Single ladies: Kwanini uko benchi mpaka leo?

Single ladies: Kwanini uko benchi mpaka leo?

Mwanaume anaweza kuoa hata kwenye 60s. Vice versa is 'not' true.
Kumbe tunaongelea uhalisia uliopo?? Sasa mbona wapo wanawake wengi tu wenye tabia mbovu na wanaolewa??

Halafu tusiongelee bongo tu tuvuke boda maana dunia haijashia bongo tu duniani hapa wapo wanawake wanaolewa wakiwa na miaka 40 hadi 60 unabisha
 
Hivi ndivyo ambavyo huwa mnapotezea maswali mliyoulizwa nimeshawazoea!!
You got me very wrong young girl, this is a talk abaut single ladies, bring one abaut single men and you will see how i will respond, nice weekend girl
 
hawajui mume ambae ako na hela anafuatwa na wengi sana, pili mume wenye hela ako na options tele, na lingine mume weye hela kitu anatazama ni hiki, je huyu binti atakuja maishani wangu kuleta faida gani, yaani men of means wanaume tulio na mihera hatuangalii sana hali ya kiuchumi ya dada NO NO NO tunaangalia je huyu dada atakuwa wa mafanikio au faida gani kwangu, maana mume tajiri anataka ongeza utajiri wake, so anataka dada ambae atamusaidia kuongeza utajiri wake,
Sasa hao wanaoanza na ninyi from zero to hero si ndiyo hao mkija pata hela mnawasaliti??
 
Tatizo hao wanaume wasiojielewa ndiyo wapo wengi kuliko wanaojielewa na wanaoangalia uzuri ni wengi kuliko wanaoangalia akili sasa sijui mnataka wanawake wote wakimbilie kwa hao wanaume wachache au sijui mnataka nini
for a cleaver and smart man, the real DEAL in a lady is the way of THINKING of that lady, sio sura au maumbile au nini, sababu kuu ni hii hapa, THE REAL PERSON IS THAT PERSON WAY OF THINKING PERIOD, akili ndio mtu, sio urembo au ile au kile, angalia wanaojiita warembo vile wanatumiwa ovyo, kina wema, zari, hamisa , na yule mkuu wa wilaya kule mkoa kagera, mimi afadali nione binti ambae hata hawezi shinda mashidano ya urembo hapo kijijini mwao lakini ako na akili ya maendeleo badala ya kuoa miss tanzania ambae akili hana hata robo kilo, so urembo sio kitu to a right minded thinking man, barikiwa dada
 
Tatizo hao wanaume wasiojielewa ndiyo wapo wengi kuliko wanaojielewa na wanaoangalia uzuri ni wengi kuliko wanaoangalia akili sasa sijui mnataka wanawake wote wakimbilie kwa hao wanaume wachache au sijui mnataka nini
My dear sister ukiona mume kile anakusifia ni sura tu, makalio na vitu kaa hizo, pls kimbia as far as your legs can carry you, maana kesho ataona wingine mrembo kukuliko, lakini kaa nimekuoa sababu ya your way of thinking, perception abaut life and such things, hata nione mrembo wa aina gani i will still stick by you, sababu nilikuoa sababu ya kile kiko ndani wako, "ALTITUDE" na sio urembo au nini, kweli wanaume aina yetu tuko wachache, lakini ukitafuta kwa bidii hukosi mmja wetu,na pia lazima na wewe uwe na akili poa, barikiwa sana
 
Eti enh??
My dear sister ukiona mume kile anakusifia ni sura tu, makalio na vitu kaa hizo, pls kimbia as far as your legs can carry you, maana kesho ataona wingine mrembo kukuliko, lakini kaa nimekuoa sababu ya your way of thinking, perception abaut life and such things, hata nione mrembo wa aina gani i will still stick by you, sababu nilikuoa sababu ya kile kiko ndani wako, "ALTITUDE" na sio urembo au nini, kweli wanaume aina yetu tuko wachache, lakini ukitafuta kwa bidii hukosi mmja wetu,na pia lazima na wewe uwe na akili poa, barikiwa sana
 
Kumbe tunaongelea uhalisia uliopo?? Sasa mbona wapo wanawake wengi tu wenye tabia mbovu na wanaolewa??

Halafu tusiongelee bongo tu tuvuke boda maana dunia haijashia bongo tu duniani hapa wapo wanawake wanaolewa wakiwa na miaka 40 hadi 60 unabisha
Wenye tabia mbovu zaidi ndo hao ambao hawajaolewa mpaka sasa, na ndo wako wengi.
 
Unaishi dunia gani? Mbona sisi tunashuhudia ndoa nyingi wanawake wana tabia hizo hapo juu na wapo kwenye ndoa na pia wapo wanawake hawana tabia hizo na bado hawaolewi? Msikariri maisha! Maisha ya ndoa hayana kanuni moja na ukizingatia hakuna jinsia inayojua inachotaka kwenye ndoa!
Wenye tabia mbovu zaidi ndo hao ambao hawajaolewa mpaka sasa, na ndo wako wengi.
 
Back
Top Bottom