Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,632
Heheh Mbona wanawake wengi sana ni single moms...sema tu wengi wao ni single moms kwa watoto marehemu (waliowaua). Wachache waliamua kusimama imara kubeba na kukabiliana na changamoto zote kwa ajili ya watoto wao na Ndio Hawa wanaopewa maneno ya kukashifiwa.
So mwanaume anaona fahari Kuishi na muuaji (asiyemjua) kuliko Kuishi na life saver anayemjua?
Mimba zinatolewa sana asikwambie mtu, mtu ametoa mimba Hadi 6 jamani sasa Huyu si ni screpa tayari?? omba kupatiwa mke mwema mengine yote yatakamilika.
Asante mrembo.......umesema ukweli ambao nimeona wanaume wengi wanaukwepa...narudia tena I DO RESPECT SINGLE MOMZ...