketu ila sasa nafsi mbili zinapata vita kali sana kwangu moja unataka nyingine inapinga na sababu kubwa ni kwamba simfahamu vizuri na katika maelezo yake kuna mengine yananitia shaka lakini bado hatujaanza mahusiano ya kimapenzi bado tuliwahi kuongea kuhusu kwenda kupima ndipo tuanze lakini kila kukicha napata mgogoro wa nafsi inayopinga kesho yake napata mgogoro wa nafsi inayotaka kuingia kwenye haya mahusiano.

Ebu kwa uzoefu wenu nipeni ushauri hapa ili niamue kusuka au kunyoa ninyi mnajua mengi na mnaona mbali pia maisha kusaidiana.
Tafuta binti ambaye hajazaa huyu Single mother atakuvulugia familia yako ni tofauti na binti mwenye chini ya miaka 26, Vijana wa sikuhizi tunashindwa akili na Wazee wetu, Wazee wetu walikua wanaoa binti wadogo na hata kama anaongeza mke wapili au watano wote wanakua mabinti.
 
Habari wana jamii,
Mimi ni mume wa mke mmoja na kutokana mambo ya kazi Sikai na familia yangu mkoa mmoja hapo ni mikoa ya jirani kidogo kama mwendo wa masaa manne kwenda.

Maisha haya nimeyaanza muda kidogo tangu 2022 lakini nimekuwa nikijaribu kujicontrol kuepuka vishawishi vya kuingia kwenye mahusiano na wanawake wengine. Ila mwaka jana wakati nafanya shopping ya familia kwa ajili ya Christmas nilikutana na binti mmoja miaka kama 28 ana mtoto mmoja wa kiume wa miaka tisa.

Aliniuzia nguo akiwa ananichagulia kwa kuangalia picha za wahusika na kunishauri nguo za kuchukua.

Sasa tukajikuta tumebadilishana namba za simu na mawasiliano yakaanza na sasa naona anataka mahusiano ya kimapenzi na anasumbua kwelikweli. Anadai alipewa mimba 2016 na mwalimu wake na akamkataa.

Wakuu mimi kama mwanaume mnavyojua kuna kaudhaifu ketu ila sasa nafsi mbili zinapata vita kali sana kwangu moja unataka nyingine inapinga na sababu kubwa ni kwamba simfahamu vizuri na katika maelezo yake kuna mengine yananitia shaka lakini bado hatujaanza mahusiano ya kimapenzi bado tuliwahi kuongea kuhusu kwenda kupima ndipo tuanze lakini kila kukicha napata mgogoro wa nafsi inayopinga kesho yake napata mgogoro wa nafsi inayotaka kuingia kwenye haya mahusiano.

Ebu kwa uzoefu wenu nipeni ushauri hapa ili niamue kusuka au kunyoa ninyi mnajua mengi na mnaona mbali pia maisha kusaidiana.
Muowe pengine huna kizazi ni mgumba wewe huyo atakuwa mwanao na utajivunia.
 
Back
Top Bottom