Ukweli ni huu napendwa na watu wazuri wenye kujielewa ila kipindi hicho ilikuwa sina uamuzi kwa sababu ya malengo yangu.Moja kati ya sababu ni hizi:
1. Umejirahisi sana, ukiwekewa kamtego unanasa, unachezewa, unaachwa.
2. Unachagua sana, ukiwakataa wapambanaji badala yake unangojea waliokwisha pambana kimaisha na kutoka.
3. Una mdomo (nyodo, kiburi) na tabia zingine zisizovumilika kwa wanaume (seems not ready to be submissive)
4. Hujichanganyi na watu wapya, uko na walewale wanaokujua inside out.
5. Njaa njaa zisizo na msingi. Mkibadilishana namba tu ushaomba vocha na mama ashaugua tayari.
6. Kukosa sifa za kuwa mke. Unasomeka kiviwanjaviwanja tu na kimatanuzi. Huoneshi kama una vision.
7.....
8.........
9.............View attachment 1194537
Upo kama Leo nimekuona pale metro..Ukweli ni huu napendwa na watu wazuri wenye kujielewa ila kipindi hicho ilikuwa sina uamuzi kwa sababu ya malengo yangu.
Hao walioolewa ndoa zao ni ndoano.
Hii sitaijibu. Imekaa kimuhemko zaidi.
Wewe ndo una hoja eeh..
Usaolewa then unamislead single ladies right?
Haangalii hali ya kiuchumi ila atakaesaidia kuongeza utajiri mhhh.???si kitu kimoja hiki?.hawajui mume ambae ako na hela anafuatwa na wengi sana, pili mume wenye hela ako na options tele, na lingine mume weye hela kitu anatazama ni hiki, je huyu binti atakuja maishani wangu kuleta faida gani, yaani men of means wanaume tulio na mihera hatuangalii sana hali ya kiuchumi ya dada NO NO NO tunaangalia je huyu dada atakuwa wa mafanikio au faida gani kwangu, maana mume tajiri anataka ongeza utajiri wake, so anataka dada ambae atamusaidia kuongeza utajiri wake,
Its ATTITUDEMy dear sister ukiona mume kile anakusifia ni sura tu, makalio na vitu kaa hizo, pls kimbia as far as your legs can carry you, maana kesho ataona wingine mrembo kukuliko, lakini kaa nimekuoa sababu ya your way of thinking, perception abaut life and such things, hata nione mrembo wa aina gani i will still stick by you, sababu nilikuoa sababu ya kile kiko ndani wako, "ALTITUDE" na sio urembo au nini, kweli wanaume aina yetu tuko wachache, lakini ukitafuta kwa bidii hukosi mmja wetu,na pia lazima na wewe uwe na akili poa, barikiwa sana
help me pls to get it rightHaangalii hali ya kiuchumi ila atakaesaidia kuongeza utajiri mhhh.???si kitu kimoja hiki?.
We acha tu mkuu.Mmmh nikisoma comments hapa naona kuna mabinti wataangamia kwa ujinga za mama zao....
Huu utafiti umeufanyia wapi!? Na hao wanawake wenye sifa zote nzuri but wananyanyaswa ni % ngapi ya wote walioolewa? Na wewe umo miongoni mwa hao wazuri wanaonyanyaswa!??
Sijageneralize nimesema wapo (maana yake baadhi) wanawake ambao wana sifa nzuri na wananyanyaswa na waume zao na siyo wote wewe kitu kama haujawahi kukiona wala kukisikia haimaanishi kwamba hakipoKuna mtu kasema una tatizo la FAOGE.. ie Fallacy of Generalization. Naona umeliprove hapa.
We acha tu mkuu.
Ninakubaliana na hii notion, kwamba ukitaka kujua tabia za mkeo mchunguze mamaye (mama mkwe).
Hata huu upuuzi wa kupanuliapanulia wanaume miguu hovyo na kuzalia nyumbani ni matokeo ya uzembe mkubwa wa mama zao katika makuzi.